Watanzania mnajifunza nini kwa Taifa letu juu ya andiko hili la Kamala Harris Mgombea Urais wa Marekani kupitia Democrat?

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Kila siku huwa ninawaambia na kuwaelekeza mambo mengi sana juu ya changamoto katika uongozi.huwa ninawaambia kuwa changamoto huwa hazikosekani.

lakini kikubwa kinachopaswa kuangaliwa ni dhamira ,nia na hatua zinazochukuliwa katika kutatua na kumaliza changamoto na kero husika kama ambavyo imekuwa ikifanya serikali ya CCM chini ya uongozi wa Rais Samia.

Hivi unaweza kufikiria kuwa Marekani iliyopata uhuru wake mwaka 1776 bado inahangaika na kutoa ahadi ya upatikanaji wa maji safi na salama ya kunywa? Unaweza amani hilo? Sasa kama Marekani bado inahangaika na kero hizo ,sisi ni nani mpaka tuanze kumlaumu Rais wetu Mpendwa na CCM wakati tunaona juhudi kubwa anazofanya katika kumaliza changamoto hizo

Kwa kujenga miradi mbalimbali ya maji,kuchimba visima virefu ,kuvuta maji kutoka maeneo ya mbali mpaka kufikisha waliko wananchi pamoja na kuongeza bajeti ya Maji kila mwaka.

Sasa Embu soma hapa Mwenyewe uangalie alichoandika na kusema Kamala Harris
Screenshot_20240924-212510_1.jpg

Kwa kuwasaidia wale wasioelewa lugha hiyo ya kizungu ni kuwa.Amemaanisha kwamba Wamarekani wanatakiwa kupata au kuwa na Maji safi na salama ya kunywa.Ndio sababu Joe Biden na Mimi Tumefanya uwekezaji wa kihistoria katika kuboresha miundombinu ya maji na kupanua upatikanaji wa maji safi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kila siku huwa ninawaambia na kuwaelekeza mambo mengi sana juu ya changamoto katika uongozi.huwa ninawaambia kuwa changamoto huwa hazikosekani.

lakini kikubwa kinachopaswa kuangaliwa na dhamira ,nia na hatua zinazochukuliwa katika kutatua na kumaliza changamoto na kero husika kama ambavyo imekuwa ikifanya serikali ya CCM chini ya uongozi wa Rais Samia.

Hivi unaweza kufikiria kuwa Marekani iliyopata uhuru wake mwaka 1776 bado inahangaika na kutoa ahadi ya upatikanaji wa maji safi na salama ya kunywa? Unaweza amani hilo? Sasa kama Marekani bado inahangaika na kero hizo ,sisi ni nani mpaka tuanze kumlaumu Rais wetu Mpendwa na CCM wakati tunaona juhudi kubwa anazofanya katika kumaliza changamoto hizo

Kwa kujenga miradi mbalimbali ya maji,kuchimba visima virefu ,kuvuta maji kutoka maeneo ya mbali mpaka kufikisha waliko wananchi pamoja na kuongeza bajeti ya Maji kila mwaka.

Sasa Embu soma hapa Mwenyewe uangalie alichoandika na kusema Kamala HarrisView attachment 3105738

Yaan ww ulichokisema ni sawa ujenge nyumba bila choo familia yako ikulaumu, Kisha uwaambie mbona jirani yetu tajir na anajiweza tumehamia tumemkuta tayar kajenga nyumba miaka kumi imepita na hana choo.

Yaan usijenge choo familia yako ikajisaidie haja vichakan na justification yako ni kuwa jiran nae hana choo.. huo ndo ugoro ulioandika hapo.

<two wrongs don't make a right>
 
Mbona mfano wako hauendani kabisa na jambo hili? Hii ndio aina ya mifano na majibu ambayo Baba wa Taifa alisema ya kijinga
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kila siku huwa ninawaambia na kuwaelekeza mambo mengi sana juu ya changamoto katika uongozi.huwa ninawaambia kuwa changamoto huwa hazikosekani.

lakini kikubwa kinachopaswa kuangaliwa na dhamira ,nia na hatua zinazochukuliwa katika kutatua na kumaliza changamoto na kero husika kama ambavyo imekuwa ikifanya serikali ya CCM chini ya uongozi wa Rais Samia.

Hivi unaweza kufikiria kuwa Marekani iliyopata uhuru wake mwaka 1776 bado inahangaika na kutoa ahadi ya upatikanaji wa maji safi na salama ya kunywa? Unaweza amani hilo? Sasa kama Marekani bado inahangaika na kero hizo ,sisi ni nani mpaka tuanze kumlaumu Rais wetu Mpendwa na CCM wakati tunaona juhudi kubwa anazofanya katika kumaliza changamoto hizo

Kwa kujenga miradi mbalimbali ya maji,kuchimba visima virefu ,kuvuta maji kutoka maeneo ya mbali mpaka kufikisha waliko wananchi pamoja na kuongeza bajeti ya Maji kila mwaka.

