Watanzania mliopo hapa Kampala Uganda mnawezaje kula Mdudu (Kitimoto) cha hapa kisicho la ladha kama ya kwetu Tanzania?

M nimexika kaka zangu wawili mkuu kule sio kwa sport sport cdm ziwe kama amri za. Else unapumzika kwa amani chap
Kabisa. Ukijifanya fundi unazikwa. Waganda sio wachoyo kabisa. Na wengi wa mademu wa kibongo waliharibikiwa kule hasa kipindi cha kwenda shule na kurudi nyumbani shule zikifungwa. Ilikuwa ni uzinzi kwenda mbele.
 
Yaani kila Mbongo unayekutana nae anakueleka hapo kwa Machame ila ukifika na Kula Mdudu huipati ile ladha ya Bongo.
Ujaendaaaa kwa og wewe wapo sana tu

Mf jnb ziko Hotel 2 za wachaga ukifikaaa tu unakutanaaa nanmtu katunukiwa we mbwa k.....o hoo ndio salam unakaribishwa wana kitimoto mbuzi ukitaka kuzaliwa mara yapili nunua ya ngamia loh mbafuulapisaa
 
baadae ilikuja 888 ya wachina nyuma ya old taxi park. Kama kungekuwa na camera kama usemavyo wazazi wetu wangeacha na kulipa ada zenyewe kabisa.
Mimi nina uhakika Mzazi wangu kama angeniona kupitia hizo Camera angechomoa Pistol yake ( na hapa Ipo ) na Kuwatanyisha Ubongo wangu Kichwani. Na sijui ilikuwaje kipindi kile yaani kila Mbongo aliyekuwa akija tu hapa Jijini Kampala alikuwa akiiulizia Guest ya Samalien kisha Usiku utaona / utawaona Wanavusha Mademu ( hasa Malaya ) kwenda Kuwachapa nao Vyumbani. Mwenye ile Guest akienda Mbinguni na Kupokelewa vizuri kabisa na Maulana basi naamini hata Mimi Mzinzi Tukuka nitapokelewa nae pamoja na Malaika wake Wakuu Mikaela na Jibril.
 
Kabisa. Ukijifanya fundi unazikwa. Waganda sio wachoyo kabisa. Na wengi wa mademu wa kibongo waliharibikiwa kule hasa kipindi cha kwenda shule na kurudi nyumbani shule zikifungwa. Ilikuwa ni uzinzi kwenda mbele.
Hawana ubaya mkuu yaan akikupenda show yakooo anakupa na ofa bure sikunzimaaa

Mi nilikata friends keshoyake nkapiga show kama leo saa nne mpaka kuminamoja dah mtoto akaomba tuendelee nae nkamwambia na tkt tayari akasema ni avoid nkapiga ofisin wakasema ntakatwa kidogo nkawambia kateni nikija ntaongezea mkuu far walinisubirii mpaka basi nkamwomba naenda kwa watoto nachat nako mpaka kesho

Nawaza jinsi yankukaleta dar mkuu
 
Mimi nina uhakika Mzazi wangu kama angeniona kupitia hizo Camera angechomoa Pistol yake ( na hapa Ipo ) na Kuwatanyisha Ubongo wangu Kichwani. Na sijui ilikuwaje kipindi kile yaani kila Mbongo aliyekuwa akija tu hapa Jijini Kampala alikuwa akiiulizia Guest ya Samalien kisha Usiku utaona / utawaona Wanavusha Mademu ( hasa Malaya ) kwenda Kuwachapa nao Vyumbani. Mwenye ile Guest akienda Mbinguni na Kupokelewa vizuri kabisa na Maulana basi naamini hata Mimi Mzinzi Tukuka nitapokelewa nae pamoja na Malaika wake Wakuu Mikaela na Jibril.
Kuna binti tulisoma nae baba yake alikuwa ni afande mkubwa huku lakini vitu tulivyokuwa tunafanya nae basi hakika yule mzee angetupa kesi ya uhaini.

Ila maisha ya Kampala ya 90's na early 2000s yametufundisha mengi sana katika dunia ya leo.
 
M nimexika kaka zangu wawili mkuu kule sio kwa sport sport cdm ziwe kama amri za. Else unapumzika kwa amani chap
Mimi nina Pumu ( Asthma ) halafu pia ni Group O la Damu ambapo kwa haya Mawili UKIMWI nitausikia kwa Wengine tu.
 
Kuna binti tulisoma nae baba yake alikuwa ni afande mkubwa huku sana lakini vitu tulivyokuwa tunafanya nae basi hakika yule mzee angetupa kesi ya uhaini.

Ila maisha ya Kampala ya 90's na early 2000s yametufundisha mengi sana katika dunia ya leo.
Hakika Mkuu ila Wadogo zetu waliokuja Kusoma huku Uganda kuanzia mwaka 2005 walituharibia tuliowatangulia kwa Sifa mbaya za Kinidhamu. Sisi Kaka zao tulikuwa Watundu ( hasa kwa Kutoroka Mashuleni ) usiku kuja Mjini Kampala kula Bata lakini Darasani tulikuwa tunajitahidi Kufanya vyema ila Wao wakaanza hadi Kuvuta Bange, Unga na kuwa Walevi Kupindukia na kutupa Sifa mbovu Watanzania mbele ya Waganda. Nina mifano Hai ya hawa Madogo.
 
Waganda hawajui kupika. Ogopa nchi ambayo wali unapikwa kwenye majani ya ndizi😀😀. Nchi haina kitumbua kwenye menu ya vitafunwa vyao. Sisi tulioko Bweyogerere kula pilau mnalazimika kujichanga mnalipa mama flani wa ki mombasa ndo anawapikia pilau au upande boda 10k kwenda mgahawa wa Friends Bus Kampala ukale pilau vinginevyo unamaliza miezi 6 haujala pilau.
 
Enzi za Silk na Ange Noir, enzi zetu ilikuwa mchezo kipind cha kabla ya kwenda shule tukitoka majumban, kipindi cha kufukuzwa ada (wengi wetu ilikuwa hatulipi ada yote maksudi ili tutimuliwe kwa muda) na kipindu cha kufunga shule. Kinyume na hapo tulizingatia masomo na pia kutofanya ujangili kama mitoto ya 2005 kwenda mbele.
 
Club Silk nimeiulizia hapa wanasema haipo tena na hiyo Ange Noir sasa imebadilishwa Jina na inaitwa The Governor.
 
NDI
Waganda hawajui kupika. Ogopa nchi ambayo wali unapikwa kwenye majani ya ndizi😀😀. Nchi haina kitumbua kwenye menu ya vitafunwa vyao. Sisi tulioko Bweyogerere kula pilau mnalazimika kujichanga mnalipa mama flani wa ki mombasa ndo anawapikia pilau au upande boda 10k kwenda mgahawa wa Friends Bus Kampala ukale pilau vinginevyo unamaliza miezi 6 haujala pilau.
GU KWENU UNAKULA WALI NA UGANDA TENA M KULE NAPIGA MATOKE NA KARANGAZAO KWENYE MBOGA MPAKA MWISHO NIMEBADILI MBUZI AMA KITIMOTO
 
Ombumbo ne nsanyusa(mboga ya karanga hiki ndo wanachojua kupika labda na michemsho vilivyobaki usiwape wakupikie utatapika
 
Back
Top Bottom