Watanzania msisahau kuna watu walitaka kuleta kampuni ya kuzalisha mvua kwa kupiga mabomu angani, tuwe macho

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Kila linapotokea suala la upungufu wa mvua basi kwa wanaCCM ambao sio waaminifu basi wao huwa ni fursa ya kuwaibia na kulipora taifa la Tanzania.

Huko nyuma sababu ya kujinufaisha wao na matumbo yao, kuna wanaCCM walisema wataleta kampuni ili lizalishe mvua kwa kutengeneza mawingu yanayotokana na mabomu maalumu.

Hivyo kama taifa tutambue kuwa ukame au upungufu wa wa mvua imekuwa kigezo cha kutuibia kama taifa letu.

Tuwe macho.
 
Kila linapotokea suala la upungufu wa mvua basi kwa wanaCcm ambao sio waaminifu basi wao huwa ni fursa ya kuwaibia na kulipora taifa la Tanzania.

Huko nyuma sababu ya kujinufaisha wao na matumbo yao, kuna wanaCCM walisema wataleta kampuni ili lizalishe mvua kwa kutengeneza mawingu yanayotokana na mabomu maalumu.

Hivyo kama taifa tutambue kuwa ukame au upungufu wa wa mvua imekuwa kigezo cha kutuibia kama taifa letu.

Tuwe macho....
Kitaalam inaitwa "cloud seeding". Hayo unayosema ni mabomu actually ni unga wa chumvichumvi;(hygroscopic powder), huwa unatawanywa angani kwa ndege maalum au kurushwa angani kama mabomu . Ambao unatabia ya kufyonza unyevunyevu angani na kusababisha mawingu na baadae mvua. Technology hii ipo siku nyingi tu na nchi zenye ukame wa kupitiliza zinanufaika nayo
 
Tanzania ni nchi ya ukame? Kukosa mvua kwa kipindi kimoja ndio iwe sababu ya kupiga dili kwa kuleta kampuni ifanye cloud seeding?
 
Hili lilikuwa dili la Mzee Lowasa,hawa maccm wanatufanya Watanzania wote kama mifugo yao

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Wakati mwingine mjifunze kubakiza akiba ya maneno - kisayansi unaweza kabisa kutumia ndege, roketi au mizinga (artillery) kunyunyizia mawingu kwa makemikali maalumu au dry ice (frozen carbon dioxide) na mvua ikanyesha - wala msimdhanie Lowassa kwamba alitaka kufanya utapeli au nini sijui?
 
Tanzania sisi watu wa ajabu kweli tunataka vitu burebure tunataka mazuri lakini yaje kwa Bure, Dubai wanafanya hiyo wanapata mvua zio kawaida yao ukija huku tunalalamika ukame ukija na solution ahhh hii dili sasa kuna huduma ukapewa kama sadaka. Hakuna free hapa ukitaka mvua za kujaza ruvu wiki tu fanya cloud seeding na mazingira yetu haya zitapiga mvua mpaka tutaomba punguza seeding kama tunataka bure tupambane na mgao wa maji tu kelele za nini.
 
Back
Top Bottom