Watanzania mbona hii hamuipigii kelele, lakini kwa Kenya mnang'aka hadi mnatia huruma

Mbona kingereza huwa kinawapiga chenga hadi mnatia huruma, umeelewa nini maana ya "Open to US citizens", hayo ni mataifa ambayo yameambia USA kwamba waje na hawatazuiwa, kwa kifupi mataifa ambayo yamejianika na kufungulia milango wananchi wa USA hata akija kama anakohoa kohoa.
 
UEA hawajasema haturuhusiwi kuingia wamesema tutapima kwanza before entry. Nyie mlitangazia ulimwengu mataifa 11pekee ambayo yataruhusiwa kuingia Kenya wala hamkutaja hbr za kupima wala quarantine
Naona umeanza kutafuta pa kutokea
 
Woiyeeee maskini......you should wear a mask......Labda corona is treating you bad kwa kichwa......
Mtapona lakini.....mjifukize na kusanitize vizuri.........

Nafurahi kuona comment ya mdada wa Kitz, mlishalikimbia jukwaa la Wakenya, hata yule bibi wa mashababi FaizaFoxy ameadimika sana huku. Anyway shukrani mrembo, endelea kushusha nondo.
 
Mbona kingereza huwa kinawapiga chenga hadi mnatia huruma, umeelewa nini maana ya "Open to US citizens", hayo ni mataifa ambayo yameambia USA kwamba waje na hawatazuiwa, kwa kifupi mataifa ambayo yamejianika na kufungulia milango wananchi wa USA hata akija kama anakohoa kohoa.
Na hiyo ndio Defensive mechanism yenu. Huwa mnaposhindwa hoja mnakimbilia "Kiingereza"!!
Hiyo ni statement imetolewa na US kwa Raia wake wapi wanaweza kutembelea!!
Sasa hiyo interpretation yako umeitoa wapi??
Mwaka huu mtakoma. Na mpaka vyuo mnafungua 2021!!
 
Eti Wakenya wanaweka Restriction!! TZ Mwenyewe amewatia jamba jamba within 24 hrs Mkabana Mkaachia!! Na huyo US mtamuweza kweli???
 
Ona kwenye hii picha mlivyochorwa kwa alama nyekundu kwamba ukanda huu wa EAC ni nyie tu mnatakiwa mpimwe corona ndani ya masaa 96 na pia mpimwe mara mbili, moja kwenu na nyingine huko UAE kabla kuingia, hamjiulizi mbona dunia inawatenga licha ya kujiaminisha mumepona corona kimiujiza......
Sisi mnatupigia makelele na kulialia ila ndio ukwel huo, dunia imewashangaa mlivyojichokea kwa hili la corona na kuachia kila mmoja ahangaike kivyake, aidha ajifie au apone.
Natumai serikali yetu itaweka mkakati wa kuhakikisha hamuingii huku bila kupimwa, kama ilivyo pale mpakani, na lazima mpimwe na wataalam wetu msje na vyeti vya kufoji huko Kariokoo, maana mnang'ang'ania sana kuja.

2473175_20200801_164531.jpg

Sisi kwetu corona haipo tunawashangaa. Na najua mipaka ikifunguliwa lazima wakenya watuletee corona
 
Ona kwenye hii picha mlivyochorwa kwa alama nyekundu kwamba ukanda huu wa EAC ni nyie tu mnatakiwa mpimwe corona ndani ya masaa 96 na pia mpimwe mara mbili, moja kwenu na nyingine huko UAE kabla kuingia, hamjiulizi mbona dunia inawatenga licha ya kujiaminisha mumepona corona kimiujiza......
Sisi mnatupigia makelele na kulialia ila ndio ukwel huo, dunia imewashangaa mlivyojichokea kwa hili la corona na kuachia kila mmoja ahangaike kivyake, aidha ajifie au apone.
Natumai serikali yetu itaweka mkakati wa kuhakikisha hamuingii huku bila kupimwa, kama ilivyo pale mpakani, na lazima mpimwe na wataalam wetu msje na vyeti vya kufoji huko Kariokoo, maana mnang'ang'ania sana kuja.

