Lissu akili kubwa hawezi kukubali kutolewa jela kiholela na waandamanaji wakati anaenda kutolewa kimahakama na kupata nafasi ya kuhutubia watu kutoka mahakamani.Watanzania!.
Nimeona uzi wa britanicca kuhusu kwenda kwa lissu na wengine wamechangia kwenda huko.
Mkienda na mkajaribu kumtoa mnaweza kumuweka kwenye hatari kubwa sana ya usalama wake. Wapo watu wahovu wanaweza kujipenyeza na kumdhuru.
Kwa sasa yupo sehemu salama. Uhakika wa yeye kutoka baada ya nchi kukombolewa ni 100%.
Ni hayo tu wakuu.
Lissu atatolewa kimahakama au atatolewa kisiasa?Lissu akili kubwa hawezi kukubali kutolewa jela kiholela na waandamanaji wakati anaenda kutolewa kimahakama na kupata nafasi ya kuhutubia watu kutoka mahakamani.
Labda kwanza waandamanaji waangushe serikali ya Samia.
Mwenyewe kasema kesi iliisha pale ushahidi ulipokataliwa, akasema anarudishwa jela kwa sababu ya October 29 tu, asiwe nje kabla ya uchaguzi.Lissu atatolewa kimahakama au atatolewa kisiasa?
The whole trial was a charade. It was malicious prosecution designed to make him unavailable during the ‘campaign’ period.
I guess, the point would be that there’s strength in numbers.Mwenyewe kasema kesi iliisha pale ushahidi ulipokataliwa, akasema anarudishwa jela kwa sababu ya October 29 tu, asiwe nje kabla ya uchaguzi.
Sasa uchaguzi umeisha, for all practical purposes kesi imeisha, ukimtorosha gerezani mtu ambaye anaenda kutolewa anyway what's the point?
Unless umeangusha serikali ya Samia, in which case atafunguliwa formally anyway, what's the point?
If they want to make that point, they should topple Samia and her government.I guess, the point would be that there’s strength in numbers.
If the masses are on code, there’s nothing they can’t do. There’s nothing that can stop them.
Also, it will prove the point that real power rests with the people.
I’ve always believed that CCM is no match against the people.
Katika watu ambao huwa wanasimamia utawala wakisheria na sheria yeye ni mmoja wapo, na nadhani hata akiulizwa atolewe for free anaweza sema wacha sheria ichukue mkondo wake kwakumtia hatiani au kuumpa uhuru wakeI guess, the point would be that there’s strength in numbers.
If the masses are on code, there’s nothing they can’t do. There’s nothing that can stop them.
Also, it will prove the point that real power rests with the people.
I’ve always believed that CCM is no match against the people.
Serikali iliyomkamata na kumfunga haikufuata sheria yoyote ile.Katika watu ambao huwa wanasimamia utawala wakisheria na sheria yeye ni mmoja wapo, na nadhani hata akiulizwa atolewe for free anaweza sema wacha sheria ichukue mkondo wake kwakumtia hatiani au kuumpa uhuru wake
Kwani Lissu mwenyewe anasemaje?Haya ndo mambo yanayowatesa watanzania
Lissu anaweza kutoka na hakuna chochote cha kufanya
Mnajua Mpaka sasa tunaongea Mkunda Ana support hii ishu ?
Mnajua Mpaka sasa jeshi limegawanyika Mara mbili
Mnajua Mpaka sasa polis nao wamekataa kutii wito baadhi
Mbona iwe shida kwa lissu na si wanavyochoma mali za raia? Anayetolewa si lissu tu ni kila aliye sababishiwa kuwekwa kizuizini bila kosa
Unajua huyo bibi yenu ameuliza maendeleo ya kura kaambiwa vituo 118 tu kati ya 12,600 ndo vimeweza kupokea wapiga kura nao ni watoto wa viongozi na wazito wazito tu !!
In short uchaguzi haukufanyika
Tusiwe waoga wa kupata haki zetu aiseee
Mahakama nayo imegawanyika, sijawai kuona mtu mpuuzi Kama Samia this lady could be house girl somewhere not president
Britanicca
Kwani chadema wamesema watakwenda kuvunja gereza wamtoe? Kila kitu chadema hamwangalii ujinga unaofanywa na serikali dhidi ya raia wasio na hatia.Akili za CDM waachie wenyewe, sasa utamtoa Lissu gerezani vipi bila ya kuvunja hilo gereza lenyewe.
Na ukishavunja gereza unadhani atatoka Lissu tu, si kila jambazi nae ndio atapata fursa ya kutoroka.
Watu wenye akili hizi za hovyo ndio wanataka Lissu awe raisi, anamiujiza gani watakwambia mzalendo; what has that to do with development strategies.
Akili za CDM huwa zinawatosha wenyewe.