PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Kwamba uwezo wa kuelewa unachokisoma hauna au?Kwa hiyo homeless wapo au hawapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba uwezo wa kuelewa unachokisoma hauna au?Kwa hiyo homeless wapo au hawapo?
Mkuu, 30M ya kodi kwa mwaka hiyo its just $950 kwa mwezi. Ulikuwa unaishi hostel au?30M bado sijaweka mazagazaga asee tuwe serious. Nakupa mfano mmoja Raisi mstaafu Kikwete ana pesa mingi sio kwamba hawezi kuishi Los Angeles amesomea uchumi na maraisi wengi wa wamesomea uchumi na wanafahamu maana ya neno pesa ndio maana wakistaafu wanaendelea kuishi hapa wanafahamu kuishi kwenye nchi ambayo gharama za maisha ni kubwa sana ni ujinga vinginevyo tungewaona wanakimbilia kuishi kule. Mtu anayekimbilia kuishi Marekani hajasomea uchumi aliyesomea uchumi anaishi Tanzania
Kwamba uwezo wa kuelewa unachokisoma hauna au?
No wonder ulienda Dark web ukarudi unapapondea kwamba ni kama whatsapp tu😅
Wengi hao ni waathirika wa dawa za kulevya , kuwa na mortgage tu mpaka uwe na kazi ya kueleweka ndio utaweza kulipia.
No wonder ulienda Dark web ukarudi unapapondea kwamba ni kama whatsapp tu😅
Sawa mkuu upo sahihi.Mbona mnakuwa wagumu kuelewa, neno homeless mnashindwa kulielewa sehemu gani?
It does not matter sababu ni nini ila mtu akiishi kwenye tents kama hizo za Marekani ni homeless hana makazi maalumu
Walimu wenu walikuwa na kazi sana kuwafundisha muelewe
Kuna mtu nimempanga atume Hela soon , Akituma tu wew ni......Kama una ndugu yako kule mwambie akutumie $500usd akituma niite mbwa
Mpe mchongo sio kuleta maombi tuu..Na maisha utapata na nyumba utajenga nina uhakika ndugu yangu, hapa Tz utatoboa
Marekani hakuna maisha ndugu, kama una ndugu yako pale mwambie sasa hivi una shida na $5000usd akikutumia niite mbwaMtoa mada we kweli ni kiazi na hauna hoja za msingi tofaufi na kutaka kuaminisha watu ujinga, uzuri kila mtu na maisha yake na formula ya maisha hazifanani wewe Marekani imekushinda ila wengine ndio imewatengenezea pesa na kuwapa maisha ambayo hawakuyapa Tanzania au Afrika.
Na kunatabu ya maji Ile mbayaBora niishe geto kama hilo kuliko hili la 45k hapa maramba mawili.
Kikwete ana pesa chafu lakini ukimwambia aishi USA hawezi kukuelewa anafahamu ni nchi la Mabeberu yananyonya kama kunguni ukiishi na Marekani utakufa maskini. Huwezi ukaishi nyumba ya mkoloni ukawa na kitu. Marekani pesa utaingiza nyingi lakini Serikali italamba zote wametegesha bomu la tax mzee baba wachache watanelewaMkuu, 30M ya kodi kwa mwaka hiyo its just $950 kwa mwezi. Ulikuwa unaishi hostel au?
Kwa hiyo Kikwete haishi Los Angels sababu kasomea uchumi😅?
Wewe unayo hiyo USD 5000 Sasa hivi hapoMarekani hakuna maisha ndugu, kama una ndugu yako pale mwambie sasa hivi una shida na $5000usd akikutumia niite mbwa
😂😂😂😂😂Nimeghairi ntaenda zangu uturuki
Kikwete 🌝,,,, lini umeongea nae mkuuu??😂😂😂Kikwete ana pesa chafu lakini ukimwambia aishi USA hawezi kukuelewa anafahamu ni nchi la Mabeberu yananyonya kama kunguni ukiishi na Marekani utakufa maskini. Huwezi ukaishi nyumba ya mkoloni ukawa na kitu. Marekani pesa utaingiza nyingi lakini Serikali italamba zote wametegesha bomu la tax mzee baba wachache watanelewa