Watanzania msipoteze pesa kwa kuendelea kuamini imani za kishirikina. Ni upumbavu na umaskini wa kujitakia

Na mpaka sasa sijaelewa lengo la kuja kutangaza msaada ambao hauna msaada
Hapa jamii forum kuna watu zaidi ya 600k . Lengo ni kutoa ujumbe.

Wewe huyu rafiki yangu humfahamu na hunifahamu, tunajifunza kupitia wengine.
 
NAKAZIA
 
Suguye?
 
Ni unafiki tu wanafanya, mafundi wapo tena wazuri na wenye madawa konk. Huyo ndugu yake ni alienda kwa mafundi sio. Mkuu hao mafundi nitawatembelea
 
Ni unafiki tu wanafanya, mafundi wapo tena wazuri na wenye madawa konk. Huyo ndugu yake ni alienda kwa mafundi sio. Mkuu hao mafundi nitawatembelea
Mkuu nategemea mafundi hao watakuzalishia wateja wengi uje kariakoo kushindana na sandaland na vunja bei.

Hongera
 
Wish wakuelewe mkuu ila wenye kuamini hayo madudu huna lugha utatumia wakuelewe sbb dini zao zote zinawaambia hayo mavitu yapo.

Kuna mpuuzi tena msomi kapoteza 38M kwa waganga na bado hajashtuka anataka kuuza nyumba 'aendelee kuweka mambo sawa".
Nimemuomba sana asiuze nyumba yake ila naona haelekei kuelewa nimeamua niliache lijinga ni maisha yake
 
. Ukiisha moa hiyo Hela yote, unafanikiwa ??
Ama umempa TU Jamaa kula yake ?? [emoji57][emoji57]

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…