Watanzania mbona hatusheherekei kwa shamrashamra siku ya Uhuru?

Watanzania mbona hatusheherekei kwa shamrashamra siku ya Uhuru?

Sikukuu njema

FB_IMG_1639025622133.jpg
 
Gesi mtungi mdogo 25,000
Sabuni mche 3,000
Mafuta ya kupikia lita 6,000
Nyama kilo 8,000
Sasa nisherehekee nini zaidi ya kuugulia njaa tu???
Elimu haijawahi kumkaa mwenye njaa.
Wajeda wakivunja tofali kwa ugoko na kutembea kwenye misumari inatosha.
 
Tanzania leo ni siku yetu adhimu ya kufurahi na kujisikia furaha kwa siku ya uhuru wa nchi yetu
Tanzania ilipata uhuru lini ?

Labda wewe ndio inabidi upate elimu ya uraia na historia
 
Bora hata huyo aliyepeleka hizi pesa sehemu za utendaji.
Haya maigizo ya kusherehekea ni upigaji tu hamna la ziada.
Na Mwaka huu wametia fora, kila mjumbe wa nyumba kumi ameambiwa kuwa watapelekewa mabasi Ili watu waende uwanjani kusherekea
 
Uhuru upi wakati kuna watu Tz wanabambikiwa kesi za ajabu zenye ushahidi wa ajabu?
 
Back
Top Bottom