Huyo jamaa sijui MK Nini ni very stupid ...ni kilaza was mwisho...yaani kila siku ni TZ tu..mjinga na mpumbavu pamoja...Tumewatia kibano mmesitisha ban yenu ndani ya saa 24 halafu uko hapa kujiliwaza kwa habari za mataifa mengine😀😀. Shenzi kaboto
View attachment 1523971
Soma na hiyooo hapo..
Naona umeanza kutafuta pa kutokeaUEA hawajasema haturuhusiwi kuingia wamesema tutapima kwanza before entry. Nyie mlitangazia ulimwengu mataifa 11pekee ambayo yataruhusiwa kuingia Kenya wala hamkutaja hbr za kupima wala quarantine
Woiyeeee maskini......you should wear a mask......Labda corona is treating you bad kwa kichwa......
Mtapona lakini.....mjifukize na kusanitize vizuri.........
Data za chato hizoKitu pekee mnacho export Tanzania [emoji1241] ni mirungi tu
Na hiyo ndio Defensive mechanism yenu. Huwa mnaposhindwa hoja mnakimbilia "Kiingereza"!!Mbona kingereza huwa kinawapiga chenga hadi mnatia huruma, umeelewa nini maana ya "Open to US citizens", hayo ni mataifa ambayo yameambia USA kwamba waje na hawatazuiwa, kwa kifupi mataifa ambayo yamejianika na kufungulia milango wananchi wa USA hata akija kama anakohoa kohoa.
Kwani hatutauzisna wenyewe,hivi unafikiri Tz jirani ni Kenya tu?sasa mutauzia nani nyanya na vitunguu??? si vitaozea shambani kwenu kwa kukosa wateja?
Ona kwenye hii picha mlivyochorwa kwa alama nyekundu kwamba ukanda huu wa EAC ni nyie tu mnatakiwa mpimwe corona ndani ya masaa 96 na pia mpimwe mara mbili, moja kwenu na nyingine huko UAE kabla kuingia, hamjiulizi mbona dunia inawatenga licha ya kujiaminisha mumepona corona kimiujiza......
Sisi mnatupigia makelele na kulialia ila ndio ukwel huo, dunia imewashangaa mlivyojichokea kwa hili la corona na kuachia kila mmoja ahangaike kivyake, aidha ajifie au apone.
Natumai serikali yetu itaweka mkakati wa kuhakikisha hamuingii huku bila kupimwa, kama ilivyo pale mpakani, na lazima mpimwe na wataalam wetu msje na vyeti vya kufoji huko Kariokoo, maana mnang'ang'ania sana kuja.
Na hii hapa je?Ona kwenye hii picha mlivyochorwa kwa alama nyekundu kwamba ukanda huu wa EAC ni nyie tu mnatakiwa mpimwe corona ndani ya masaa 96 na pia mpimwe mara mbili, moja kwenu na nyingine huko UAE kabla kuingia, hamjiulizi mbona dunia inawatenga licha ya kujiaminisha mumepona corona kimiujiza......
Sisi mnatupigia makelele na kulialia ila ndio ukwel huo, dunia imewashangaa mlivyojichokea kwa hili la corona na kuachia kila mmoja ahangaike kivyake, aidha ajifie au apone.
Natumai serikali yetu itaweka mkakati wa kuhakikisha hamuingii huku bila kupimwa, kama ilivyo pale mpakani, na lazima mpimwe na wataalam wetu msje na vyeti vya kufoji huko Kariokoo, maana mnang'ang'ania sana kuja.
Mfa majiAcha kelele wewe tafuta dawa uisaidie nchi yako usihangaike na sisi.. serikali yetu imeshahamua kufuata njia yake na wala hakuna magroup ya watu wanaokufa wala nini..
Nyie ni bendera fata upepo tu na bado mtalambishwa mengi.. hizo ni kelele za chura tu.. serious kuwe na korona kwa kipimo kikubwa tushindwe kulalamika..?
Serikali haiwezi kuwafunga watu wote midomo hata hao wapinzani sahivi ndo kwanza wanafanya mikutano.. zakuambiwa changanya na zako.. mmekubali kupima pimeni msichafue wengine.
Tumewanyoosha si mmepiga magoti na mkileta cha kuleta tunawapa za uso tena sisi hatuchezi na nyang'ao. You KunyalandTanzanian idiots. A simple clarification. They could have asked first before acting childish. Sasa one day and KQ is back in Tanzania . What has Tanzania gained from all this childish behavior
Kenya Airways to Resume Tanzania Flights as Nations End RowView attachment 1524040
Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
Na hiyo ndio Defensive mechanism yenu. Huwa mnaposhindwa hoja mnakimbilia "Kiingereza"!!
Hiyo ni statement imetolewa na US kwa Raia wake wapi wanaweza kutembelea!!
Sasa hiyo interpretation yako umeitoa wapi??
Mwaka huu mtakoma. Na mpaka vyuo mnafungua 2021!!
Ass!Mfa maji
What has Tanzania earned. Because kenya will still put Tanzanians under 14 day quarantine and KQ will continue to fly to all your airports. All you gained was the image of pettiness and stupidity.Tumewanyoosha si mmepiga magoti na mkileta cha kuleta tunawapa za uso tena sisi hatuchezi na nyang'ao. You Kunyaland
Hopeless comment ever!! How about this which issued on 30th July 2020 by US? Kunyaland inaoneka na rangi gani?Subiri nikupe darasa kwa lugha ambayo hautatumia akili kuielewa maana kingereza kilishawashinda
- Nyie mumefungua milango kwa watu wa USA
- USA imetoa taarifa kwa watu wake kwamba nyie ni miongoni mwa mataifa yaliojianika kwa watu wake
- Hivi majuzi USA waliambia watu wao kwamb licha ya Tanzania kuwafungulia milango, ila sio sehemu salama maana mlishajichokea kwenye suala la corona Health Alert: U.S. Embassy Dar es Salaam | U.S. Embassy in Tanzania
Juzi tu mwingine kapokelewa kwa mamia, kaitwa mahakamani akadai yuko kalantini na "warembo" wanasalimiana kwa kukumbatiana kupeana za siku nyingi! Tanzania ni hakuna korona tunachukua tahadhari na kuchapa kazi!Acha kelele wewe tafuta dawa uisaidie nchi yako usihangaike na sisi.. serikali yetu imeshahamua kufuata njia yake na wala hakuna magroup ya watu wanaokufa wala nini..
Nyie ni bendera fata upepo tu na bado mtalambishwa mengi.. hizo ni kelele za chura tu.. serious kuwe na korona kwa kipimo kikubwa tushindwe kulalamika..?
Serikali haiwezi kuwafunga watu wote midomo hata hao wapinzani sahivi ndo kwanza wanafanya mikutano.. zakuambiwa changanya na zako.. mmekubali kupima pimeni msichafue wengine.
Ass comment!What has Tanzania earned. Because kenya will still put Tanzanians under 14 day quarantine and KQ will continue to fly to all your airports. All you gained was the image of pettiness and stupidity.
Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app