Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

Wastani wa gharama za maisha za kila mwezi kwa mtu mmoja nchini Marekani ni $3,189 equal to 8,445,230.98Tsh ambayo ni $38,266usd sawa na 101,337,475.31Tsh kwa mwaka. Gharama ya wastani kwa familia ya watu wanne ni $7,095 sawa na 18,789,248.61Tsh kwa mwezi, ambayo ni $85,139 sawa na 225,468,335.08Tsh kwa mwaka

Nakama mnanelewa ndugu zangu hii ndiyo sababu ya Wamarekani wengi kufanya kazi mbili tofauti yaani mtu anaingia kazini mchana lakini usiku pia anafanya Uber, ningumu sana Mmarekani kujitosheleza na kazi moja na wale wanaoshindwa kupambana wanaishia kulawitiwa ili wapate hela za mahitaji ndio maana ulawiti pale umeshamiri sana haya yote ni sababu ya maisha ghali
 
Ndugu yangu dola $1000 usd pale haitoshi, nimepata maendeleo makubwa sana baada ya kurudi Tanzania ningebaki kule hata meter ya umeme nisingekuwa nayo
Kama wewe umeshindwa wacha wengine waende wakajionee wenyewe badala yakupiga porojo hapa.Ninachokijua nikwamba hakuna wananchi wa tanzania wanaowatumia wananchi wa marekani pesa ila wako wamarekani wanaowatumia watanzania pesa.
 
Ili tukuamini!!!
Tuwekee passsport yako ikiwa na viza au kibali cha kuishi US
Acha longolongo
 
Acha kufananisha maisha ya USA au Ulaya na ufukara wa Afrika...

Kununua nyumba kwa mortgage haina maana kwamba watu wana maisha magumu, huo ni mpango wa serikali kuhakikisha kila mtu anaweza kuafford makazi...

Ukiwa na uwezo wa kifedha unaweza kununua kwa mkupuo mmoja, na kwa wale wanaotaka kujenga basi hupewa kibali kufanya hivyo...

Tanzania kwetu ambapo tunajinadi tuna uwezo wa kujenga nyumba, isingekuwa njia nyeusi nyeusi za kupata pesa, ni watu wachache sana wangeweza kuafford kununua ardhi na kujenga...
 
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Wamarekani wengi hawana maisha ni show off hamna kitu, wenye pesa ni wachache pale kinachowasaidia wanajua kuvaa na vigari vyao vya mkopo
Utapewa gari la mkopo ukimaliza marejesho ni pesa ya magari matatu
 
Wamarekani wengi hawana maisha ni show off hamna kitu, wenye pesa ni wachache pale kinachowasaidia wanajua kuvaa na vigari vyao vya mkopo
Utapewa gari la mkopo ukimaliza marejesho ni pesa ya magari matatu
Hujielewi wewe nimekualbia onyesha hiyo account Yako ya USD 5000 umekimbia kumbe mpiga kelele tu hapa halafu huna kitu umepauka ficha ujinga wako huu watu wanzkuona kituko 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ubwabwa wa buku tano bongo unakula mboga tatu.

Ubwabwa huohuo na mboga tatu huko marekani ni dola 10 ( sh 25000)

Kumbe life is relative.
Sconzi yenye nyama ya kusaga ndani yake (aka Hamburger πŸ”) ni dola 14 mpaka 50 kutegemeana na restaurant uliyoenda. Hapo ni sawa na kati ya TZs elfu 40 mpaka 130k. Chakula kiko juu sana huku.

Kwenda na viporo kazini ni jambo la kawaida sana ili kupunguza matumizi
 
Hujielewi wewe nimekualbia onyesha hiyo account Yako ya USD 5000 umekimbia kumbe mpiga kelele tu hapa halafu huna kitu umepauka ficha ujinga wako huu watu wanzkuona kituko 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Sasa ndugu yangu hivi kweli Account ya bank ni ya ku expose kweli? Mtu unafanya hivo unatafuta nini ni sawa na kuwambia watu kwamba wao hizo hela hawana labda
Hapa Bongo kuna matajiri kiasi kwamba ukionesha pesa zako kwao zinaweza kuonekana kama hela za mboga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…