Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

Na maisha utapata na nyumba utajenga nina uhakika ndugu yangu, hapa Tz utatoboa
Labda utoboe katiba na sheria ndiyo utatoka kimaisha, kinyume na hapo sahau. Hata wewe kama ni kweli uliishi ulaya au US basi tambua kilichokufanya utusue siyo kuishi bongo bali ni exposure na capital uliyoipata nje ya bongo.

Ushauri wangu ni kwamba, hizi siyo zama za kuzubaisha akili za watu, waacheni waende popoye wanapoweza kutafuta kihalali wakatafute.

Hata wewe ulipoamua kwenda bongo bado haukwenda Kijijini kwa mababu zako.
 
We kweli kilaza mtu mwenye gari USA anaingiza kipato zaidi ya $100 hapo nimekutolea mfano wa fukara wa marekani sio mtu mwenye kipato Cha kueleweka hivi mzee ulienda hata shule kidogo halafu mambo ya bili na maji umeme serikali inachukua Chao mwisho wa mwezi Kila nyumba kutokana na matumizi Yako naona wewe hata USA hujaishi ila unaigiza
Asee tuwe serious Chris Brown anadaiwa mkopo naona ndo utamuua, ile nchi isikie kwenye Tv gusa unase. Mm nayosema hapa sio kichaa nimeishi pale muda mrefu na nimeondoka baada ya kugundua kwa Mwaka ile nchi inanichukulia 30M, pale nmeishi kwenye single room lakini kumbuka kwa mwaka 30M zilikatika sana natoka pale narudi Bongo nimejenga na usafiri nikapata wenzangu waliobakia pale bado wanazidi kumfanyia Biden kazi, kumbuka ile nchi imetengeneza mfumo wa mwananchi kuwa mtumwa wa Serikali ndio maana uchumi wao unashikiliwa na Serikali sio wananchi, huwezi kufanikiwa ukiwa kwenye mikono ya Serikali ya Marekani kumbuka wale ni wakoloni tangu zamani, sasa hivi wanafanya ukoloni kwa akili mfano kumnyima mwananchi kumiliki assets ili aishi kama mbumbumbu
 
Huduma za afya utapewa lakini kumbuka hela utakayolipia bima hapa bongo utapata boda nne ambazo ukiwapa vijana umetoka

Asee tuwe serious Chris Brown anadaiwa mkopo naona ndo utamuua, ile nchi isikie kwenye Tv gusa unase. Mm nayosema hapa sio kichaa nimeishi pale muda mrefu na nimeondoka baada ya kugundua kwa Mwaka ile nchi inanichukulia 30M, pale nmeishi kwenye single room lakini kumbuka kwa mwaka 30M zilikatika sana natoka pale narudi Bongo nimejenga na usafiri nikapata wenzangu waliobakia pale bado wanazidi kumfanyia Biden kazi, kumbuka ile nchi imetengeneza mfumo wa mwananchi kuwa mtumwa wa Serikali ndio maana uchumi wao unashikiliwa na Serikali sio wananchi, huwezi kufanikiwa ukiwa kwenye mikono ya Serikali ya Marekani kumbuka wale ni wakoloni tangu zamani, sasa hivi wanafanya ukoloni kwa akili mfano kumnyima mwananchi kumiliki assets ili aishi kama mbumbumbu
Ukiwa na akili kama hizi utakufa na umasikini yaani 30M ndio hela ya kuongelea humu Kodi ya mwaka mzee kumbe ulivamia jiji kwahiyo ulitaka ulipe Kodi kama unayolipa huko tandale kwenye panya sio
 
Ukiwa na akili kama hizi utakufa na umasikini yaani 30M ndio hela ya kuongelea humu Kodi ya mwaka mzee kumbe ulivamia jiji kwahiyo ulitaka ulipe Kodi kama unayolipa huko tandale kwenye Mendes na panya sio
30M bado sijaweka mazagazaga asee tuwe serious. Nakupa mfano mmoja Raisi mstaafu Kikwete ana pesa mingi sio kwamba hawezi kuishi Los Angeles amesomea uchumi na maraisi wengi wa wamesomea uchumi na wanafahamu maana ya neno pesa ndio maana wakistaafu wanaendelea kuishi hapa wanafahamu kuishi kwenye nchi ambayo gharama za maisha ni kubwa sana ni ujinga vinginevyo tungewaona wanakimbilia kuishi kule. Mtu anayekimbilia kuishi Marekani hajasomea uchumi aliyesomea uchumi anaishi Tanzania
 
Huyo uliemtolea mfano ushasema raisi mstaafu kuendelea kwake kubaki hapo tanzania ni muendelezo wa kuiibia serikali unataka aje huku ataiba wapi acha habari zako halafu 30M marekani ni pesa ndogo sana ambayo mafukara wanaipata Kwa mda mfupi sana kama unafanya kazi Sasa nakushangaa unalalamika aisee ulivamia jiji wewe usilazimishe furaha marekani na tanzania ni mbingu na ardhi
 
$100usd haitoshi kitu pale ukweli ndo huo bill ya maji na umeme sio sh mbili internet sio sh mbili bei ya kucharge gari pale unaijua kweli? Je bei ya parking kila siku, asee
Wakati huo unaingiza kiasi gani? Au ulitaka ufanye kazi ya $15 kwa saa (nimeshatoa makato) kwa masaa nane halafu urudi zako ghetto ukalale? Upo serious kweli?
Maana kuna wengine mnafanya kazi only masaa 8 na kwa siku 3 au 4 hizi nyingine mle bata.
Tenga masaa yako 8 ya ku commute na kulala 16 yote piga kazi, halafu tenga a day or two kwa ajili ya kupumzika uene kama utakuja mitandaoni kulilia na kudekea watu.
 
