Watanzania mjifunze kukataa Ujinga. Hayati Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho. Kuhusu watekaji na wauaji, CCM na CHADEMA wahojiwe

Sio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu

Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji, wauaji CCM na CHADEMA wahojiwe.

The guy did everything for the country ndio ukweli huo.
Tuanzie matukio ya kupotea kwa Ben Saanane na assassination attempt kwa Tundu Lissu, Jiwe alitoa ushirikiano upi(wa kauli na vitendo) kutuaminisha alifanya kila liwezekanalo wahusika wa hayo(those two incidences I mentioned) wakamatwe ili tuamini kuwa haukuwa direct orders kutoka kwake.
Kwa sisi tunao-flow na matukio 'tangulizi' kama la late Ben kutaka proof ya PHD ya Jiwe na kauli za Jiwe a day before shambulio la Lissu, prove us wrong with your at least what you'll term as your 'circumstancial evidences' or anything else tangible or at least reasonable.
 
Hakika huu utekaji una mkono wa wapinzani 💯, kibaya walitumia propaganda za kumchafua Dkt Magufuli na media zote walinunua na kuweka mawakala kuhakikisha Dkt Magufuli anachafuka. Na alipofariki walishangilia kinoma wakisema eti watu hawatatekwa tena oh mara watu hawatapatikana kwenye viroba ila leo tunaendelea kuona mauaji na utekwaji uliozidi kila kona ya nchi. Nadhani mbowe na ayatolla zitto waminywe korodani zao wasema nani anawapa hela kuichafua nchi
Serikali inasubiri nini kuwaminya korodani na kwa faida ya nani? Inawalinda wao au inajilinda yenyewe?
 
Tuanzie matukio ya kupotea kwa Ben Saanane na assassination attempt kwa Tundu Lissu, Jiwe alitoa ushirikiano upi(wa kauli na vitendo) kutuaminisha alifanya kila liwezekanalo wahusika wa hayo(those two incidences I mentioned) wakamatwe ili tuamini kuwa haukuwa direct orders kutoka kwake.
Kwa sisi tunao-flow na matukio 'tangulizi' kama la late Ben kutaka proof ya PHD ya Jiwe na kauli za Jiwe a day before shambulio la Lissu, prove us wrong with your at least what you'll term as your 'circumstancial evidences' or anything else tangible or at least reasonable.
Vipi matukio ya utawala huu Samia naye anatuma watu?
Saizi wamepotea akina Soka,ameuliwa mzee Kibao tena mchana kweupe.
Baada ya kifo cha Magufuli mlishangilia sana na ujinga ujinga mwingi mara Mama anaponya nchi na unafiki kibao leo hii mambo yameharibika sana!
JPM kwa sehemu kubwa sana alihujumiwa na CCM na Upinzani kwa maana waliona yuko tofauti nao na hataki ujinga!
 
Hakika huu utekaji una mkono wa wapinzani 💯, kibaya walitumia propaganda za kumchafua Dkt Magufuli na media zote walinunua na kuweka mawakala kuhakikisha Dkt Magufuli anachafuka. Na alipofariki walishangilia kinoma wakisema eti watu hawatatekwa tena oh mara watu hawatapatikana kwenye viroba ila leo tunaendelea kuona mauaji na utekwaji uliozidi kila kona ya nchi. Nadhani mbowe na ayatolla zitto waminywe korodani zao wasema nani anawapa hela kuichafua nchi
Uwe amiri jeshi Mkuu halafu watu wakuchezee 'mazingaombwe' ya utekaji halafu uwaangalie tu?.
 
Tangu mwanzo wa kelele za mauwaji na utekaji zilizohusishwa na Magufuli, sikuwahi kukubali na stokubali huo upuuzi wa siasa za kijinga

Gazeti la Chadema liliandika kupotea kwa Ben Sa 8 siku ya mwisho kuonekana alikuwa na Mbowe

Halafu wapumbavu wakasema ni Magufuli

Naamini, hata Lissu akija kukaa akatuliza vizuri akili yake, atakuja kugundua zile lisasi ni njama iliyosukwa kwa weredi kubwa kutoka huko huko

Hivi ni kivipi sasa Chadema wanaibukiana na kuanza kutofautiana kihivyo? Je, ni hizi hizi siasa zilizopo au kuna lile limejificha kuwahusu M/kiti na makamo wake?

