Magezi bugaga
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 1,181
- 1,594
Mzee ungeendekea kupiga box au ulipigwa banNilikua Atlanta Georgia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee ungeendekea kupiga box au ulipigwa banNilikua Atlanta Georgia
Kupakwa wese tenaSasa unataka uendelee kukalisha pumbu zako kwenye nyumba ya mtu bila kulipa pango wakuchekee tu ?
Hizi akili zenu za kitaahila za hapa Bongo , ndio maana hamuwezi kuishi nchi za watu .
Mnaenda huko mnapata pesa mnaishia kufanya upambavu halafu unataka kumpiga sound landlord ,
Ninyi Ndio huwa mnapakwa wese , dume zima unataka Kitonga
Kaka mtu kukusaidia au kukupatia kitu kwa hiyari, ni thamani yako kwake, mapenzi au inategemea na roho yake au nafsi yake yeye mtoaji... Haimaniishi kama hana au ana mambo mengi sijui.Kama una ndugu yako kule mwambie akutumie $500usd akituma niite mbwa
Marekani utaingiza kipato kikubwa lakini matumizi ni makubwa pia kwasababu ya gharama za maisha kuwa kubwa sana, hiyo ndiyo sababu ya umasikini kuwakumba watu wa mataifa makubwaKaka mtu kukusaidia au kukupatia kitu kwa hiyari, ni thamani yako kwake, mapenzi au inategemea na roho yake au nafsi yake yeye mtoaji... Haimaniishi kama hana au ana mambo mengi sijui.
Asipokupa haimaanishi pesa hakuna au mambo magumu. Maisha ya kule na hapa sio sawa in terms of every aspect! Usiwapotoshe kupitiliza wenzako. Wewe ulienda ukavuna ulichovuna ukaamua kurudi. Waache na wenzako wakabahatishe, usikufuru mungu kwamba hukupata chochote. Exposure yako ni njia tosha ya kujikwamua au kukufanya upate ulivyonavyo leo. Si bora ukapige zako kazi za 20usd-50usd per hour, kuliko kusubiri kazi za ajira portal za connection?! Tusiseme sana tukapotea... Waache vijana!
Unataka kusema hizo familia hazipo we Mzaramo?!Je hapa hapa Tanzania unaweza kumwambia nduguyo akutumie shilingi Tshs. 1,000,000 akakutumia fasta ?
Kwahiyo kuuana nje nje?! 😳Uturuki nchi nzima ni vichaa
Sio U.S.A ninachojua kufungua biashara nchi za kimagharibi na zote zenye baridi duniani ni hatua nyingi na gharama ndefu ile mbaya! Mpaka ukamilishe vibali na vielelezo vyote lazima jasho ikutoke na utoboke sana mfuko.Kufungua Pharmacy USA Gharama zinaweza kubadilika kutoka $250,000 hadi $1,800,000. tarajia gharama za kufungua kufikia $500,000 – $700,000
Walio-like huu mchango ni mataahiraIn my projects, my project thick
In my projects, everybody cooks bricks
In my projects, my projects thick
Don't come to my projects if you ain't with this clique.
Still catch me in the 'jects fvckin' with the h0es (projects)
Like Coo-Coo Cal
Duhhh! Ndomana wakina Diddy wana scandals mbaya za kuwafanyia vitendo hivyo wanaume wenzao, na watu maarufu wengineo.Ngoja nikupe siri ya Marekani, pale maisha ni magumu sana ukiwa na hela unaweza kuwala wote, Marekani pale ukiwa na hela mwambie mtu njoo liwa na mbwa wangu nikupe hela atakuja haraka sana, wanashida na hela ndio maana hawajui maana ya neno dhambi, Mmarekani mfanye chochote umpe hela atakubali
Kwenye Afya utanyonywa hela za vibali kama kunguniSio U.S.A ninachojua kufungua biashara nchi za kimagharibi na zote zenye baridi duniani ni hatua nyingi na gharama ndefu ile mbaya! Mpaka ukamilishe vibali na vielelezo vyote lazima jasho ikutoke na utoboke sana mfuko.
Hapo umezungumzia nyanja ya afya, hiyo ndo kabisaaaaaa!
Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani, Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota za kupanga tangu utoto wao mpaka uzee.
