Labda utoboe katiba na sheria ndiyo utatoka kimaisha, kinyume na hapo sahau. Hata wewe kama ni kweli uliishi ulaya au US basi tambua kilichokufanya utusue siyo kuishi bongo bali ni exposure na capital uliyoipata nje ya bongo.Na maisha utapata na nyumba utajenga nina uhakika ndugu yangu, hapa Tz utatoboa
Asee tuwe serious Chris Brown anadaiwa mkopo naona ndo utamuua, ile nchi isikie kwenye Tv gusa unase. Mm nayosema hapa sio kichaa nimeishi pale muda mrefu na nimeondoka baada ya kugundua kwa Mwaka ile nchi inanichukulia 30M, pale nmeishi kwenye single room lakini kumbuka kwa mwaka 30M zilikatika sana natoka pale narudi Bongo nimejenga na usafiri nikapata wenzangu waliobakia pale bado wanazidi kumfanyia Biden kazi, kumbuka ile nchi imetengeneza mfumo wa mwananchi kuwa mtumwa wa Serikali ndio maana uchumi wao unashikiliwa na Serikali sio wananchi, huwezi kufanikiwa ukiwa kwenye mikono ya Serikali ya Marekani kumbuka wale ni wakoloni tangu zamani, sasa hivi wanafanya ukoloni kwa akili mfano kumnyima mwananchi kumiliki assets ili aishi kama mbumbumbuWe kweli kilaza mtu mwenye gari USA anaingiza kipato zaidi ya $100 hapo nimekutolea mfano wa fukara wa marekani sio mtu mwenye kipato Cha kueleweka hivi mzee ulienda hata shule kidogo halafu mambo ya bili na maji umeme serikali inachukua Chao mwisho wa mwezi Kila nyumba kutokana na matumizi Yako naona wewe hata USA hujaishi ila unaigiza
Huduma za afya utapewa lakini kumbuka hela utakayolipia bima hapa bongo utapata boda nne ambazo ukiwapa vijana umetoka
Ukiwa na akili kama hizi utakufa na umasikini yaani 30M ndio hela ya kuongelea humu Kodi ya mwaka mzee kumbe ulivamia jiji kwahiyo ulitaka ulipe Kodi kama unayolipa huko tandale kwenye panya sioAsee tuwe serious Chris Brown anadaiwa mkopo naona ndo utamuua, ile nchi isikie kwenye Tv gusa unase. Mm nayosema hapa sio kichaa nimeishi pale muda mrefu na nimeondoka baada ya kugundua kwa Mwaka ile nchi inanichukulia 30M, pale nmeishi kwenye single room lakini kumbuka kwa mwaka 30M zilikatika sana natoka pale narudi Bongo nimejenga na usafiri nikapata wenzangu waliobakia pale bado wanazidi kumfanyia Biden kazi, kumbuka ile nchi imetengeneza mfumo wa mwananchi kuwa mtumwa wa Serikali ndio maana uchumi wao unashikiliwa na Serikali sio wananchi, huwezi kufanikiwa ukiwa kwenye mikono ya Serikali ya Marekani kumbuka wale ni wakoloni tangu zamani, sasa hivi wanafanya ukoloni kwa akili mfano kumnyima mwananchi kumiliki assets ili aishi kama mbumbumbu
30M bado sijaweka mazagazaga asee tuwe serious. Nakupa mfano mmoja Raisi mstaafu Kikwete ana pesa mingi sio kwamba hawezi kuishi Los Angeles amesomea uchumi na maraisi wengi wa wamesomea uchumi na wanafahamu maana ya neno pesa ndio maana wakistaafu wanaendelea kuishi hapa wanafahamu kuishi kwenye nchi ambayo gharama za maisha ni kubwa sana ni ujinga vinginevyo tungewaona wanakimbilia kuishi kule. Mtu anayekimbilia kuishi Marekani hajasomea uchumi aliyesomea uchumi anaishi TanzaniaUkiwa na akili kama hizi utakufa na umasikini yaani 30M ndio hela ya kuongelea humu Kodi ya mwaka mzee kumbe ulivamia jiji kwahiyo ulitaka ulipe Kodi kama unayolipa huko tandale kwenye Mendes na panya sio
Huyo uliemtolea mfano ushasema raisi mstaafu kuendelea kwake kubaki hapo tanzania ni muendelezo wa kuiibia serikali unataka aje huku ataiba wapi acha habari zako halafu 30M marekani ni pesa ndogo sana ambayo mafukara wanaipata Kwa mda mfupi sana kama unafanya kazi Sasa nakushangaa unalalamika aisee ulivamia jiji wewe usilazimishe furaha marekani na tanzania ni mbingu na ardhi30M bado sijaweka mazagazaga asee tuwe serious. Nakupa mfano mmoja Raisi mstaafu Kikwete ana pesa mingi sio kwamba hawezi kuishi Los Angeles amesomea uchumi na maraisi wengi wa wamesomea uchumi na wanafahamu maana ya neno pesa ndio maana wakistaafu wanaendelea kuishi hapa wanafahamu kuishi kwenye nchi ambayo gharama za maisha ni kubwa sana ni ujinga vinginevyo tungewaona wanakimbilia kuishi kule. Mtu anayekimbilia kuishi Marekani hajasomea uchumi aliyesomea uchumi anaishi Tanzania
Umeongeza sifuri nyingi sana ndugu. Ten tu hapa linasumbua mkuu. Unapiga simu mpaka inazima na bado haupati kitu.Je hapa hapa Tanzania unaweza kumwambia nduguyo akutumie shilingi Tshs. 1,000,000 akakutumia fasta ?
