Watanzania msisahau kuna watu walitaka kuleta kampuni ya kuzalisha mvua kwa kupiga mabomu angani, tuwe macho

Watanzania msisahau kuna watu walitaka kuleta kampuni ya kuzalisha mvua kwa kupiga mabomu angani, tuwe macho

Kila linapotokea suala la upungufu wa mvua basi kwa wanaCCM ambao sio waaminifu basi wao huwa ni fursa ya kuwaibia na kulipora taifa la Tanzania.

Huko nyuma sababu ya kujinufaisha wao na matumbo yao, kuna wanaCCM walisema wataleta kampuni ili lizalishe mvua kwa kutengeneza mawingu yanayotokana na mabomu maalumu.

Hivyo kama taifa tutambue kuwa ukame au upungufu wa wa mvua imekuwa kigezo cha kutuibia kama taifa letu.

Tuwe macho.
Ndo tunapoelekea taratibu taratibu
 
Back
Top Bottom