chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
China ndo mbaya zaidi siku hizi, Marekani angalau watakipa hata technologyMarekani ndo jizi ilo kabisaa ni bora ungesema Uchina
Teknolojia ipi Marekani anaweza tupa sisi. Ujur bila Uchina sisi apa tusingewai miliki bike kabisa wala runinga kwa watu wa hali ya kati mpaka simu janja tusingewezaChina ndo mbaya zaidi siku hizi, Marekani angalau watakipa hata technology
Ungejua marekani ndo aliyechora ramani ili kumzuia mchina asichukue bagamoyo usingeandika hivyoKwema ndugu zangu,
Kama mjuavyo viongozi wetu wakeamua kutupotezea sisi tuliowapa mamlaka ya kusimamia mali zetu badala yake wameamua kuuza bandari yetu. Ila kumbukeni kiranja wa Dunia ni marekani na wana balozi zao na CIA ipo hapa nchini so kila kitu wana taarifa na wanajua effects zake hapo mbeleni so lazima wataweka mikakati jinsi ya ku monitor hili suala, hawa wabunge wetu bado uelewa mdogo. So tuendelee kuwa na imani kwamba mali yetu itarudi kwani marekani yupo na anayaona haya
Kweni CAG amesema jambo kuhusu Wamarekani?.Usidhani tuko salama
Kwani ubeligiji wao hamko nao siku iziiiKwema ndugu zangu,
Kama mjuavyo viongozi wetu wakeamua kutupotezea sisi tuliowapa mamlaka ya kusimamia mali zetu badala yake wameamua kuuza bandari yetu. Ila kumbukeni kiranja wa Dunia ni marekani na wana balozi zao na CIA ipo hapa nchini so kila kitu wana taarifa na wanajua effects zake hapo mbeleni so lazima wataweka mikakati jinsi ya ku monitor hili suala, hawa wabunge wetu bado uelewa mdogo.
So tuendelee kuwa na imani kwamba mali yetu itarudi kwani marekani yupo na anayaona haya.
Kwakutumia mbao za Mbuyu?Kuchonga statue(sanamu) ni kiasi gani? Ndungai statue.
.Watuuze na sisi basi
hata huko ukraine tu
Hata kwa udonngo. Second chance ipo kwenye maisha Mwanadamu.Kwakutumia mbao za Mbuyu?
Yule aliemvua Lissu ubunge?Hata kwa udonngo. Second chance ipo kwenye maisha Mwanadamu.