Watanzania mbona hii hamuipigii kelele, lakini kwa Kenya mnang'aka hadi mnatia huruma

Nyie fungeni alafi muone tutakao wauzia,njaa haina baunsa mtakuja wenyewe tu.
hivi unajua kua Kenya nchi tajiri ukanda huu wa AM na Kati? hizo nchi zengine ni mashida tupu kama Tanzania,,, angalia hela broo,,, wacha kuwehuka
 
hivi unajua kua Kenya nchi tajiri ukanda huu wa AM na Kati? hizo nchi zengine ni mashida tupu kama Tanzania,,, angalia hela broo,,, wacha kuwehuka
Sasa unampiga mkwala nani,nyie si mmefunga endeleeni na msimamo wetu na sisi tuendelee na wa kwetu alafu tuone nani atampigia magoti mwenzake.

Kelele za nini fungeni alafu muone njaa haina baunsa yaani nyinyi kama Simba basi kiboyo na hana kucha.
 
hivi unajua kua Kenya nchi tajiri ukanda huu wa AM na Kati? hizo nchi zengine ni mashida tupu kama Tanzania,,, angalia hela broo,,, wacha kuwehuka

Hela tuiangaloaje hatujakuelewa?
 
Sasa unampiga mkwala nani,nyie si mmefunga endeleeni na msimamo wetu na sisi tuendelee na wa kwetu alafu tuone nani atampigia magoti mwenzake.

Kelele za nini fungeni alafu muone njaa haina baunsa yaani nyinyi kama Simba basi kiboyo na hana kucha.
acheni kulia lia basi mkiambiwa hakuna rukhsa Mtanzania kutia guu lake ndani ya KQ
 
acheni kulia lia basi mkiambiwa hakuna rukhsa Mtanzania kutia guu lake ndani ya KQ
Nani kalia kama sio nyinyi,sisi hatujaongea kabisa BARUA kutoka TCAA ndio iliyo ongea alafu tumekaa KIMYA.

Mwanaume siku zote haongei sana ila vitendo ndivyo vinavyo ongea,nakukumbusha tu RwandaAir leo washaanza safari na tayari washaleta watalii KIA,wewe funga ALAFU TUONE NANI ATAMPIGIA MAGOTI MWENZIE.
 
Wachangiaji wengi humu hatuna sifa za kuchangia mjadala. Ni shida kubwa sana. Sijui kama chanzo chake ni kukosa elimu inayojenga uwezo wa kujadili hoja au mazingira yanayotuzunguka au tu uamuzi wetu wa kuona bluu kama zambarau, nyeusi kama kijivu na nyekundu kama nyeupe.
 
Every has opinion ukisema mweupe na wewe ni vilevile wewe unakariri tumia akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