Sasa Embu soma hapa Mwenyewe uangalie alichoandika na kusema Kamala HarrisView attachment 3105738

Kwa kuwasaidia wale wasioelewa lugha hiyo ya kizungu ni kuwa.Amemaanisha kwamba Wamarekani wanatakiwa kupata au kuwa na Maji safi na salama ya kunywa.Ndio sababu Joe Biden na Mimi Tumefanya uwekezaji wa kihistoria katika kuboresha miundombinu ya maji na kupanua upatikanaji wa maji safi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kaka mbona hapo ni hatua mbili tofauti?
Wao wanaboresha,sisi tunajitafuta kutoa huduma.
Ona kwenye bango " replacing lead pipes" wakati sisi ndo tunapeleka huduma sasa.
Kwa point ya changamoto Kila sehemu zipo tupo pamoja,na Ili si la rais tu ni kazi yetu kuzimaliza.
 
Lucas, hao USA ni developed country. Wanaboresha huduma wakati sisi ni developing country. Bado tunajitafuta.
 
Samahani braza uwezo wako wa kufikiri mdogo sana. Wenzako sio miradi mipya wanakarabati tu mabombs!
 
Wenzetu wanafanya kubadilisha mabomba ya (lead) risasi kuweka ya plastic na chuma inaonekana hata hujui kiingereza.
Mabomba ya lead ( risasi ) wameona sio salama.
Acha uchawa wa kijinga huku kwetu miaka 60 ya uongozi wa ccm bado watu wanakunywa maji ya kwenye madimbwi pamoja na wanyama
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kila siku huwa ninawaambia na kuwaelekeza mambo mengi sana juu ya changamoto katika uongozi.huwa ninawaambia kuwa changamoto huwa hazikosekani.

lakini kikubwa kinachopaswa kuangaliwa na dhamira ,nia na hatua zinazochukuliwa katika kutatua na kumaliza changamoto na kero husika kama ambavyo imekuwa ikifanya serikali ya CCM chini ya uongozi wa Rais Samia.

Hivi unaweza kufikiria kuwa Marekani iliyopata uhuru wake mwaka 1776 bado inahangaika na kutoa ahadi ya upatikanaji wa maji safi na salama ya kunywa? Unaweza amani hilo? Sasa kama Marekani bado inahangaika na kero hizo ,sisi ni nani mpaka tuanze kumlaumu Rais wetu Mpendwa na CCM wakati tunaona juhudi kubwa anazofanya katika kumaliza changamoto hizo

Kwa kujenga miradi mbalimbali ya maji,kuchimba visima virefu ,kuvuta maji kutoka maeneo ya mbali mpaka kufikisha waliko wananchi pamoja na kuongeza bajeti ya Maji kila mwaka.

Sasa Embu soma hapa Mwenyewe uangalie alichoandika na kusema Kamala HarrisView attachment 3105738

Kwa kuwasaidia wale wasioelewa lugha hiyo ya kizungu ni kuwa.Amemaanisha kwamba Wamarekani wanatakiwa kupata au kuwa na Maji safi na salama ya kunywa.Ndio sababu Joe Biden na Mimi Tumefanya uwekezaji wa kihistoria katika kuboresha miundombinu ya maji na kupanua upatikanaji wa maji safi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nani alikwambia watanzania hua tuna la kujifunza?

Tungelkua na uwezo huo tusingekua hapa tulipo
 
Unaonekana Bado unaujinga mwingi sana
 
Umeelewa ujumbe au umekurupuka tu?
Kwa hii post ni kama Leo umekuwa kinyume na mama, maeneo kibao hawana hata hayo maji ,Dodoma ,singida, chunya Kuna maeneo ukipita na maji unatekwa,. Njoo maeneo yenye maji Sasa, maji yetu Yana typhoid,amoeba ,kichocho ,kipindupindu ,so Leo usingeandika jina la mama umemwaibisha
 
Kwanini unaonyesha umbumbumbu wako kiasi hicho kwa andiko ambalo lipo wazi kabisa? Umeelewa nilichokiandika na kukielezea?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kila siku huwa ninawaambia na kuwaelekeza mambo mengi sana juu ya changamoto katika uongozi.huwa ninawaambia kuwa changamoto huwa hazikosekani.

lakini kikubwa kinachopaswa kuangaliwa na dhamira ,nia na hatua zinazochukuliwa katika kutatua na kumaliza changamoto na kero husika kama ambavyo imekuwa ikifanya serikali ya CCM chini ya uongozi wa Rais Samia.

