Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I knew you were dumbHivi humu JF una uhakika wachangiaji Wakenya wanazidi kumi? Yaani wale active contributors? Kwa ajili ya exposure tulionayo utakuta Wakenya wengi wakijadili kwenye forums za mataifa tofauti, wachache tunaokuja huku ni aidha tumewahi kuishi Tanzania tukajenga undugu kiasi cha kujikuta tukifuatilia, na kuna wengine huwatibua Wabongo ili apate fursa aidha ya kujibizana kwa Kiswahili.
JF haikua developed na Mtanzania, iko based kwenye platform inayoitwa XenForo - Compelling community forum platform ambayo kajamba yeyote anaweza akaitumia kuanzisha forum, kimsingi ni upate wachangiaji na kwa vile Watanzania wakimwagika kwenye kitu kimoja huingia wote (ujamaa uliwalea hivyo), yeyote akianzisha kitu na muitane, mtaingia wote kichwa kichwa, kama mlivyorundikana kwenye CCM.
Makampuni ya kimataifa ndio yanawasilisha ambao wameshinda kwenye tathmini yao, wamesaka kwa Watanzania milioni sitini hawajapata mwenye sifa wanazozitaka, hivyo wakatanua wigo na kupata Wakenya, tatizo mkikatalia Wakenya huwa hawarudi kwa wazawa, wanasaka huko nje kwa Waarabu na Wahindi hapo wanaishia kufyata midomo yenu kwa kuleta ngozi nyeupe.
Hii kitu ipo miaka mingi sana ni vile serikali yetu ilikwenda likizo ndio maana ndugu zako wakajazana humu na kuanza nyodo kwamba watanzania ni wavivu hatujui na hatufanyi kazi. Arudi tu akaangalie maisha mengine huko kwao au awe Branch Manager wa Coca-Cola Kwanza huko Kenya.Tatizo mnawakatalia kwa vigezo kwamba kuna Watanzania wanaoweza, ila hatimaye wanafuata Waarabu na Wahindi, hapo mnaanguka chali, ilmradi ngozi ni nyeupe mnazimikia.
Watangaze hiyo nafasi kihalali, wakati mwingine haya makampuni yanaleta majasusi kama Dr Shika (Marehemu) alivyokuwa anatumiwa na Wamarekani huku Russia kisa ni uwekezaji.
Kwenye mambo ya kiusalama ya nchi hakuna sijui jirani wala nini. Kwani ni wakenya wangapi ninaofahamu wanafanya kazi hapa bongo? Ni eengi tu. So kuna sababu acheni kulialia
Hii kitu ipo miaka mingi sana ni vile serikali yetu ilikwenda likizo ndio maana ndugu zako wakajazana humu na kuanza nyodo kwamba watanzania ni wavivu hatujui na hatufanyi kazi. Arudi tu akaangalie maisha mengine huko kwao au awe Branch Manager wa Coca-Cola Kwanza huko Kenya.
Eti eeehTaswira ya kwamba nyinyi ni wavivu haibadiliki kwa kukatalia Wakenya maana hamuajiriwi nyie, inabidi wasake Waarabu na Wahindi huko nje, hivyo bado mnakwepwa kwa mlivyo wazembe
Sijaelewa haya maruerue yako, labda uje upya ueleweke.
Wewe ni bora unyamazeWabongo ukimuweka kiongozi sehemu. Basi jua from then onwards kazi kupata itakua kwa kujuana tu.
Does it matter if he is South African? Si ameshinda interview among many, including Tanzanians?Mnajishtukia soma vizuri hapo "assumed to be kenyan" lakini ukweli ni kwamba si mkenya ni raia wa south africa...
Inferiority complex to the next level
unasema tumekusanayana sehemu moja jf,niambie ni wapi tumekwenda kwa uchache mkatuzidi idadi??
Wapi kwingine mumekwenda nje ya JF, Ujamaa hulea kitu tunaita "herd mentality" na ndio maana hata mumeishi kwenye siasa za chama kimoja, yaani huo mfumo hulemaza watu kiakili kiasi cha kuogopa kuthubutu mabadiliko yoyote.
Mbona nimeshakujibu kwamba hampo kwingine, maana ya kwamba sitakua na chochote cha kulinganisha.
