Uchaguzi 2020 Watanzania lazima tuhoji kuhusu michango hii inayochangishwa na CHADEMA

Mkuu kwani wewe umechanga ,wanaochanga hawalalamiki vipi ulalamike
 
Mamlaka ya Mapato waliangalie wao.
Hayo ni MAPATO
TRA wamesikia
 
Hivi vyama omba omba wakishika madaraka badala ya kutuletea maendeleo so ndio watatumia hiyo nafasi kujinufaisha kwanza wao mpaka watosheke.
 
Go and tell CCM to marry you for a free lunch
 
Watekaji na wauwaji mnahainga sana.
pita kafie kushoto,
 
Kwani wamekulazimisha? Ukiona hayakuhusu unapiga kimya
 
Kwa kesi walizopata chadema awamu hii kila siku mahakamani ni haki yao kabisa kukosa pesa ya kufanyia kampeni hata hivyo ofisi ya CAG ilishafanya ukaguzi hakukuwa na matumiz Mabaya ya pesa hizo
 
Mgombea Urais Marekani pia anachangiwa na raia.

Bado upo gizani sana.
 
Demokrasia ya kweli ni kuweka wazi mapato na matumizi na ikiwezekana tupatiwe bank statement ya mwezi mzima na kisha risiti za matumizi yake hapo tunahaki hiyo,tunataka mapato na matumizi ikiwezekana tuandamane kwa kuwa kuandamana ni haki yetu.
 
Ungekuwa na akili ungejiuliza CCM wanatoa wapi pesa za kugharamia uchaguzi? Umejiuliza ni ruzuku tu ndio inatosha kuwahonga wanamziki wa bei mbaya kama kina Dimond? Kusomba watu kwa maelfu ni gharama kubwa umejiuliza?
 
Hahahahaaaa
 
Zambia,Malawi, Ghana,Gambia nk walikuwa wanasema hivi hivi
 
Ungekuwa na akili ungejiuliza CCM wanatoa wapi pesa za kugharamia uchaguzi? Umejiuliza ni ruzuku tu ndio inatosha kuwahonga wanamziki wa bei mbaya kama kina Dimond? Kusomba watu kwa maelfu ni gharama kubwa umejiuliza?
Wasanii wengi ni wanaCCM na pia CCM Ina miradi mingi
 
Demokrasia ya kweli ni kuweka wazi mapato na matumizi na ikiwezekana tupatiwe bank statement ya mwezi mzima na kisha risiti za matumizi yake hapo tunahaki hiyo,tunataka mapato na matumizi ikiwezekana tuandamane kwa kuwa kuandamana ni haki yetu.
hiyo ni kazi ya CAG uwe unasoma report zake
 
Hatuwezi kusubiri mpaka CAG afike hapa wakati uwezekano wa kuhoji sasa ni mkubwa na tukapatiwa majibu.
kila mmoja akihoji hivyo kweli itawezekana?!? haya mambo yanaendeshwa na sheria ya vyama vya siasa ambayo imetoa utaratibu mzuri tu, hawawezi kuanza kumjibu kila mmojammoja anapotaka.vumilia subiri report ya CAG au washtaki mahakamani labda watalazimishwa wakupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…