Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
Kabisa. Ukijifanya fundi unazikwa. Waganda sio wachoyo kabisa. Na wengi wa mademu wa kibongo waliharibikiwa kule hasa kipindi cha kwenda shule na kurudi nyumbani shule zikifungwa. Ilikuwa ni uzinzi kwenda mbele.M nimexika kaka zangu wawili mkuu kule sio kwa sport sport cdm ziwe kama amri za. Else unapumzika kwa amani chap