chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Kwema ndugu zangu,
Kama mjuavyo viongozi wetu wakeamua kutupotezea sisi tuliowapa mamlaka ya kusimamia mali zetu badala yake wameamua kuuza bandari yetu. Ila kumbukeni kiranja wa Dunia ni marekani na wana balozi zao na CIA ipo hapa nchini so kila kitu wana taarifa na wanajua effects zake hapo mbeleni so lazima wataweka mikakati jinsi ya ku monitor hili suala, hawa wabunge wetu bado uelewa mdogo.
So tuendelee kuwa na imani kwamba mali yetu itarudi kwani marekani yupo na anayaona haya.