Tanzania ilimpoteza mtu wa mhimu mno kuwahi kutokea RIP JPM
Yule Jiwe alikuwa ni muuaji tu, isingekuwa ni yeye siku nyingi wahusika wangekuwa hatiani. Mbowe angekuwa anahusika angeomba kwamba vyombo vya kimataifa kama FBI au Scotland Yard(MI6) waombwe kusaidia upelelezi? Back then jengo la BoT lilivyoungua mbona uliombwa msaada?
Kampeni ya kumsafisha Jiwe will never work, his wrong doings can be smelled from miles away.
 
Vipi matukio ya utawala huu Samia naye anatuma watu?
Saizi wamepotea akina Soka,ameuliwa mzee Kibao tena mchana kweupe.
Baada ya kifo cha Magufuli mlishangilia sana na ujinga ujinga mwingi mara Mama anaponya nchi na unafiki kibao leo hii mambo yameharibika sana!
JPM kwa sehemu kubwa sana alihujumiwa na CCM na Upinzani kwa maana waliona yuko tofauti nao na hataki ujinga!
Hizo blah blahs bado si majibu ya kupotea kwa Ben Saanane na Shambulio la Lissu, kuanzia ukimya wa viongozi na 'kigugumizi' cha vyombo vya ulinzi na usalama.
Let's go one step at a time, we deal with those two incidences first ili twende sawa.
NB: Tukimaliza hayo ambayo ndiyo topic husika tuje ya Samia na vifo na utekaji unaotokea currently.
-Lissu/Saanane kinachozuia upelelezi ni kitu gani? Serikali/Vyombo vya ulinzi na usalama wanamlinda nani kutokufuatilia matukio hayo? Majibu tafadhali.
 
Kama wewe ni muoga wa kuandika mambo mazito kama haya bora tu ungenyamaza kimya izi issue za utekaji na mauaji ni issue nyeti na serious unadhani vyombo vinavyo usika vimelala na haviyajui njia yakufanya mpaka uwaelekeze. Angalia watu wanauliwa na kutekwa na njia za uchunguzi zinavyokwenda unamaana kusoma ujui na picha je. Sibiri siku usikie Laptop ya Jaji imeibiwa ndipo utakapo jua umairi wa vyombo vya dola vya nchi hii.
Waliiba computer za Mwendesha mashtaka mkuu, nini kilifanyika hadi leo? Hii michezo tu ya keupe kekundu, hamna mpinzani anaweza kuteka akasalimika, na msivyowapenda hivi mpate kabisa kitu cha uhakika wasalimike???

Acheni sanaa wandugu!
 
Hizo blah blahs bado si majibu ya kupotea kwa Ben Saanane na Shambulio la Lissu, kuanzia ukimya wa viongozi na 'kigugumizi' cha vyombo vya ulinzi na usalama.
Let's go one step at a time, we deal with those two incidences first ili twende sawa.
NB: Tukimaliza hayo ambayo ndiyo topic husika tuje ya Samia na vifo na utekaji unaotokea currently.
-Lissu/Saanane kinachozuia upelelezi ni kitu gani? Serikali/Vyombo vya ulinzi na usalama wanamlinda nani kutokufuatilia matukio hayo? Majibu tafadhali.
Hebu fikiria angepotea napi au hapi, nchi ingekalika? Wanafanya watu mazuzu tu but the time is coming...
 
Naona uhuru wako unautumia vizuri👏👏👏
Acha kujilazimisha kufuatilia Mandume wewe, yaani ukishaamua kutafuta attention ya mwanaume humu mtandaoni unajipa kazi ya kutafuta, kufuatilia kila comment yake na unahakikisha una react ili tu ajue umesoma comment yake?
Hiyo michezo siyo yangu, watoto wa kike wwapo wa kumwaga na hata wasingekuwepo bado siwezi kufukua vinyesi. Jaribisha kwa wengine, huenda wakakusaidia.
Mtoto wa kiume unajiita Katrina!!
 
