ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Tanzania leo ni siku yetu adhimu ya kufurahi na kujisikia furaha kwa siku ya uhuru wa nchi yetu ni mfano wa siku ya kuzaliwa lakini kwa baadhi ya watu na sehemu tofauti imekuwa tu ni siku ya kupumzika bila shamlashamla zozote hivi birthday yako uwa inapita hivyo kimya kimya.
Niliwahi kuwa Dubai ikanikuta siku kama hii yetu waooo it's so imazing yaani mitaani utasema ndio wamepata uhuru hiyo siku.kuna pia wakati nilikuwa oman aiseee magari mtaani picha yaaani ni furaha tu sasa naona Tanzania elimu inahitajika sana maana hii sikukuu watu wanaona ni juu ya serikali tu wengine aiwahusu.