Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe umeshindwa wacha wengine waende wakajionee wenyewe badala yakupiga porojo hapa.Ninachokijua nikwamba hakuna wananchi wa tanzania wanaowatumia wananchi wa marekani pesa ila wako wamarekani wanaowatumia watanzania pesa.Ndugu yangu dola $1000 usd pale haitoshi, nimepata maendeleo makubwa sana baada ya kurudi Tanzania ningebaki kule hata meter ya umeme nisingekuwa nayo
Mkuu huko "uharabuni" ndo wapiUturuki ni kama uharabuni!
mie ninamiliki nyumba atlanta na washington pia ninayo
Ili tukuamini!!!Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani, Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota za kupanga tangu utoto wao mpaka uzee
Inawezekana mnatazama maisha yao kwenye Tv na mwisho mnapagawa na kudhani kuwa wale watu ni matajiri lakini ukweli ni kwamba wanaishi kota za kupanga na kumiliki nyumba Marekani sio jambo rahisi angalao uwe na 1B mimi nimeishi kule kwa muda mrefu maisha yao ni ya show off kama za watu wa Kinondoni kula Bata vinywaji kidogo na picha nyingi mfukono 0 Balance huku vitu kama hivyo vikipatikana hapo Mlimani City na kwingineko huko Masaki
Kijana wa Marekani ni mtu wa show off nyingi lakini anaishi chumba cha kupanga ambacho hata kitanda cha 6x6 hakiingii
Kinachowasaidia kuonekana ni watu wa maana ni uhuni hasa upande wa mablack kupiga pamba kali, sagging na kuongea kwa kihuni lakini ukweli ni apeche alolo na wabongo wanaoishi kule wambie wakutumie hata $500usd kama watatuma niite mbwa. Kule fanya ni sehemu ya kwenda kula bata tu, fanya maendeleo hapa Bongo kule nenda katalii lakini kufanya maisha nikupoteza muda
Mmarekani anazaliwa mpaka anazeeka hajawahi kumiliki meter ya maji na umeme yenye jina lake yaani ni sawa na mfungwa
Wabongo wengi ambao mmetulia hapa mna maisha mazuri na mnamiliki mijengo ya maana sio kama wale wachovu ambao wanawachanganya kwa show off mpaka mnataka kuacha nchi yenu mkaishi na wahuni wa show off
Mbongo unaacha nchi yako unaenda kuteseka kule kama sio mwehu ni nini
Vyumba kama hivi mmevikosa hapa Bongo au mnawehuka???
Nabado vihela mnavyopata kule vinaishia kwenye matumizi hazitoshi hata kufanya savings
View attachment 3035626View attachment 3035627
hawa twende nao polepole hivyohivyoMkuu huko "uharabuni" ndo wapi
Hahahaha kwakwelihawa twende nao polepole hivyohivyo
Uharabuni = uharoMkuu huko "uharabuni" ndo wapi
🙌🙌🙌Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani, Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota za kupanga tangu utoto wao mpaka uzee
Inawezekana mnatazama maisha yao kwenye Tv na mwisho mnapagawa na kudhani kuwa wale watu ni matajiri lakini ukweli ni kwamba wanaishi kota za kupanga na kumiliki nyumba Marekani sio jambo rahisi angalao uwe na 1B mimi nimeishi kule kwa muda mrefu maisha yao ni ya show off kama za watu wa Kinondoni kula Bata vinywaji kidogo na picha nyingi mfukono 0 Balance huku vitu kama hivyo vikipatikana hapo Mlimani City na kwingineko huko Masaki
Kijana wa Marekani ni mtu wa show off nyingi lakini anaishi chumba cha kupanga ambacho hata kitanda cha 6x6 hakiingii
Kinachowasaidia kuonekana ni watu wa maana ni uhuni hasa upande wa mablack kupiga pamba kali, sagging na kuongea kwa kihuni lakini ukweli ni apeche alolo na wabongo wanaoishi kule wambie wakutumie hata $500usd kama watatuma niite mbwa. Kule fanya ni sehemu ya kwenda kula bata tu, fanya maendeleo hapa Bongo kule nenda katalii lakini kufanya maisha nikupoteza muda
Mmarekani anazaliwa mpaka anazeeka hajawahi kumiliki meter ya maji na umeme yenye jina lake yaani ni sawa na mfungwa
Wabongo wengi ambao mmetulia hapa mna maisha mazuri na mnamiliki mijengo ya maana sio kama wale wachovu ambao wanawachanganya kwa show off mpaka mnataka kuacha nchi yenu mkaishi na wahuni wa show off
Mbongo unaacha nchi yako unaenda kuteseka kule kama sio mwehu ni nini
Vyumba kama hivi mmevikosa hapa Bongo au mnawehuka???
Nabado vihela mnavyopata kule vinaishia kwenye matumizi hazitoshi hata kufanya savings
View attachment 3035626View attachment 3035627
Hujielewi wewe nimekualbia onyesha hiyo account Yako ya USD 5000 umekimbia kumbe mpiga kelele tu hapa halafu huna kitu umepauka ficha ujinga wako huu watu wanzkuona kituko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wamarekani wengi hawana maisha ni show off hamna kitu, wenye pesa ni wachache pale kinachowasaidia wanajua kuvaa na vigari vyao vya mkopo
Utapewa gari la mkopo ukimaliza marejesho ni pesa ya magari matatu
Sconzi yenye nyama ya kusaga ndani yake (aka Hamburger 🍔) ni dola 14 mpaka 50 kutegemeana na restaurant uliyoenda. Hapo ni sawa na kati ya TZs elfu 40 mpaka 130k. Chakula kiko juu sana huku.Ubwabwa wa buku tano bongo unakula mboga tatu.
Ubwabwa huohuo na mboga tatu huko marekani ni dola 10 ( sh 25000)
Kumbe life is relative.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌Bora niishe geto kama hilo kuliko hili la 45k hapa maramba mawili.
Sasa ndugu yangu hivi kweli Account ya bank ni ya ku expose kweli? Mtu unafanya hivo unatafuta nini ni sawa na kuwambia watu kwamba wao hizo hela hawana labdaHujielewi wewe nimekualbia onyesha hiyo account Yako ya USD 5000 umekimbia kumbe mpiga kelele tu hapa halafu huna kitu umepauka ficha ujinga wako huu watu wanzkuona kituko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