Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 2,091
- 1,918
Hatutaki uchaguzi mwingine huyu anatosha.Tunataka aijenge Chato hadi ifikie lile jiji la China alilolisema Prof Kabudi. Hicho kipaumbele chetu tunachotaka sisi wananchi wanyonge
mleta mada naona unauliza watanzania mnapenda kwani wewe ni raia wa nchi gani? tufahamine.Sababu ulivyouliza unaonyesha wazi kuwa wewe sio raia wa Tanzania.Usituingilie mambo ya ndani ya nchi yetu .
Maafisa uhamiaji mtu wenu huyo shughulikeni naye anaonyesha wazi sio raia wa Tanzania
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Afute posho za wabunge. Mishahara ya wabunge take home iwe TZS 1,200,000 tu. Wakatwe PAYE, NSSF/PSSSF. Pia wafuatilie mafao yao huko PSSSF/NSSF kama wastaafu wengine.
Binafsi ningependekeza kwanza kabisa, wagombea wote wa nafasi za Urais wapitie kwenye mchakato mrefi wa kitabibu ili kujiridhisha kuwa wana afya nzuri ya akili.Watanzania, Salaam!
Nianze kwa kuwapa hongera nyingi sana kwa jinsi mnavyopambana kila siku, kila wiki, kila mwezi na kila mwaka kuhakikisha mnayakabili maisha. Kwa wale mliokutana na vikwazo kadhaa niwape pole pia.
Wanasiasa wametuaminisha kwamba kuisha kwa uchaguzi mmoja ndiyo mwanzo wa uchaguzi mwingine - na ndivyo ilivyo. Pamoja na mengi mazuri aliyofanya rais aliyepo Kama:
- Ununuzi wa ndege,
- Ujenzi na upanuzi wa viwanja vya ndege,
- Ongezeko la mapato ya Serikali,
- Uwajibikaji,
- Ujenzi wa miundombinu ya Barbara, nk
Je, huyu ajaye kurithi kiti na kijiti hiki azingatie vipaumbele gani kwa umuhimu?