AshindweHuyu jamaa anataka tuendelee kubaki bongo ili tukose fursa kutoka nchi za Dunia ya kwanza,ashindwe kwa jina la Yesuu,
Wakati huo unaingiza kiasi gani? Au ulitaka ufanye kazi ya $15 kwa saa (nimeshatoa makato) kwa masaa nane halafu urudi zako ghetto ukalale? Upo serious kweli?$100usd haitoshi kitu pale ukweli ndo huo bill ya maji na umeme sio sh mbili internet sio sh mbili bei ya kucharge gari pale unaijua kweli? Je bei ya parking kila siku, asee
Homeless wengi wa US ni waathirika wa dawa za kulevya hakuna kampuni inayowaamini kuwapatia kazi.Homelessness ni changamoto kubwa sana MarekaniView attachment 3035748
Haya mageto ya watu Marekani huko
View attachment 3035739View attachment 3035740View attachment 3035741View attachment 3035743View attachment 3035744View attachment 3035747
Mbona unaandika kama upo Yombo vitukaWewe hujawahi kanyaga USA ungekanyaga USA usingeongea utumbo kama huu kwa taarifa Yako huku Kuna nyumba mpaka za 100 million ni wewe tu usitake kudanganya watu mzee usifikiri Kila mtu aliepo humu yupo tanzania na Mimi ni mmoja Nina asili ya tanzania ila namiliki mjengo hapa USA usikatishe vijana tamaa kisa wewe umeshindwa kujamzee mchina mwenyewe anataka kuishi USA Kila siku wanaingia sembuse wewe mtanzania
Kwani kumiliki nyumba ndio nini?Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani, Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota za kupanga tangu utoto wao mpaka uzee
Inawezekana mnatazama maisha yao kwenye Tv na mwisho mnapagawa na kudhani kuwa wale watu ni matajiri lakini ukweli ni kwamba wanaishi kota za kupanga na kumiliki nyumba Marekani sio jambo rahisi angalao uwe na 1B mimi nimeishi kule kwa muda mrefu maisha yao ni ya show off kama za watu wa Kinondoni kula Bata vinywaji kidogo na picha nyingi mfukono 0 Balance huku vitu kama hivyo vikipatikana hapo Mlimani City na kwingineko huko Masaki
Kijana wa Marekani ni mtu wa show off nyingi lakini anaishi chumba cha kupanga ambacho hata kitanda cha 6x6 hakiingii
Kinachowasaidia kuonekana ni watu wa maana ni uhuni hasa upande wa mablack kupiga pamba kali, sagging na kuongea kwa kihuni lakini ukweli ni apeche alolo na wabongo wanaoishi kule wambie wakutumie hata $500usd kama watatuma niite mbwa. Kule fanya ni sehemu ya kwenda kula bata tu, fanya maendeleo hapa Bongo kule nenda katalii lakini kufanya maisha nikupoteza muda
Mmarekani anazaliwa mpaka anazeeka hajawahi kumiliki meter ya maji na umeme yenye jina lake yaani ni sawa na mfungwa
Wabongo wengi ambao mmetulia hapa mna maisha mazuri na mnamiliki mijengo ya maana sio kama wale wachovu ambao wanawachanganya kwa show off mpaka mnataka kuacha nchi yenu mkaishi na wahuni wa show off
Mbongo unaacha nchi yako unaenda kuteseka kule kama sio mwehu ni nini
Vyumba kama hivi mmevikosa hapa Bongo au mnawehuka???
Nabado vihela mnavyopata kule vinaishia kwenye matumizi hazitoshi hata kufanya savings
View attachment 3035626View attachment 3035627
Homeless wengi wa US ni waathirika wa dawa za kulevya hakuna kampuni inayowaamini kuwapatia kazi.
Wapo ila homeless wa marekani ni kama waajiriwa wengi tu AfricaHoja ni kwamba Marekani kuna homeless au hakuna?
Yaani jamaa analia kulipa kodi ya 950 kwa mwezi? Hisia zangu kuhusu ufanyaji kazi wake na anachoingiza kumbe nilikuwa sahihi.Ukiwa na akili kama hizi utakufa na umasikini yaani 30M ndio hela ya kuongelea humu Kodi ya mwaka mzee kumbe ulivamia jiji kwahiyo ulitaka ulipe Kodi kama unayolipa huko tandale kwenye panya sio
Wapo ila homeless wa marekani ni kama waajiriwa wengi tu Africa
Hufanyi kazi, huna kipato, au umeshaharibu na kupoteza uaminifu kiasi kwamba kila unapoomba ajira waki run background check wanakuta una rekodi mbaya, kwanini usilale mitaani kwa kukosa ajira?Hoja ni kwamba Marekani kuna homeless au hakuna?
Kwa hiyo homeless wapo au hawapo?Hufanyi kazi, huna kipato, au umeshaharibu na kupoteza uaminifu kiasi kwamba kila unapoomba ajira waki run background check wanakuta una rekodi mbaya, kwanini usikale mitaani kea kukosa ajira?
Marekani mtu kujikuta homeless ni dakika tu. So ukiyajua maisha ya US wala hilo la homeless siyo story