Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

Ndugu yangu sasa niliishije kule kama sikua na hiyo
Poa screenshot hicho kiasi Cha USD 5000 kwenye account Yako mda huu uitume hapa hiyo screenshot kama unacho nakutumia kama hiyo hiyo Sasa hivi wanajamii forum mashaidi nipo serious Mimi huwa sio mtu wa kuigiza mtandaoni tuma mda huu huu maana Nataka nitoke online niingie job now
 
Laini za simu ndo hizi inategemea na wewe kama unataka eSIM ni uchaguzi wako


Vifurushi ndo kama hivi mzee baba, sasa wewe kimbilia kule badae utanelewa, sikurudi kwasababu ya kushindwa maisha bali nilichoka kuliwa pesa na mabeberu ambayo yalifanya biashara ya Slave na wazee wetu wakauzwa kama nyanya
 
 
Nyani Ngabu
 
Mzee mbona kimya
Upo kimya 🤣
 
Niko napambana nifike marekani, mimi ni RN.
 
Acha kulisha watu matango pori,
America ni tajiri mara 1000+ya Tanzania, mapato yetu kwa mwaka hayafikii mapato ya ksmpuni ya tweeter/X! Tunafsnya nao kazi kwenye mashirika ya kimataifa, wana mkwsnja mrefu, swala LA kusema eti hawawezi kumiriki nyumba, ni relative tu, kwani hapa bongo kila mtz anaweza kununua kiwanja au nyumba masaki, Oyster Bay, njiro,Shanghai(mtwara), nyamkazi(bk),
Mbona watu kibao wanarnda kuishi bunju,mbagara, kwanini wasipange masaki, au upanga?
Kama maisha Yao ni kama kwetu, mbona wa bongo kibso w anakimbilia USA kutafuta maisha?
Acha akili za manzese na kuwa za ki ccm
 
💯 true! Niliishaletaga uzi hapa kuhusu maisha ya ughaibuni ni stress japo kuna wengine wametoboa lakini wa kuhesabu! Hapa bongo ukikomaa ni rahisi kuliko ughaibuni
 
Hiyo nyumba 100 million ni USD 100mil. au 100mil.Tsh.
Kupata USD 100mil in US sio rahisi mwamba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…