Kuna kubenea na tindikali
Hawa watoto wanazingua sana humu ndani, hawajui kila system inamakando kando yake, achilia mbali wapinzani na maadui wanaokesha kuharibu image ya aliyepo kwa namna na gharama yeyote. Mbaya zaidi ni kuwa baadhi ya maadui huwa ndani ya system yenyewe... ndio maana hupaswi kuropoka ropoka tu ukiwa hujaagana na nyonga.
 
Nipo hapa tangia Jambo Forums.
Wewe unamjua Hanga? Nipo tangia kipindi cha Nyerere.
Kesi ya Dr Ulimboka unaifananisha na Ben saa nane?
Kama umekuwepo awamu zote ulipaswa kuwa umejifunza kitu, kila awamu huja na mazuri pamoja na makando kando yake, mengine ya makusudi, mengine bahati mbaya, mengi ya kuchafuliana taswira...

Kumbuka hakuna mwenye nchi hivyo kila mmoja anataka aimiliki hivyo kwa vyovyote wachafuzi huweza kutoka nje au ndani ya system.... ukiwa kama ndugu mtazamaji ni ngumu sana kujua kuwa kila habari kabla ya kuruka kuna uhariri unafanyika... weka hiki toa hiki kwa makusudi fulani...

Fatma Karume mfano, aling'amng'ania sana Magufuli, akasahau idadi ya wana CUF waliokufa Zanzibar enzi za utawala wa Baba yake visiwani na Mkapa bara haijafikiwa na matukio ya mauaji ya kisiasa kama wakati wa Magu. Tena enzi za mzee wake ilikuwa Live... Maalimu Seifu kaibiwa live kwa watu kufa miaka yote Shangazi yenu haoni anaona asio wapenda tu.

Lisu hapa juzi kati akikiri kuwa Magu alipoka tu nafasi ila Samia ameua zaidi ni ushahidi tosha kuwa wanasiasa ni janga la kimataifa, Ben Saanae amevuna alichopanda, unakuwaje karibu na Mbowe yeye hazuriki direct, Slaa alivunjwa mkono, Zitto alipigwa sumu, Lisu bullets, Chacha Wangwe R.I.P then lawama zote upeleke side B. Magu mwenyewe alipigwa sumu before his second assassination, hatujui mangapi alipitia.

Sio kila ukionacho ama ukisikiacho kipo hivyo toka ndani... wamakonde husema "not all what glitter is gold ". Siasa mchezo mchafu, haijalishi siasa za kidini, kimakabila, kiserikali, n.k
 
Hao wote uliowataja hawakutekwa, waliuawa. Ila Ben Saanane na Azory walipotezwa mpaka Leo.
Hivi unajua hata unachosema!. Kuuawa na kupotezwa kupi kuna ushahidi wa moja kwa moja... maana kupotezwa yaweza kuwa mtu kajificha mahali kama zile tetesi za Balali wa BOT. Siasa ni uhuni, hila, visasi, uongo mwingi, maslai binafsi n.k...
 
Kama umekuwepo awamu zote ulipaswa kuwa umejifunza kitu, kila awamu huja na mazuri pamoja na makando kando yake, mengine ya makusudi, mengine bahati mbaya, mengi ya kuchafuliana taswira...

Kumbuka hakuna mwenye nchi hivyo kila mmoja anataka aimiliki hivyo kwa vyovyote wachafuzi huweza kutoka nje au ndani ya system.... ukiwa kama ndugu mtazamaji ni ngumu sana kujua kuwa kila habari kabla ya kuruka kuna uhariri unafanyika... weka hiki toa hiki kwa makusudi fulani...

Fatma Karume mfano, aling'amng'ania sana Magufuli, akasahau idadi ya wana CUF waliokufa Zanzibar enzi za utawala wa Baba yake visiwani na Mkapa bara haijafikiwa na matukio ya mauaji ya kisiasa kama wakati wa Magu. Tena enzi za mzee wake ilikuwa Live... Maalimu Seifu kaibiwa live kwa watu kufa miaka yote Shangazi yenu haoni anaona asio wapenda tu.