Inawezekana mnatazama maisha yao kwenye Tv na mwisho mnapagawa na kudhani kuwa wale watu ni matajiri lakini ukweli ni kwamba wanaishi kota za kupanga na kumiliki nyumba Marekani sio jambo rahisi angalao uwe na 1B mimi nimeishi kule kwa muda mrefu maisha yao ni ya show off kama za watu wa Kinondoni kula Bata vinywaji kidogo na picha nyingi mfukono 0 Balance huku vitu kama hivyo vikipatikana hapo Mlimani City na kwingineko huko Masaki.
Kijana wa Marekani ni mtu wa show off nyingi lakini anaishi chumba cha kupanga ambacho hata kitanda cha 6x6 hakiingii.
Kinachowasaidia kuonekana ni watu wa maana ni uhuni hasa upande wa mablack kupiga pamba kali, sagging na kuongea kwa kihuni lakini ukweli ni apeche alolo na wabongo wanaoishi kule wambie wakutumie hata $500usd kama watatuma niite mbwa. Kule fanya ni sehemu ya kwenda kula bata tu, fanya maendeleo hapa Bongo kule nenda katalii lakini kufanya maisha nikupoteza muda.
Mmarekani anazaliwa mpaka anazeeka hajawahi kumiliki meter ya maji na umeme yenye jina lake yaani ni sawa na mfungwa.
Wabongo wengi ambao mmetulia hapa mna maisha mazuri na mnamiliki mijengo ya maana sio kama wale wachovu ambao wanawachanganya kwa show off mpaka mnataka kuacha nchi yenu mkaishi na wahuni wa show off.
Mbongo unaacha nchi yako unaenda kuteseka kule kama sio mwehu ni nini. Vyumba kama hivi mmevikosa hapa Bongo au mnawehuka?
Nabado vihela mnavyopata kule vinaishia kwenye matumizi hazitoshi hata kufanya savings.
View attachment 3035626View attachment 3035627
Baadhi ya Watanzania wangu bado hawanelewi nimeona ni attach hii video ya bro labda itawafungua macho
View: https://youtu.be/UDIpQ1XWcRg?si=B7PvJdMy-8eipUC7
30M bado sijaweka mazagazaga asee tuwe serious. Nakupa mfano mmoja Raisi mstaafu Kikwete ana pesa mingi sio kwamba hawezi kuishi Los Angeles amesomea uchumi na maraisi wengi wa wamesomea uchumi na wanafahamu maana ya neno pesa ndio maana wakistaafu wanaendelea kuishi hapa wanafahamu kuishi kwenye nchi ambayo gharama za maisha ni kubwa sana ni ujinga vinginevyo tungewaona wanakimbilia kuishi kule. Mtu anayekimbilia kuishi Marekani hajasomea uchumi aliyesomea uchumi anaishi Tanzania
Tembelea miradi ya Songas... Mule bomba lilipopita, wapo tele! 😂
Sisi waomba mungu tusio na Koneksheni tunababaika baba 😂👍Kwani nani aliwahi kubabaika?
Ukirudi dishi limeyumba au watakuulia hukohuko tena kinyama na video zako zitatumwa bongo, jinsi watakavyokukatakata vidole na kukutoboatoboa 😂👍Bora nitimkie zangu urusi😎
Ina maana huko hakuna mchwaPale mtu akianza ujenzi wake utaona kitu kama hiki
Huku kwetu Africa sisi haya ni mabanda ya kuku
View attachment 3038051View attachment 3038052
Hujaishi Marekani, acha kuendelea kuandika usiyoyajua... Ni dalili ya uzwazwa we MPUMBAVUWamarekani wengi hawana maisha ni show off hamna kitu, wenye pesa ni wachache pale kinachowasaidia wanajua kuvaa na vigari vyao vya mkopo
Utapewa gari la mkopo ukimaliza marejesho ni pesa ya magari matatu
Wenzako wanaongea point, umeng'ang'ana na vitu visivyo na tija... Popote pale duniani kuwa shoga utake mwenyewe. Na wapo kila sehemu unayoijua... Shindana kwa point!Marekani wasenge ndiko uchoko ulipoanzia sasa machoko yanawababaishaje Wabongo asee jiaminini wale ni mafala sana baki hapa mtapata maisha