Wewe hujawahi kanyaga USA ungekanyaga USA usingeongea utumbo kama huu kwa taarifa Yako huku Kuna nyumba mpaka za 100 million ni wewe tu usitake kudanganya watu mzee usifikiri Kila mtu aliepo humu yupo tanzania na Mimi ni mmoja Nina asili ya tanzania ila namiliki mjengo hapa USA usikatishe vijana tamaa kisa wewe umeshindwa kujamzee mchina mwenyewe anataka kuishi USA Kila siku wanaingia sembuse wewe mtanzania
Mbona unaandika kama upo Yombo vituka
 
Mtoa mada we kweli ni kiazi na hauna hoja za msingi tofaufi na kutaka kuaminisha watu ujinga, uzuri kila mtu na maisha yake na formula ya maisha hazifanani wewe Marekani imekushinda ila wengine ndio imewatengenezea pesa na kuwapa maisha ambayo hawakuyapa Tanzania au Afrika.
 
Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani, Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota za kupanga tangu utoto wao mpaka uzee

Inawezekana mnatazama maisha yao kwenye Tv na mwisho mnapagawa na kudhani kuwa wale watu ni matajiri lakini ukweli ni kwamba wanaishi kota za kupanga na kumiliki nyumba Marekani sio jambo rahisi angalao uwe na 1B mimi nimeishi kule kwa muda mrefu maisha yao ni ya show off kama za watu wa Kinondoni kula Bata vinywaji kidogo na picha nyingi mfukono 0 Balance huku vitu kama hivyo vikipatikana hapo Mlimani City na kwingineko huko Masaki

Kijana wa Marekani ni mtu wa show off nyingi lakini anaishi chumba cha kupanga ambacho hata kitanda cha 6x6 hakiingii

Kinachowasaidia kuonekana ni watu wa maana ni uhuni hasa upande wa mablack kupiga pamba kali, sagging na kuongea kwa kihuni lakini ukweli ni apeche alolo na wabongo wanaoishi kule wambie wakutumie hata $500usd kama watatuma niite mbwa. Kule fanya ni sehemu ya kwenda kula bata tu, fanya maendeleo hapa Bongo kule nenda katalii lakini kufanya maisha nikupoteza muda

Mmarekani anazaliwa mpaka anazeeka hajawahi kumiliki meter ya maji na umeme yenye jina lake yaani ni sawa na mfungwa

Wabongo wengi ambao mmetulia hapa mna maisha mazuri na mnamiliki mijengo ya maana sio kama wale wachovu ambao wanawachanganya kwa show off mpaka mnataka kuacha nchi yenu mkaishi na wahuni wa show off

Mbongo unaacha nchi yako unaenda kuteseka kule kama sio mwehu ni nini
Vyumba kama hivi mmevikosa hapa Bongo au mnawehuka???

Nabado vihela mnavyopata kule vinaishia kwenye matumizi hazitoshi hata kufanya savings
View attachment 3035626View attachment 3035627
Kwani kumiliki nyumba ndio nini?
Ukimiliki nyumba huku unalala njaa inakuwaje hapo.hapo.
 
Ukiwa na akili kama hizi utakufa na umasikini yaani 30M ndio hela ya kuongelea humu Kodi ya mwaka mzee kumbe ulivamia jiji kwahiyo ulitaka ulipe Kodi kama unayolipa huko tandale kwenye panya sio
Yaani jamaa analia kulipa kodi ya 950 kwa mwezi? Hisia zangu kuhusu ufanyaji kazi wake na anachoingiza kumbe nilikuwa sahihi.
Huyu kwa hela hiyo nadhani alikuwa halipii kodi bali anachangia kodi.
US ukiishi kichwakichwa utaishia kulipia bill kila unachoungiza. Kabla ya kuishi US unatakiwa kwanza uwe na akili za kimikakati.
Anaweza akawa na hela zote atakazo and yet akaishia ku run bankrupt
 
Wapo ila homeless wa marekani ni kama waajiriwa wengi tu Africa
Kuna mwajiriwa hapa Tanzania anayeishi kwenye tent?

20240526_005555.jpg
 
Hoja ni kwamba Marekani kuna homeless au hakuna?
Hufanyi kazi, huna kipato, au umeshaharibu na kupoteza uaminifu kiasi kwamba kila unapoomba ajira waki run background check wanakuta una rekodi mbaya, kwanini usilale mitaani kwa kukosa ajira?
Marekani mtu kujikuta homeless ni dakika tu. So ukiyajua maisha ya US wala hilo la homeless siyo story
 
Hufanyi kazi, huna kipato, au umeshaharibu na kupoteza uaminifu kiasi kwamba kila unapoomba ajira waki run background check wanakuta una rekodi mbaya, kwanini usikale mitaani kea kukosa ajira?
Marekani mtu kujikuta homeless ni dakika tu. So ukiyajua maisha ya US wala hilo la homeless siyo story
Kwa hiyo homeless wapo au hawapo?
 
Back
Top Bottom