Watanzania msiogope suala la Bandari, Marekani yupo pamoja nasisi atatusaidia

Watanzania msiogope suala la Bandari, Marekani yupo pamoja nasisi atatusaidia

Inshort ukiangalia Kwa jicho Pana ni kama marekani kamshinda china kwenye kumiliki ukanda wa bahari yetu...Sasa marekani ni fully kuvisit pwani .Usidhani tuko salama . DP world ni mshirika wa marekani

Nimewahi kuhisi hii mda
 
Mmarekani hawez kutusaidia hata kidogo apo hili ni swala la nchi na viongoz wake, kwanza kwa lipi atusaidie wakati sie tulimnyima kumuuzia kigamboni wakati wa kikwete, waacha tu tu pigwe basi hii nchi ni inanukaa tu asaivi yaani
 
KwaNI SSIT haion kam mkataba huo ni Tishio la kiuchumi na usalama kwa Taifa wakatoa muongozo kwa mama


Hili Jambo kama wao wameon lipo Sawa watuelimishe
20230607_101715.jpg
 
Hvi nyinyi wanaume wa kitanganyika mmelogwa na nani?Linda nchi yako mwenyewe sio kusubiri Marekani lafa nyinyi
 
Teknolojia ipi Marekani anaweza tupa sisi. Ujur bila Uchina sisi apa tusingewai miliki bike kabisa wala runinga kwa watu wa hali ya kati mpaka simu janja tusingeweza
Umelala usingizi wa Pono!
 
Kwema ndugu zangu,

Kama mjuavyo viongozi wetu wakeamua kutupotezea sisi tuliowapa mamlaka ya kusimamia mali zetu badala yake wameamua kuuza bandari yetu. Ila kumbukeni kiranja wa Dunia ni marekani na wana balozi zao na CIA ipo hapa nchini so kila kitu wana taarifa na wanajua effects zake hapo mbeleni so lazima wataweka mikakati jinsi ya ku monitor hili suala, hawa wabunge wetu bado uelewa mdogo.

So tuendelee kuwa na imani kwamba mali yetu itarudi kwani marekani yupo na anayaona haya.
Nilitamani nishushe nondo zangu humu za elimu ya ujasiriamali nimepuuzia kwavile naandika kitabu kinacho husu elimu ya ujasiriamali fikirishi ambapo kinajadili kwa kina kuhusu tusiyo yajua ambayo huathiri biashara (uncertainties in business) kwakifupi serikkali ndiyo inaua biashara hasa kwenje jamii mfu kama ya Tanzania ambayo haiwezi kuhoji kwa sauti inayosikia hata ikisikika ikapuuzwa ngoja nisitue kidogo nondo nimeandika kwa kimombo:
Many businesses are copy and paste, the reason behind is lack of creativity of which the end result will be no innovations, a good number of business in developing countries have started without literacy and essential skills to succeed as entrepreneurs, how ever, numerous say cannot start business because of lack of capital, while others on local media kept asking government authorities to create markets for their farm produce in hand, and related products as well requesting for a favor of entrepreneurship skills development (training).

Surprisingly I asked a certain lady this question, if there is an opportunity to support you in business what would you prefer? She said money, after that answer asked her if she needed entrepreneurship skills she said no please! Over reacted to say I have a lot of experiences (life-learning skills), likewise before attending an entrepreneurship skills development I thought also one must have a capital in hand to start a business like many of you think which is not true, what you will need most is a correlation of personal entrepreneurial competences (traits) and entrepreneurship skills which is a source of a business plan knowledge, a business plan is a game plan for starting a business or a sales documents to present to bankers to raise capital or present to investors, better to make mistakes in papers than in business. Ipyana Benny Haraba
 
Hatutaki msaada wa Marekani, kwani wao ni nani, goddamit!! bandari ni yetu sio yao.
 
Tanzania wasomi ndo wanafanya mambo ya kusaini mikataba ya kina Mangungo je uneducated sasa
 
Sasa wakuu nyie kama ni wababe mbona nchi yenu inauzwa mpo kama makondoo ila mkiambiwa US atasaidia mnajifanya kutukana huku hata kuandamana hamuwezi nyie mataahira
 
Marekani ndo jizi ilo kabisaa ni bora ungesema Uchina
Ukisikia kuishiwa akili ndiyo huku.

Marekani ameiba nini? Nioneshe wamarekani waliozagaa Tanzania kama walivyo wabangaizaji toka China
 
Teknolojia ipi Marekani anaweza tupa sisi. Ujur bila Uchina sisi apa tusingewai miliki bike kabisa wala runinga kwa watu wa hali ya kati mpaka simu janja tusingeweza
Hivi unafahamu kuwa huyo mchina hakuna kitu chochote anachogundua Duniani. Kila kitu anaiga zikikosahizonchi za Magharibi, atatazamia kwa nani?
 
Kwema ndugu zangu,

Kama mjuavyo viongozi wetu wakeamua kutupotezea sisi tuliowapa mamlaka ya kusimamia mali zetu badala yake wameamua kuuza bandari yetu. Ila kumbukeni kiranja wa Dunia ni marekani na wana balozi zao na CIA ipo hapa nchini so kila kitu wana taarifa na wanajua effects zake hapo mbeleni so lazima wataweka mikakati jinsi ya ku monitor hili suala, hawa wabunge wetu bado uelewa mdogo.

So tuendelee kuwa na imani kwamba mali yetu itarudi kwani marekani yupo na anayaona haya.
Akili zako zinakutosha mwenyewe
 
Back
Top Bottom