Uchaguzi 2020 Watanzania lazima tuhoji kuhusu michango hii inayochangishwa na CHADEMA

propaganda ni malisho ya watu wasiofikiri, kwa hili lisu kafanikiwa kuwateka.
 
mbona huhoji uwazi wa rambirambi za janga la Bukoba na zilifanya nin
 
mtu alietimamu kifikra hujadili mambo kwa hoja na si mipasho, tunaliharibu jukwaa hili akati ni jukwaa muhimu sana katika ujenzi wa taifa letu.
 
Acha upumbavu wewe, tuhoji matumizi makubwa ya fedha kwenye kampeni za ccm, magari ya kifahari, kuleta wasanii kutoka Kenya kwa ndege rais ambayo sio ya ccm na nk
 
Mbona huhoji CCM kuchota fedha hazina na kupaka magari ya umma rangi ya kijani ili kutumika katika kampeni?
 
Ngoja niwafundishe vijana wa CHADEMA,

Ukipelekwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji, katika utetezi wako, husemi hata Ruhindwa pia ameua. Unachofanya kwanza ni kukiri au kukataa kosa kwa hoja halafu mwisho unaweza kusema kuhusu Ruhindwa
 
Tulia wewe
Ngoja niwafundishe vijana wa CHADEMA,

Ukipelekwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji, katika utetezi wako, husemi hata Ruhindwa pia ameua. Unachofanya kwanza ni kukiri au kukataa kosa kwa hoja halafu mwisho unaweza kusema kuhusu Ruhindwa
 
Mbona huhoji CCM kuchota fedha hazina na kupaka magari ya umma rangi ya kijani ili kutumika katika kampeni?
Mbona na wao wanachangia tena lazima chadema ni hiyari
 
Wakati mnakwapua 1.5Trn hadi mkamfukuza aliyewakamata, hamna ruzuku?
 
Hayakuhusu Tuacheni.
 
Sisi wanachama tutaendelea kuchangia kampeni za chama hadi mwisho. Tunafahamu kuwa ruzuku na michango ya waliokuwa wabunge haitoshi kugharamia kampeni hizi. Tunaendelea kutoa sadaka zetu kama tunavyofanya makanisani na misikitini kwa imani na raha zetu. Kumbuka kuuliza wakati mwingine ni ujinga. Utamuuliza mama na baba yako walikuzaa ki vipi?
 
propaganda ni malisho ya watu wasiofikiri, kwa hili lisu kafanikiwa kuwateka.
Kwa hiyo kipi sio kweli kwako mkuu...

Maccm yenyewe yanatumia
. Magari na ndege za serikali
. Pesa mabilioni ya Corona waliyochanga wafanyabiashara kwa kulazimishwa
. Pesa walizonyang'anya wafanyabiashara kwa kesi za kutunga eti wakubali makosa
. Pesa zilizopotea kimazingara 1.5tn zilizopelekea hata CAG mzalendo kufukuzwa kazi
. Ufisadi wa manunuzi ya siri ya ndege na ujenzi wa chato zote zimepelekwa kampeni ccm....

Ccm ni chama cha kigaidi na hii ni serikali ya kishetani
 
Wewe nani kakuomba mchango, mbona pesa zilichangwa kwenda kusaidia wahanga wa tetemeko lkn zikaenda kujenga uwanja wa ndege Chato, mbona hujasema kitu. Acheni unafiki.

Huduma za jamii zinapashwa kufadhiliwa na kodi za wananchi na sio wananchi wachangishwe mara mbili huku kodi zikitumiwa vibaya zingine kununulia wanasiasa wenye njaa ili wahamie ccm. Bure kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…