Watanzania mbona msiwape taarifa makampuni ya kimataifa yanayong'ang'ania kuajiri Wakenya kwamba hawaruhusiwi

Watanzania mbona msiwape taarifa makampuni ya kimataifa yanayong'ang'ania kuajiri Wakenya kwamba hawaruhusiwi

Hivyo vitu viwili ndio mtaji wetu, elimu na juhudi ya kazi ndivyo vinafanya Wakenya wasakwe hadi huku, makampuni ya kimataifa yanatung'ang'ania....
Kawaida haya makampuni huwa hayatangazi nafasi za ngazi ya juu, wao huwa na mbinu zao za kupeleleza na kusaka nani anayewafaa, yaani Mkenya yupo busy kwenye kazi zake ghafla anaalikwa mahojiano na bonge la kampuni, wanamuomba asafiri akaukwae ukurugenzi kwenye nchi ya watu.

mngekuwa serious namna kama unavyosema hapa,njaa ingekuwa inaiogopa kenya.

sisi tunaamua nani tumpe nani tumnyime,hakuna wa kutupangia.
 
mngekuwa serious namna kama unavyosema hapa,njaa ingekuwa inaiogopa kenya.

sisi tunaamua nani tumpe nani tumnyime,hakuna wa kutupangia.

Ndio maana tuna kainchi kadogo tena nusu yake kame na bila madini ila tunawazidi Tanzania kiuchumi karibia mara mbili au maradufu licha ya nyie kuwa na kila kitu.
 
Ndio maana tuna kainchi kadogo tena nusu yake kame na bila madini ila tunawazidi Tanzania kiuchumi karibia mara mbili au maradufu licha ya nyie kuwa na kila kitu.

mna uchumi mara mbili yetu usioweza hata kuhifadhi chakula wakati wa ukame[emoji23][emoji23].

huo uchumi au uchuro???
 
mna uchumi mara mbili yetu usioweza hata kuhifadhi chakula wakati wa ukame[emoji23][emoji23].

huo uchumi au uchuro???

Hela tunazo za kununua chakula kutoka kwa viinchi maskini.
 
We ni bwege sana kumbe, kwhyo wakeny katika hayo makampuni wanajiajiri sio[emoji122][emoji122]
Wanajipendekeza si ndo kawaida ya wakenya....mshajua hampendwi huku na bado mnalialia muachiwe kuja huku....hao mabwana zenu kama wanawapenda sana wawaajiri hukohuko kwenu
 
Hela tunazo za kununua chakula kutoka kwa viinchi maskini.
Screenshot_20201128-152554_Samsung Internet.jpg
oooh tena 2020 uchumi mkubwa njaaa tu hadi kwenye makalio ndo maana mnalilia kwenda kwenye nchi za wenzenu
 
Jiwe na genge lake wana xenophobia kali sana dhidi ya wakenya. Hadi imefikia hatua ya kuzipangia kampuni za kibinafsi, tena za kimataifa, kuhusu masuala ya uteuzi wa waajiriwa wao. Ila nilijifunza kutoka kwa ile sakata ya Vodacom na mkenya Sylvia Mulinge kwamba kwa Tz ya sasa ni baraka kubwa sana kwa wanaonyimwa vibali baada ya kuteuliwa. Maanake mmisri aliyechukua nafasi hiyo Vodacom alifunguliwa kesi ya kuhujumu uchumi muda mfupi tu baada ya kuanza kazi. Alafu baadaye tena Vodacom wakajipata matatani walipohusishwa na mikakati ya CCM ya kuinyanyasa upinzani kabla na wakati wa uchaguzi. Mwisho wa siku chuki zao zinawaumiza wao wenyewe, sio wakenya. Kwasababu maamuzi yao ya kibaguzi yanawatia hofu wawekezaji na kampuni kama hizo za kimataifa na yanashusha 'investor confidence' kwa nchi ya Tz.
Hivi urafiki wa Jiwe na Raila bado upo au ndio kibwengo 👿 👿 hataki shobo tena
 
Hela tunazo za kununua chakula kutoka kwa viinchi maskini.
Vipi raia wenu wanakufa kwa njaa kila mwaka na mnategemea chakula cha misaada toka China na Arabuni?. Ni nchi pekee isiyo na civil war lakini inapewa chakula cha misaada hapa Africa
 
nyinyi pesa hamna,au nikupe dalili kwamba pesa hamna[emoji23][emoji23][emoji23]

Limeni tununue mahindi maana hela tunazo, tatizo nyie wazembe wa kufa mtu....
 
Limeni tununue mahindi maana hela tunazo, tatizo nyie wazembe wa kufa mtu....

