Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

Kupakwa wese tena
 
Kama una ndugu yako kule mwambie akutumie $500usd akituma niite mbwa
Kaka mtu kukusaidia au kukupatia kitu kwa hiyari, ni thamani yako kwake, mapenzi au inategemea na roho yake au nafsi yake yeye mtoaji... Haimaniishi kama hana au ana mambo mengi sijui.

Asipokupa haimaanishi pesa hakuna au mambo magumu. Maisha ya kule na hapa sio sawa in terms of every aspect! Usiwapotoshe kupitiliza wenzako. Wewe ulienda ukavuna ulichovuna ukaamua kurudi. Waache na wenzako wakabahatishe, usikufuru mungu kwamba hukupata chochote. Exposure yako ni njia tosha ya kujikwamua au kukufanya upate ulivyonavyo leo. Si bora ukapige zako kazi za 20usd-50usd per hour, kuliko kusubiri kazi za ajira portal za connection?! Tusiseme sana tukapotea... Waache vijana!
 
Marekani utaingiza kipato kikubwa lakini matumizi ni makubwa pia kwasababu ya gharama za maisha kuwa kubwa sana, hiyo ndiyo sababu ya umasikini kuwakumba watu wa mataifa makubwa
 
Kufungua Pharmacy USA Gharama zinaweza kubadilika kutoka $250,000 hadi $1,800,000. tarajia gharama za kufungua kufikia $500,000 – $700,000
Sio U.S.A ninachojua kufungua biashara nchi za kimagharibi na zote zenye baridi duniani ni hatua nyingi na gharama ndefu ile mbaya! Mpaka ukamilishe vibali na vielelezo vyote lazima jasho ikutoke na utoboke sana mfuko.

Hapo umezungumzia nyanja ya afya, hiyo ndo kabisaaaaaa!
 
Duhhh! Ndomana wakina Diddy wana scandals mbaya za kuwafanyia vitendo hivyo wanaume wenzao, na watu maarufu wengineo.
 
Kwenye Afya utanyonywa hela za vibali kama kunguni
 
Bro ukubwa wa maisha nivile ww unavyotaka kuisha ukitaka kuishk kufazali kipindi unatafuta apo ndio shida inapo azia Mbona ata bongo zipo nyumba za bei iyo ila kwhyo tukimbie napo bongo acha kutisha watu brother acha watu wakatafuta maish nch yoyote garama kila sehem zpo ila ww ndio utachagua uish vipi?
 
Kwa huu mfano wako nimeanza kuwa na wasiwasi kama wengine wanavyokutilia shaka ndugu Mr. Why... Rais wa nchi yoyote ndio mzalendo wa kwanza na role model wa kila mtu ndani na nje ya nchi yake... Hata walio nje macho na masikio kwake, "leo kafanya nini au kaongea nini" sasa Rais akimbie nchi yake hata kama mstaafu akaishi nje we unaona hiyo ni akili ya sawasawa?!

Na pesa za kuishi huko anazo vilevile kwa taarifa yako.
 
Wamarekani wengi hawana maisha ni show off hamna kitu, wenye pesa ni wachache pale kinachowasaidia wanajua kuvaa na vigari vyao vya mkopo
Utapewa gari la mkopo ukimaliza marejesho ni pesa ya magari matatu
Hujaishi Marekani, acha kuendelea kuandika usiyoyajua... Ni dalili ya uzwazwa we MPUMBAVU
 
Marekani wasenge ndiko uchoko ulipoanzia sasa machoko yanawababaishaje Wabongo asee jiaminini wale ni mafala sana baki hapa mtapata maisha
Wenzako wanaongea point, umeng'ang'ana na vitu visivyo na tija... Popote pale duniani kuwa shoga utake mwenyewe. Na wapo kila sehemu unayoijua... Shindana kwa point!

HUJAISHI MAREKANI, WALA HUPAJUI MBALI NA KWENYE MOVIE NA MIZIKI NA JEURI YA KWENDA HUNA NA AKILI HUNA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…