Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Kila siku huwa ninawaambia na kuwaelekeza mambo mengi sana juu ya changamoto katika uongozi.huwa ninawaambia kuwa changamoto huwa hazikosekani.
lakini kikubwa kinachopaswa kuangaliwa ni dhamira ,nia na hatua zinazochukuliwa katika kutatua na kumaliza changamoto na kero husika kama ambavyo imekuwa ikifanya serikali ya CCM chini ya uongozi wa Rais Samia.
Hivi unaweza kufikiria kuwa Marekani iliyopata uhuru wake mwaka 1776 bado inahangaika na kutoa ahadi ya upatikanaji wa maji safi na salama ya kunywa? Unaweza amani hilo? Sasa kama Marekani bado inahangaika na kero hizo ,sisi ni nani mpaka tuanze kumlaumu Rais wetu Mpendwa na CCM wakati tunaona juhudi kubwa anazofanya katika kumaliza changamoto hizo
Kwa kujenga miradi mbalimbali ya maji,kuchimba visima virefu ,kuvuta maji kutoka maeneo ya mbali mpaka kufikisha waliko wananchi pamoja na kuongeza bajeti ya Maji kila mwaka.
Sasa Embu soma hapa Mwenyewe uangalie alichoandika na kusema Kamala Harris
Kwa kuwasaidia wale wasioelewa lugha hiyo ya kizungu ni kuwa.Amemaanisha kwamba Wamarekani wanatakiwa kupata au kuwa na Maji safi na salama ya kunywa.Ndio sababu Joe Biden na Mimi Tumefanya uwekezaji wa kihistoria katika kuboresha miundombinu ya maji na kupanua upatikanaji wa maji safi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.