Hivi unaweza kufikiria kuwa Marekani iliyopata uhuru wake mwaka 1776 bado inahangaika na kutoa ahadi ya upatikanaji wa maji safi na salama ya kunywa? Unaweza amani hilo? Sasa kama Marekani bado inahangaika na kero hizo ,sisi ni nani mpaka tuanze kumlaumu Rais wetu Mpendwa na CCM wakati tunaona juhudi kubwa anazofanya katika kumaliza changamoto hizo

Kwa kujenga miradi mbalimbali ya maji,kuchimba visima virefu ,kuvuta maji kutoka maeneo ya mbali mpaka kufikisha waliko wananchi pamoja na kuongeza bajeti ya Maji kila mwaka.

Sasa Embu soma hapa Mwenyewe uangalie alichoandika na kusema Kamala HarrisView attachment 3105738

Kwa kuwasaidia wale wasioelewa lugha hiyo ya kizungu ni kuwa.Amemaanisha kwamba Wamarekani wanatakiwa kupata au kuwa na Maji safi na salama ya kunywa.Ndio sababu Joe Biden na Mimi Tumefanya uwekezaji wa kihistoria katika kuboresha miundombinu ya maji na kupanua upatikanaji wa maji safi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mambo mengine mnajilinganisha nakuona mifano yao mizuri mbona kwenye kukosoa mnasema msiingiliwe mambo yenu ya ndani?Mnakataa kula nyama ya nguruwe lakini supu yake mnaitaka?
 
We mtoa post acha kutuzuga kingereza tunajua kasema “to improve” elewa neno tu imporve “achieve or produce something better than” Ku improve ni kuboresha sio kutengeneza upya anaboresha kulingana na ongezeko la technolojia au ongezeko la watu hio ipo duniani kote sawa na matoleo ya simu yanatoka kila mwaka yakiwa na improvemnt kadhaa mtoaji usifananishe kabisa Uongozi wa Kamala Harriss na nchi zetu za ki-bush men ….Mama anatoa 10m kwa kila goal la Yanga na Simba as if serikali imeshamaliza matatizo yote ya Wananchi Club zina budget yake na watu wanajituma sbb wanalipwa na isitoshe asilimia kubwa ni wageni Motisha kwann asikarabati viwanja vya shule au vya mikoani huko ili watu wapate fursa kwann asinunue vifaa vya mipira akapeleka mashuleni huko kuliko huo upuuzi wa kutoa hela kwa kila goal zinaliwa na wenye pesa …..
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kila siku huwa ninawaambia na kuwaelekeza mambo mengi sana juu ya changamoto katika uongozi.huwa ninawaambia kuwa changamoto huwa hazikosekani.

lakini kikubwa kinachopaswa kuangaliwa na dhamira ,nia na hatua zinazochukuliwa katika kutatua na kumaliza changamoto na kero husika kama ambavyo imekuwa ikifanya serikali ya CCM chini ya uongozi wa Rais Samia.

Hivi unaweza kufikiria kuwa Marekani iliyopata uhuru wake mwaka 1776 bado inahangaika na kutoa ahadi ya upatikanaji wa maji safi na salama ya kunywa? Unaweza amani hilo? Sasa kama Marekani bado inahangaika na kero hizo ,sisi ni nani mpaka tuanze kumlaumu Rais wetu Mpendwa na CCM wakati tunaona juhudi kubwa anazofanya katika kumaliza changamoto hizo

Kwa kujenga miradi mbalimbali ya maji,kuchimba visima virefu ,kuvuta maji kutoka maeneo ya mbali mpaka kufikisha waliko wananchi pamoja na kuongeza bajeti ya Maji kila mwaka.

Sasa Embu soma hapa Mwenyewe uangalie alichoandika na kusema Kamala HarrisView attachment 3105738

Kwa kuwasaidia wale wasioelewa lugha hiyo ya kizungu ni kuwa.Amemaanisha kwamba Wamarekani wanatakiwa kupata au kuwa na Maji safi na salama ya kunywa.Ndio sababu Joe Biden na Mimi Tumefanya uwekezaji wa kihistoria katika kuboresha miundombinu ya maji na kupanua upatikanaji wa maji safi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hiyo hela baba yako aliyotumia kukupeleka shule bora angeolea mke wa pili huenda angepata mtoto mwenye akili timamu wewe angekuacha ujishirikishe kwenye ulozi na uchawi tu.
 
Kaka mbona hapo ni hatua mbili tofauti?
Wao wanaboresha,sisi tunajitafuta kutoa huduma.
Ona kwenye bango " replacing lead pipes" wakati sisi ndo tunapeleka huduma sasa.
Kwa point ya changamoto Kila sehemu zipo tupo pamoja,na Ili si la rais tu ni kazi yetu kuzimaliza.
Lucas ni kiumbe mwingine tofauti na sisi. Uelewa wake ni mdogo sana.
 
Back
Top Bottom