Bora hata huyo aliyepeleka hizi pesa sehemu za utendaji.Hata zaman tulisheherekea siku hii kwa mbwembwe sana. Aliyekuja kupunguza moods za siku ya uhuru ni yule aliyesema pesa za uhuru zipelekwe maeneo mengine maana alijua kabisa Tz kuna uhuru hewa.
Lakini inazidi kuifuta hii sherehe hasa kwa watoto wa kizazi hiki.Bora hata huyo aliyepeleka hizi pesa sehemu za utendaji.
Haya maigizo ya kusherehekea ni upigaji tu hamna la ziada.
Shamlashamla = ShamrashamraTanzania leo ni siku yetu adhimu ya kufurahi na kujisikia furaha kwa siku ya uhuru wa nchi yetu ni mfano wa siku ya kuzaliwa lakini kwa baadhi ya watu na sehemu tofauti imekuwa tu ni siku ya kupumzika bila shamlashamla zozote hivi birthday yako uwa inapita hivyo kimya kimya.
niliwahi kuwa Dubai ikanikuta siku kama hii yetu waooo it's so imazing yaani mitaani utasema ndio wamepata uhuru hiyo siku.kuna pia wakati nilikuwa oman aiseee magari mtaani picha yaaani ni furaha tu sasa naona Tanzania elimu inahitajika sana maana hii sikukuu watu wanaona ni juu ya serikali tu wengine aiwahusu.
nikiona avatar yako natamani kuona tenaNa Tozo hizi mtu utakuwa na hamu ya sherehe
Ha Ha shemeji anajua hili?nikiona avatar yako natamani kuona tena
kwanza halimuhusuHa Ha shemeji anajua hili?