Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

30M bado sijaweka mazagazaga asee tuwe serious. Nakupa mfano mmoja Raisi mstaafu Kikwete ana pesa mingi sio kwamba hawezi kuishi Los Angeles amesomea uchumi na maraisi wengi wa wamesomea uchumi na wanafahamu maana ya neno pesa ndio maana wakistaafu wanaendelea kuishi hapa wanafahamu kuishi kwenye nchi ambayo gharama za maisha ni kubwa sana ni ujinga vinginevyo tungewaona wanakimbilia kuishi kule. Mtu anayekimbilia kuishi Marekani hajasomea uchumi aliyesomea uchumi anaishi Tanzania
Mkuu, 30M ya kodi kwa mwaka hiyo its just $950 kwa mwezi. Ulikuwa unaishi hostel au?
Kwa hiyo Kikwete haishi Los Angels sababu kasomea uchumi😅?
 
Kwamba uwezo wa kuelewa unachokisoma hauna au?​
Screenshot_20240707-162741_Chrome.jpg
 
Wengi hao ni waathirika wa dawa za kulevya , kuwa na mortgage tu mpaka uwe na kazi ya kueleweka ndio utaweza kulipia.
Mbona mnakuwa wagumu kuelewa, neno homeless mnashindwa kulielewa sehemu gani?

It does not matter sababu ni nini ila mtu akiishi kwenye tents kama hizo za Marekani ni homeless hana makazi maalumu

Walimu wenu walikuwa na kazi sana kuwafundisha muelewe
 
Ndugu zangu,
Amerika si ya kila mtu.

Hawa wanaopiga miluzi ya kuiponda U.S mitandaoni asilimia kubwa ni wale waliowahi kufika huko.
Lakini walikurupuka kwenda bila mipango madhubuti, walivyofika huko wakalazimisha kubaki lakini kizembe.
Mwishowe wakajikuta wako 'out of status', - Illegals machoni mwa Sheria.

Hapo wanasavaivu wanaume tu.
Watoto wa mama hakuna rangi hataiona.
Kazi utapata lakini unapunjwa malipo na unafichwafichwa, ukiwa fala hata kuzipata za maana kupati.
Ukikumbuka Dingi/Bi mkubwa hana hali mbaya saana Bongo unaona yanini?
Lazima nyani ateme Bungo lakini kwa hasira na makasiriko kama haya sasa.

Challenge:
Nionyeshe Ombaomba mwenye asili ya ya Tanzania au Muafrika wa Asili kutoka Nchi yoyote ambae sio Mraibu au Outlaw.

Unajua kwa nini?

Kulala nje kwa Mmarekani kuna kuhusu nini wewe Mmatumbi kama mambo yako yanenda?




--------------------------------------------------------------------------

MAMBO NI DV-2026.

Nawakumbusha wale ambao wanatamani kuingia U.S kiuhalali,
kiulaini na pia kuwa na nafasi isiyo na shaka ya kufanikiwa kiurahisi
(unaingia na Vibali muhimu vya Kazi kutoka
kwenu)kuna kitu inaitwa BAHATI NASIBU YA KUHAMIA MAREKANI almaarufu DV LOTTERY.
Itachezwa kuanzia wiki ya kwanza ya mwezi wa kumi ( Octoba)
Kushiriki ni bure
(Hulipii kucheza ingawa ukichaguliwa zipo gharama za kulipa kwa Serikali ya Marekani)

Vigezo muhimu:
-Elimu ya Sekondari,
-Umri kuanzia miaka 18+
-uwe na Uraia wa Tanzania.

Kama unaijua hii program hewala, jiandae.
Lakini, kama huijui anza kusoma taratibu zake sasahivi ili muda ukifika unajua inahusiana na nini hasa na utafuata taratibu kama utakavyoelekezwa na wenyewe.
Ukihitaji msaada wangu hapo muda utakapofika,
utalipia muda wangu na nitakuongoza kuanzia unapocheza hadi ukifanikiwa kuchaguliwa.
Na tafadhali tunza namba yangu: +255714591548.
Sasa wewe fanya uzembe usiitunze utaitafuta hii.

Nawakilisha.
 
Mtoa mada we kweli ni kiazi na hauna hoja za msingi tofaufi na kutaka kuaminisha watu ujinga, uzuri kila mtu na maisha yake na formula ya maisha hazifanani wewe Marekani imekushinda ila wengine ndio imewatengenezea pesa na kuwapa maisha ambayo hawakuyapa Tanzania au Afrika.
Marekani hakuna maisha ndugu, kama una ndugu yako pale mwambie sasa hivi una shida na $5000usd akikutumia niite mbwa
 
Mkuu, 30M ya kodi kwa mwaka hiyo its just $950 kwa mwezi. Ulikuwa unaishi hostel au?
Kwa hiyo Kikwete haishi Los Angels sababu kasomea uchumi😅?
Kikwete ana pesa chafu lakini ukimwambia aishi USA hawezi kukuelewa anafahamu ni nchi la Mabeberu yananyonya kama kunguni ukiishi na Marekani utakufa maskini. Huwezi ukaishi nyumba ya mkoloni ukawa na kitu. Marekani pesa utaingiza nyingi lakini Serikali italamba zote wametegesha bomu la tax mzee baba wachache watanelewa
 
Kikwete ana pesa chafu lakini ukimwambia aishi USA hawezi kukuelewa anafahamu ni nchi la Mabeberu yananyonya kama kunguni ukiishi na Marekani utakufa maskini. Huwezi ukaishi nyumba ya mkoloni ukawa na kitu. Marekani pesa utaingiza nyingi lakini Serikali italamba zote wametegesha bomu la tax mzee baba wachache watanelewa
Kikwete 🌝,,,, lini umeongea nae mkuuu??😂😂😂
 
Back
Top Bottom