[emoji23][emoji23]na tunalima mnanunua chakula mpaka njaa inatoweka.

kuwa na adabu kwa anayekulisha.
 
Don't make this about Kenya, it's for all non-Tanzanians unless kuna profession ambayo haiko kwenye soko.
Kuna hizi taarifa naona zimezagaa kote kwamba kampuni ya Coca Cola imeng'ang'ania kuajiri Mkenya awe mkurungezi wa tawi lake Tanzania, ila kwamba Tanzania imemkatalia kama ambavyo imekua desturi sasa, ambapo haya makampuni ya kimataifa yanatumia hela nyingi sana kusaka nani mwenye weledi na bidii ya uchapa kazi wa kuyasimamia na kila wakiishia kuchagua Mkenya, anakataliwa na serikali ila yeyote mwingine awe Mhindi, Mwarabu au Chotara anaruhusiwa.

Inapaswa itolewe tamko rasmi kutokea kwa serikali kwamba Wakenya hawaruhusiwi tena kusimamia hayo makampuni, hapo itawarahishia hao nafasi wawe wanatangazia wahind na waarabu. Inapaswa ifahamike haya makampuni huwa hawaajiri zumbukuku au zwazwa yeyote, lazima wasake kwa mapana na marefu maana wana taratibu zao zilizopitia ukaguzi wa hali ya juu, na kama wanamkosa humo ndani ya milioni 60 ya Watanzania wanayemtaka, basi haipaswi kuwapangia.
------------------------------------------------

Dar es Salaam. Tanzania’s Immigration Department said on Tuesday, 24 November 2020 that it would issue a statement in response to claims that it had denied entry to a foreign national who was to start working as new managing director for Coca-Cola Kwanza.

Since Monday, November 23, social media platforms have been awash with news of a foreign national, assumed to be Kenyan, who was denied entry into Tanzania so he could assume his role as managing director for Coca-Cola Kwanza.

The news item originated as a tweet from fichuaTanzania_official’s FichuaTanzania, a Twitter handle that markets itself to its readers as one [a handle] that documents and exposes human rights abuses in Tanzania while also fighting for freedom of speech, truth and democracy.

“Leo 23/11/2020 Mkurugenzi mpya wa Coca Cola Kwanza akitokea Nairobi na shirika la ndege la Kenya Airways amekataliwa na mamlaka uhamiaji ya Tanzania kuingia nchini kutekeleza majukumu yake mapya kwa maelezo kuwa kazi anayokuja kufanya kuna watanzania wenye uwezo wa kuifanya,” the twit reads.

coca11

Literally, this is translated as: “The new Coca-Cola Kwanza managing director was on November 23, 2020 denied entry into Tanzania upon arrival from Nairobi on a Kenya Airways flight. The Immigration Department did not allow him in on the grounds that there were Tanzanian nationals who could perform his duties [at Coca-Cola Kwanza]”

Wanajipendekeza si ndo kawaida ya wakenya....mshajua hampendwi huku na bado mnalialia muachiwe kuja huku....hao mabwana zenu kama wanawapenda sana wawaajiri hukohuko kwenu
Kwhyo waajiriwe katika makampuni ya tanzania alafu kazi wafanyie kenya..
Kwel akili zenu zimedumazwa na ujamaa
 
[emoji23][emoji23]na tunalima mnanunua chakula mpaka njaa inatoweka.

kuwa na adabu kwa anayekulisha.

Umesema sahihi "tunanunua", tofauti na tunavyowalea omba omba wenu huku, sisi tunanunua maana jeuri ya hela tunayo.
 
Eeh wawalipe mishahara hukohuko huku mkija ndege inageuzia angani mnatimuliwa
Hasira zote hzo ni kwamba watz hawana uwezo huo wa kusimamia kampuni za kueleweka[emoji1787][emoji1787]
Haya endlea kunengua babu
FB_IMG_16035339691414034.jpg
 
Umesema sahihi "tunanunua", tofauti na tunavyowalea omba omba wenu huku, sisi tunanunua maana jeuri ya hela tunayo.

mnalea omba omba wa tz halafu mnaacha watu wa turkana wafe njaa[emoji23][emoji23][emoji23].

hii inaitwaje??
 
Umesema sahihi "tunanunua", tofauti na tunavyowalea omba omba wenu huku, sisi tunanunua maana jeuri ya hela tunayo.
Lini mtaacha kupokea chakula cha msaada toka Uarabuni na China?. Lini mtafanikiwa kupunguza vifo vitokanavyo na njaa?.

By the way, njooni kuchukua majambazi yenu yamejaza magereza yetu huku, yanakula chakula chetu bure.
 
Back
Top Bottom