Hata kule USA watakukataza ukienda on a work VISA kwa kazi ambayo muamerika anaweza kufanya.... Shida kwa hawa Watanzania ni kwamba wanazulia wakenya alafu wanaruhusu wazungu na waarabu... yani eighter hawa jamaa ni wivu ndo umejaa au ni ile saikolojia ya kudharau/kubagua mwafrika mwenzako ukiamini kama huwezi fanya basi hakuna mtu mweusi mwengine anaweza fanya.Tatizo mnawakatalia kwa vigezo kwamba kuna Watanzania wanaoweza, ila hatimaye wanafuata Waarabu na Wahindi, hapo mnaanguka chali, ilmradi ngozi ni nyeupe mnazimikia.
Hata kule USA watakukataza ukienda on a work VISA kwa kazi ambayo muamerika anaweza kufanya.... Shida kwa hawa Watanzania ni kwamba wanazulia wakenya alafu wanaruhusu wazungu na waarabu... yani eighter hawa jamaa ni wivu ndo umejaa au ni ile saikolojia ya kudharau/kubagua mwafrika mwenzako ukiamini kama huwezi fanya basi hakuna mtu mweusi mwengine anaweza fanya.
Huyu ndo CEO wa Vodacom Tz, lakini Silvia Mulinge walimkataa
View attachment 1635414
Kuna hizi taarifa naona zimezagaa kote kwamba kampuni ya Coca Cola imeng'ang'ania kuajiri Mkenya awe mkurungezi wa tawi lake Tanzania, ila kwamba Tanzania imemkatalia kama ambavyo imekua desturi sasa, ambapo haya makampuni ya kimataifa yanatumia hela nyingi sana kusaka nani mwenye weledi na bidii ya uchapa kazi wa kuyasimamia na kila wakiishia kuchagua Mkenya, anakataliwa na serikali ila yeyote mwingine awe Mhindi, Mwarabu au Chotara anaruhusiwa.
Inapaswa itolewe tamko rasmi kutokea kwa serikali kwamba Wakenya hawaruhusiwi tena kusimamia hayo makampuni, hapo itawarahishia hao nafasi wawe wanatangazia wahind na waarabu. Inapaswa ifahamike haya makampuni huwa hawaajiri zumbukuku au zwazwa yeyote, lazima wasake kwa mapana na marefu maana wana taratibu zao zilizopitia ukaguzi wa hali ya juu, na kama wanamkosa humo ndani ya milioni 60 ya Watanzania wanayemtaka, basi haipaswi kuwapangia.
------------------------------------------------
Dar es Salaam. Tanzania’s Immigration Department said on Tuesday, 24 November 2020 that it would issue a statement in response to claims that it had denied entry to a foreign national who was to start working as new managing director for Coca-Cola Kwanza.
Since Monday, November 23, social media platforms have been awash with news of a foreign national, assumed to be Kenyan, who was denied entry into Tanzania so he could assume his role as managing director for Coca-Cola Kwanza.
The news item originated as a tweet from fichuaTanzania_official’s FichuaTanzania, a Twitter handle that markets itself to its readers as one [a handle] that documents and exposes human rights abuses in Tanzania while also fighting for freedom of speech, truth and democracy.
“Leo 23/11/2020 Mkurugenzi mpya wa Coca Cola Kwanza akitokea Nairobi na shirika la ndege la Kenya Airways amekataliwa na mamlaka uhamiaji ya Tanzania kuingia nchini kutekeleza majukumu yake mapya kwa maelezo kuwa kazi anayokuja kufanya kuna watanzania wenye uwezo wa kuifanya,” the twit reads.
![]()
Literally, this is translated as: “The new Coca-Cola Kwanza managing director was on November 23, 2020 denied entry into Tanzania upon arrival from Nairobi on a Kenya Airways flight. The Immigration Department did not allow him in on the grounds that there were Tanzanian nationals who could perform his duties [at Coca-Cola Kwanza]”
![]()
Tanzania to respond to claims that Kenyan blocked from taking over as Coca-Cola CEO
Tanzania’s Immigration Department said on Tuesday, 24 November 2020 that it would issue a statement in response to claims that it had denied entry to a foreign national who was to start working...www.thecitizen.co.tz