Watanzania mbona msiwape taarifa makampuni ya kimataifa yanayong'ang'ania kuajiri Wakenya kwamba hawaruhusiwi

Baada ya Colly More, Safari com imekabidhiwa nani, KQ kipindi kirefu imekua mikononi mwa wazungu wakati serikali yenu ndio majority share holder, aibu sana.
Hayo mashirika yote sai yanaenda kuongozwa na wakenya..
 
Lini mtaacha kupokea chakula cha msaada toka Uarabuni na China?. Lini mtafanikiwa kupunguza vifo vitokanavyo na njaa?.

By the way, njooni kuchukua majambazi yenu yamejaza magereza yetu huku, yanakula chakula chetu bure.
Lini mtaacha kutuletea ombaomba kenya
 
Baada ya Colly More, Safari com imekabidhiwa nani, KQ kipindi kirefu imekua mikononi mwa wazungu wakati serikali yenu ndio majority share holder, aibu sana.
Endelea kujiliwaza. Aliyemrithi Bob Collymore kama CEO wa kampuni kubwa kabisa Africa Mashariki na ya Kati , Safaricom, ni huyu jamaa hapa Peter Ndegwa. CEO wa KQ ni mzawa Allan Kivaluka, kabla ya Michael Joseph ilikuwa ni mzawa mwingine kutoka Gatuzi la Kajiado, Titus Ole Naikuni. Kuna wataalamu wa kutosha, ambao ni wazawa, kwenye nyanja zote nchini Kenya. Sio kama Tz ambapo mlikosa hadi wataalamu wa kupima virusi tu vya COVID-19 kwenye sampuli. Hebu tuonyeshe picha au majina ya ma'surgeon' wa Muhimbili tuone kama wote sio mabeberu.
 

unaelewa maana ya muhimbili kijana,au unadhani ni karen hospital[emoji23][emoji23].
 
mnalea omba omba wa tz halafu mnaacha watu wa turkana wafe njaa .

hii inaitwaje??

Kenya ni kainchi kadogo halafu zaidi ya nusu yake ni kame tupu, kuna wakati kiangazi hurindima na kusababisha janga, ila huwa tunapambana na kuwafikishia ndugu zetu misaada huko.
Lakini Tanzania liinchi likubwa full madini ya kumwaga, ardhi kubwa yenye rotuba nzuri, kila kitu kizuri ila umaskini wa kufa mtu unawatesa maana nyie wazembe wa kutupwa.
 

umasikini wa kufa mtu uko kenya mnakokufa njaa mkilima maua badala ya mahindi[emoji23][emoji23]
unazungumzia ukame,kwani nani kakwambia tz inalimwa nchi yote ili tuwauzie nyinyi chakula!!!
eneo linalolimwa halifiki hata 2%.

swala la uvivu linatokana na urahisi wa maisha uliopo tz,hiyo ni nature ya binaadam.wewe mwenyewe unajua ni kwa namna gani ni rahisi sana kufanikiwa kimaisha tz kuliko kwenu.
 

Tunalima maua yanaayotupea hela nyingi zenye uwezo wa kuwazidi kiuchumi mara mbili yenu, zinatuwezesha kuwa na jeuri ya kununua mahindi kutoka kwa maskini kama nyie. Hupewi vyote, nyie mlinyimwa ubongo mkapewa ardhi, sisi tukanyimwa ardhi tukapewa ubongo, tunautumia ipasavyo.
 
Unataka kusema watanzania ni zumbukuku na mazwazwa?
OMG
 
Matz mengi mavivu, majungu mingi halafu majizi na kazi haionekani. Wachache sana wanaweza perform.
 
Nikusaidie tu! Tanzania ilisgapitisha sharia kwamba, nafasi zote za CEO na MD wa makampuni yote lazima ziongozwe na watanzania
Sivyo unavyosema wahindi au waarabu
Makampuni yote public hata yanayomilikiwa na hao wahindi na waarabu kwa sasa yanaongozwa na watanzania
 
Lakini makampuni mengi yanakufa au yanadumaa hayakui
 
You can work in Tanzania but not in a CEO or MD position, we have qualified Tanzanians,
Not only Kenyan but all nationalities,

One example!
Exim bank ilikuwa na CEO Indian, baada ya sheria kuwekwa kwa sasa CEO ni Jaffary Matundu a qualified Tanzanian
Stop bragging about Kenyan kuonewa Tz
 

ubongo gani mko nao[emoji23][emoji23][emoji23].

huu wa kuuana wakati wa uchaguzi,kuiba pesa na mali za uma,au kujipendekeza kwa wazungu!!!

sisi sasa tumepewa vyote,kama huamini angalia namna tunavyowasumbua ukanda huu.juzi tumenyima permit mkenya na hakuna kitu mnaeza fanya.
 
Analima maua au wazungu wanalima maua?
Nyie kazi yenu ni Vibarua kwenye Mashamba ya Wazungu, Makapuku
 

hawa wajinga wanataka huruma za kijinga.

sisi tunafanya yale ambayo wao wameyafanya muda mrefu,wakijidai wana wataalamu[emoji23][emoji23][emoji23].

nasisi tunao sasa hivi,kila mtu akale kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…