Watanzania mbona hii hamuipigii kelele, lakini kwa Kenya mnang'aka hadi mnatia huruma

Hapana. Tunaanza na jilani kwanza. Hao wengine hatuna shida nao.
 
Eti Wakenya wanaweka Restriction!! TZ Mwenyewe amewatia jamba jamba within 24 hrs Mkabana Mkaachia!! Na huyo US mtamuweza kweli???
Jibu la TANZANIA kwa Kenya linasa abisha Kesho kutangazwa nchi kibao mpaka Malawi utaisikia ikitajwa ,hii ndio nchi yenye nguvu Africa mashariki na mtetezi wa wanyonge
 
Hao hawajitambui kama Kenya wenye akili ni hawa
 
Naona umeanza kutafuta pa kutokea
Leta tangazo la juzi halafu linganisha na huu ujinga wa waziri wenu kiazi.

Dawa ya jeuri ni kuwa jeuri zaidi yake.

Hembu niambie, ni wapi tumewakosea mkachukua hatua halafu tukaomba kuzungumza? Mbona ni nyie tu mnaoomba kulonga na akili kubwazi?
 
Mbona Uganda mliitaja
Rwanda the same
Kama unalosema lina mashiko kwann hamkuitaja pia tz. Nyie ni kupiga ban tu. We have nothing to earn from you.
 
Tunahangaika na nyie
 
yan muda unavyozidi kwenda nazid kuwapuuza wakenya (poor rating).
hv kwel nyie mnatumia Amerika km indicator ya kufanikiwa vita vya Corona...!

be serious, take a data of how many Kenyan wanaweza enda America na kutumia fulsa hyo ya kutopimwa Corona wakat wa visa.

Achen kutegemea mabepari kwa baadhi ya mambo km afya, usalama na uchumi.
hii ni vita, even American nao ni looser.

Tz tushaacha kutumia vigezo vya kibepari na loans zao zenye mashart magum kupambana na Corona, na tumefanikiwa.
bravo JPM.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ha!!!! Kumbe hao EPA ! Ni uchungu kwa tz baada ya kukataa takataka ya EPA
 
Hii habari ya mazungumzo sijui, mara KQ imeruhusiwa kutua Tanzania mbona naona vyanzo vyake vyote ni Kenya, sijaona official statement yoyote toka Tz inayoeleza haya mambo.

Ningependa tubane atleast kwa mwezi mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…