Watanzania msipoteze pesa kwa kuendelea kuamini imani za kishirikina. Ni upumbavu na umaskini wa kujitakia

Watanzania msipoteze pesa kwa kuendelea kuamini imani za kishirikina. Ni upumbavu na umaskini wa kujitakia

Maisha yangu ni binafsi na siwezi kuandika hapa jinsi ninavyoendesha maisha yangu. Nilikoment pale juu kwa sababu huyo rafiki yako ana imani hiyo na wewe umekuja kumuanika humu badala ya kumsaidia.
Ni wewe tu hujaona kama nimemsaidia.

Na mpaka sasa umeshindwa kuelewa lengo la uzi huu ni nini.

Ndio maana nilikuuliza unataka tujadili?
 
Kwa unafki wa watu wa jf pm maswali yameanza. Mimi sio dalali anaetaka kwenda location nimeshatoa
Hii ni njia ya kusapoti uongo wako.

Kama unataka tujadili wewe sema.

Usilete taarifa za watu kuku PM.

Huo ni uongo.
 
Bado mtu anasema yupo mtu anakupa dawa ya kuvuta wateja na kuongeza mauzo lakini ajabu zaidi bado maisha yake ni ganga njaa!

tayari kuna mtu hapa ametangaza biashara na anajisifu watu kumtafuta.
 
Sio wakisasa. Hata wa zamani.. hakunaga mganga wa ukweli.. hayo ni mambo ya kufikirika..
Hawa watu tukiwaambia wanasema nenda mlima fulani mwanza kumbe sasahiv ndio wanavyopeana promo.


Ni wizi na utapeli mtupu
 
Hawa watu tukiwaambia wanasema nenda mlima fulani mwanza kumbe sasahiv ndio wanavyopeana promo.


Ni wizi na utapeli mtupu

Tatizo kubwa ni vitabu vya dini tulizoletewa. Quran na Biblia zimeandika kuhusu uchawi.

Hapo sasa raia huwaambii kitu maana imani ya uchawi ipo kwenye imani zao.

Story za Mungu na Shetani ni kama simba na yanga. Ukiamini Mungu yupo lazima uamini na Shetani na Uchawi upo
 
Ila ungempa tu iyo laki nne. imani nyingi za kiafrika ni za kijinga sana
 
Back
Top Bottom