Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Endelea kujifariji mzee wewe kweli kituko yaani unasema mmarekani hamiliki nyumba hiyo itakua marekani ya igungaHivi kuishi kwenye majengo mazuri yanayomilikiwa na Serikali na hauna chako hiyo ni nini kama sio utumwa? Serikali yao imetaka ndiyo imiliki utajiri wote lakini sio Wananchi wake, ni sawa na mimi kuishi kwenye nyumba nzuri ya ndugu yangu lakini ni apeche alolo
Huyo ni masikini tu hamna analojuaJamaa kafulia USA sasa anaanza kusagia. Wacha watu waishi wanakotaka kuishi.
Hii ni moja kati 10 tu bado tisa hazijaonekana yani kule ni apeche aloloHomelessness ni changamoto kubwa sana Marekani
View attachment 3035739View attachment 3035740View attachment 3035741View attachment 3035743View attachment 3035744View attachment 3035747
Sasa mzee hao ndio watu wa aina ya mtoa post ambao wamevamia jiji lazima ulale barabarani kwahiyo hasira anakuja kumalizia jamii forum hao wapo Hadi nchi za Europe sio USA tuHomelessness ni changamoto kubwa sana MarekaniView attachment 3035748
Haya mageto ya watu Marekani huko
View attachment 3035739View attachment 3035740View attachment 3035741View attachment 3035743View attachment 3035744View attachment 3035747
Hii ni moja kati 10 tu bado tisa hazijaonekana yani kule ni apeche alolo
Endelea kujifariji mzee ukiwa huko sigimbiUchumi wa Marekani unamilikiwa na matajiri wachache sana. Wengine mpambano kama kawa
Kama una ndugu yako kule mwambie akutumie $500usd akituma niite mbwa
Sasa mzee hao ndio watu wa aina ya mtoa post ambao wamevamia jiji lazima ulale barabarani kwahiyo hasira anakuja kumalizia jamii forum
Endelea kujifariji mzee ukiwa huko sigimbi
Acha uongo wenyeji hamna hao ni waliozamia kizembe na mateja wa madawa ndio utakuta wako barabarani Mimi nipo huku na najua haya mamboWenyeji wapo wengi tu humo
Acha uongo wenyeji hamna hao ni waliozamia kizembe na mateja wa madawa ndio utakuta wako barabarani Mimi nipo huku na najua haya mambo
Uturuki nchi nzima ni vichaaNimeghairi ntaenda zangu uturuki
Nipo kitandani mda huu ngoja kukikucha nitaweka picha hapaTupigie picha ya mtaa ulipo, picha 3 tofauti za eneo moja
Boston nilijionea Wamarekani kibao homelessness
Hao ni mateja wa madawa hamna mwenyeji mwenye akili timamu alale barabarani acha uongo mzeeBoston nilijionea Wamarekani wenyeji wa kutosha tu ni homelessness