Naamini na nina uhakika sio hadithi na kutoa unafki nimekupa location ukathibisheMkuu jibu swali ili twende taratibu.
Una amini huyo uliemtaja anao uwezo wa kuvuta wateja na kufanya mauzo yaongezeke?
Ok tuseme wewe pia umeshapata hio dawa?Naamini na nina uhakika sio hadithi na kutoa unafki nimekupa location ukathibishe
nakuruhusu wewe nabii ujazilizie.Kuna kitu umeruka hapa, jazilizia ndiyo story ieleweke
Maisha yangu ni binafsi na siwezi kuandika hapa jinsi ninavyoendesha maisha yangu. Nilikoment pale juu kwa sababu huyo rafiki yako ana imani hiyo na wewe umekuja kumuanika humu badala ya kumsaidia.Ok tuseme wewe pia umeshapata hio dawa?
Ni wewe tu hujaona kama nimemsaidia.Maisha yangu ni binafsi na siwezi kuandika hapa jinsi ninavyoendesha maisha yangu. Nilikoment pale juu kwa sababu huyo rafiki yako ana imani hiyo na wewe umekuja kumuanika humu badala ya kumsaidia.
Hii ni njia ya kusapoti uongo wako.Kwa unafki wa watu wa jf pm maswali yameanza. Mimi sio dalali anaetaka kwenda location nimeshatoa
Ni kweli waganga wakisasa waongo maslahi mbele
Ni kweli waganga wakisasa waongo maslahi mbele
Kabisa. Ukimuamini Allah pekee yatosha
Ni kweli kabisaSio wakisasa. Hata wa zamani.. hakunaga mganga wa ukweli.. hayo ni mambo ya kufikirika..
JamiiForums mganga pekee ni Mungu
Uongoo wewe ndio unadanganyika tu pekee yakoUhalisia hata habari za Mungu ni mambo ya kufikirika.
Ndio waumini wanapungua sana nchi zilizoendelea.
Hawa watu tukiwaambia wanasema nenda mlima fulani mwanza kumbe sasahiv ndio wanavyopeana promo.Sio wakisasa. Hata wa zamani.. hakunaga mganga wa ukweli.. hayo ni mambo ya kufikirika..
Hawa watu tukiwaambia wanasema nenda mlima fulani mwanza kumbe sasahiv ndio wanavyopeana promo.
Ni wizi na utapeli mtupu
Niseme uongo au kweli hainisadii chochoteHii ni njia ya kusapoti uongo wako.
Kama unataka tujadili wewe sema.
Usilete taarifa za watu kuku PM.
Huo ni uongo.
Na mpaka sasa sijaelewa lengo la kuja kutangaza msaada ambao hauna msaadaNi wewe tu hujaona kama nimemsaidia.
Na mpaka sasa umeshindwa kuelewa lengo la uzi huu ni nini.
Ndio maana nilikuuliza unataka tujadili?