Lisu hapa juzi kati akikiri kuwa Magu alipoka tu nafasi ila Samia ameua zaidi ni ushahidi tosha kuwa wanasiasa ni janga la kimataifa, Ben Saanae amevuna alichopanda, unakuwaje karibu na Mbowe yeye hazuriki direct, Slaa alivunjwa mkono, Zitto alipigwa sumu, Lisu bullets, Chacha Wangwe R.I.P then lawama zote upeleke side B. Magu mwenyewe alipigwa sumu before his second assassination, hatujui mangapi alipitia.

Sio kila ukionacho ama ukisikiacho kipo hivyo toka ndani... wamakonde husema "not all what glitter is gold ". Siasa mchezo mchafu, haijalishi siasa za kidini, kimakabila, kiserikali, n.k
You are right
 
Huwezi kuitenga CCM na utekaji unaoendelea nchini
 
Kama wewe ni muoga wa kuandika mambo mazito kama haya bora tu ungenyamaza kimya izi issue za utekaji na mauaji ni issue nyeti na serious unadhani vyombo vinavyo usika vimelala na haviyajui njia yakufanya mpaka uwaelekeze. Angalia watu wanauliwa na kutekwa na njia za uchunguzi zinavyokwenda unamaana kusoma ujui na picha je. Sibiri siku usikie Laptop ya Jaji imeibiwa ndipo utakapo jua umairi wa vyombo vya dola vya nchi hii.
Wewe huna tofauti na yale masokwe ya Gombe kiakili.
 
Kwa sababu hakuna ndugu yako aliyeuwawa
imeandikwa na Respicius Francis kupitia ukurasa wake wa facebook

1.Leo nataka nitoe dukuduku kwa chama cha chadema juu ya kupotea Ben-Rabiu Wa Saanane,
2.Lazima tutambue Ben saanane ni mfanyakazi pale makao makuu chadema,
3.Lazima tutambue Ben Saanane siyo mfanyakzi tu bali ni kiongozi kwasababu amekuwa naongoza program mbalimbali Chadema pale makao makuu,
4.Ukitaja vijana 20 mashauri wa chadema uwezi kukosa kutaja jina la Ben saanane,
5.Ben wa saanane kafanya kazi nyingi chadema hakuna kiongozi mkubwa wa Chadema hasiye mjua BEN ,
MALALAMIKO YANGU.
1.kama mfanyakazi wenu kutoka makao makuu anapotea kwa wiki mbili alafu taasisi kubwa kama Chadema mnakosa kutoa taarifa mpaka watu kutoka facebook ndio wanaoanza kuhoji Ben Saanane yupo wapi?? baada ya kuona page yake facebook ipo kimya bila kuandikwa chochote hivi kweli kitengo cha usalama cha chadema kinafanya kazi??
2.Mtu Kama Ben saanane mfanyakazi kutoka makao makuu anapotea zaidi ya wiki mbili alafu taasisi kubwa kama Chadema inashindwa kutoa taarifa rasmi kwa vyombo habari mpaka muda huu,Ni waulize nyinyi wadau hali hii inatupa picha gani??
3. Mimi najiuliza pia kama Ben saanane anapotea zaidi ya wiki mbili alafu mpaka sasa Sijaona Taarifa yoyote kutoka kwa BAVICHA ,NI waulize nyinyi wadau hali hii inawapa picha gani??,,
4.Mimi nawaulizamaswali nyie watu wa makao makuu chadema siku ya tatu imepita mnapiga simu ya Ben Saanane haipatikani umekaa kimya??, Siku ya saba imepita mnapiga simu ya ben saanane umekaa kimya tu?? wiki pili imepita mnapiga simu ya Ben haipatikani umekaa kimya tu, wiki tatu simu ya ben haipatikan bado mmekaa kimya mpaka watu wa pembeni ndio wanajitkeza na kuanza kuuliza Ben yupo wapi??,,,,Ni waulize nyie wadau hii kitu imekaaje??
MY TAKE
1.Nilitegemea ofisi kuu chadema kama taasisi watupe taarifa kamili juu ya kupotea kwa Ben saanane ,Haiwezikani mfanyakzi wao kutoka makao makuu anapotea zaidi ya wiki tatu alafu hakuna taarifa yoyote kutoka makao makuu chadema mpaka muda huu.. Hivi vijana wengine kama Ben wanaotetea chama na kukipenda chama wanajifunza nini kwa jambo hil
i???,,,
 
Huna akili
 
Back
Top Bottom