2473175_20200801_164531.jpg
Na hii hapa je?
IMG-20200801-WA0007.jpg
 
Acha kelele wewe tafuta dawa uisaidie nchi yako usihangaike na sisi.. serikali yetu imeshahamua kufuata njia yake na wala hakuna magroup ya watu wanaokufa wala nini..
Nyie ni bendera fata upepo tu na bado mtalambishwa mengi.. hizo ni kelele za chura tu.. serious kuwe na korona kwa kipimo kikubwa tushindwe kulalamika..?
Serikali haiwezi kuwafunga watu wote midomo hata hao wapinzani sahivi ndo kwanza wanafanya mikutano.. zakuambiwa changanya na zako.. mmekubali kupima pimeni msichafue wengine.
Mfa maji
 
Na hiyo ndio Defensive mechanism yenu. Huwa mnaposhindwa hoja mnakimbilia "Kiingereza"!!
Hiyo ni statement imetolewa na US kwa Raia wake wapi wanaweza kutembelea!!
Sasa hiyo interpretation yako umeitoa wapi??
Mwaka huu mtakoma. Na mpaka vyuo mnafungua 2021!!

Subiri nikupe darasa kwa lugha ambayo hautatumia akili kuielewa maana kingereza kilishawashinda
- Nyie mumefungua milango kwa watu wa USA
- USA imetoa taarifa kwa watu wake kwamba nyie ni miongoni mwa mataifa yaliojianika kwa watu wake
- Hivi majuzi USA waliambia watu wao kwamb licha ya Tanzania kuwafungulia milango, ila sio sehemu salama maana mlishajichokea kwenye suala la corona Health Alert: U.S. Embassy Dar es Salaam | U.S. Embassy in Tanzania
 
Kwa hyo tatizo ni nini?.
Kuingia kenya kwa ndege?
Hao wako sahihi maana hakuna mtanzania anayeweza kuingia hyo nchi kwa basi au kwa miguu.
Ujinga upo kwenu
MNAPOZIBA MATITI WAKATI HUKO KWA BIBI KUPO WAZI".

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Tumewanyoosha si mmepiga magoti na mkileta cha kuleta tunawapa za uso tena sisi hatuchezi na nyang'ao. You Kunyaland
What has Tanzania earned. Because kenya will still put Tanzanians under 14 day quarantine and KQ will continue to fly to all your airports. All you gained was the image of pettiness and stupidity.

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
 
Subiri nikupe darasa kwa lugha ambayo hautatumia akili kuielewa maana kingereza kilishawashinda
- Nyie mumefungua milango kwa watu wa USA
- USA imetoa taarifa kwa watu wake kwamba nyie ni miongoni mwa mataifa yaliojianika kwa watu wake
- Hivi majuzi USA waliambia watu wao kwamb licha ya Tanzania kuwafungulia milango, ila sio sehemu salama maana mlishajichokea kwenye suala la corona Health Alert: U.S. Embassy Dar es Salaam | U.S. Embassy in Tanzania
Hopeless comment ever!! How about this which issued on 30th July 2020 by US? Kunyaland inaoneka na rangi gani?
 
Acha kelele wewe tafuta dawa uisaidie nchi yako usihangaike na sisi.. serikali yetu imeshahamua kufuata njia yake na wala hakuna magroup ya watu wanaokufa wala nini..
Nyie ni bendera fata upepo tu na bado mtalambishwa mengi.. hizo ni kelele za chura tu.. serious kuwe na korona kwa kipimo kikubwa tushindwe kulalamika..?
Serikali haiwezi kuwafunga watu wote midomo hata hao wapinzani sahivi ndo kwanza wanafanya mikutano.. zakuambiwa changanya na zako.. mmekubali kupima pimeni msichafue wengine.
Juzi tu mwingine kapokelewa kwa mamia, kaitwa mahakamani akadai yuko kalantini na "warembo" wanasalimiana kwa kukumbatiana kupeana za siku nyingi! Tanzania ni hakuna korona tunachukua tahadhari na kuchapa kazi!
 
Back
Top Bottom