Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

Homelessness ni changamoto kubwa sana Marekani

Haya mageto ya watu Marekani huko

20240617_070108.jpg
20240617_065836.jpg
20240617_065847.jpg
20240617_070115.jpg
20240617_071301.jpg
20240617_071309.jpg
20240617_071305.jpg
 
Hivi kuishi kwenye majengo mazuri yanayomilikiwa na Serikali na hauna chako hiyo ni nini kama sio utumwa? Serikali yao imetaka ndiyo imiliki utajiri wote lakini sio Wananchi wake, ni sawa na mimi kuishi kwenye nyumba nzuri ya ndugu yangu lakini ni apeche alolo
Endelea kujifariji mzee wewe kweli kituko yaani unasema mmarekani hamiliki nyumba hiyo itakua marekani ya igunga
 
Watu wako nje wamebadili maisha ya nyumbani kwao na wamewekeza hapa nyumbani vya kutosha,unatuambia nini wewe...?Unajua hawa vijana wa UVCCM wanafaika wa tozo mnataka kutufanya tuamini life la bongo ni simple.Sasa we kijana wa UV thamani ya ardhi ya Uk,USA na kwingineko huko mambele unataka uilinganishe na ya Bongo...?Malengo ya kwenda nje sio lazima ujenge huko au upate pay kirahisi,lkn mazingira ya upatikanaji riziki usiulinganishe na wa hapa Bongonyoso...
 
Back
Top Bottom