Watanzania mnaoishi ughaibuni msitukane mamba kabla hamjavuka mto, Kuna siku mtatimuliwa huko ughaibuni

Watanzania mnaoishi ughaibuni msitukane mamba kabla hamjavuka mto, Kuna siku mtatimuliwa huko ughaibuni

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,648
Reaction score
2,706
Nyie Watanzania wenzangu mnaopotosha umma mkiwa ughaibuni jueni kuwa sera za kimataifa kila siku huwa zinabadilika ipo siku mtarudishwa nchini kwa lazima,

Amani yetu ni mhimu sana, tumeikuta amani tumezaliwa kwenye amani ndo maana tupo hai mpaka Leo, wewe kwenda kanada au Marekan usiwe ndo sababu ya kuwababaisha Watanzania tunaoendelea na majukum yetu hapa nchini.

Nashauri taarifa zenu zitunzwa hata mkirudi wazee hii hukumu iwakute.
 
Nyie Watanzania wenzangu mnaopotosha umma mkiwa ughaibuni jueni kuwa sera za kimataifa kila siku huwa zinabadilika ipo siku mtatudishwa nchini kwa lazima, mm nashauri mkikamatwa mnyongwe Hadi kufa hadharani.

Amani yetu ni mhimu sana, tumeikuta amani tumezaliwa kwenye amani ndo maana tupo hai mpaka Leo, wewe kwenda kanada au Marekan usiwe ndo sababu ya kuwababaisha Watanzania tunaoendelea na majukum yetu hapa nchini.
Nashauri taarifa zenu zitunzwa hata mkirudi wazee hii hukumu iwakute.
Wakitimuliwa wanapokelewa Rwanda, Uganda, Eswatini etc
 
Kwanini wanyongwe?. Wameua mtu. Adhabu lazima iendane na kosa
 
Back
Top Bottom