Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Una uhakika?Hawawezi
Mabadiliko ya tabia nchi.Lakini back to source. Ukame huu umesababishwa na nn?
Hatari sana.Hili lilikuwa dili la Mzee Lowasa,hawa maccm wanatufanya Watanzania wote kama mifugo yao
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kumbe unajua sasa wewe na wenzako kwanini mnajitoa ufahamu?Mabadiliko ya tabia nchi.
Hakuna ukameLakini back to source. Ukame huu umesababishwa na nn?
Ukipata jibu unitag... hata hivyo yawezekana inasababishwa na aina ile ile ya chanzo cha kimbuga JOB kilichotarajiwa kuikumba Dar es SalaamLakini back to source. Ukame huu umesababishwa na nn?
Tunajitoa ufahamu kivipi?Kumbe unajua sasa wewe na wenzako kwanini mnajitoa ufahamu?
Kitaalam inaitwa "cloud seeding". Hayo unayosema ni mabomu actually ni unga wa chumvichumvi;(hygroscopic powder), huwa unatawanywa angani kwa ndege maalum au kurushwa angani kama mabomu . Ambao unatabia ya kufyonza unyevunyevu angani na kusababisha mawingu na baadae mvua. Technology hii ipo siku nyingi tu na nchi zenye ukame wa kupitiliza zinanufaika nayoKila linapotokea suala la upungufu wa mvua basi kwa wanaCcm ambao sio waaminifu basi wao huwa ni fursa ya kuwaibia na kulipora taifa la Tanzania.
Huko nyuma sababu ya kujinufaisha wao na matumbo yao, kuna wanaCCM walisema wataleta kampuni ili lizalishe mvua kwa kutengeneza mawingu yanayotokana na mabomu maalumu.
Hivyo kama taifa tutambue kuwa ukame au upungufu wa wa mvua imekuwa kigezo cha kutuibia kama taifa letu.
Tuwe macho....
Tanzania ni nchi ya ukame? Kukosa mvua kwa kipindi kimoja ndio iwe sababu ya kupiga dili kwa kuleta kampuni ifanye cloud seeding?Kitaalam inaitwa "cloud seeding". Hayo unayosema ni mabomu actually ni unga wa chumvichumvi;(hygroscopic powder), huwa unatawanywa angani kwa ndege maalum au kurushwa angani kama mabomu . Ambao unatabia ya kufyonza unyevunyevu angani na kusababisha mawingu na baadae mvua. Technology hii ipo siku nyingi tu na nchi zenye ukame wa kupitiliza zinanufaika nayo
Kwa hii nchi nina uhakika mia kwa mia, hawawezi.Una uhakika?
Jibu Zuri, ndio sababu iliyopelekea ile safari ya Kukutana na John BidenMabadiliko ya tabia nchi.
He he heee! Lile lilikuwa dili la watu kupiga hela tu mkuu.Tanzania ni nchi ya ukame? Kukosa mvua kwa kipindi kimoja ndio iwe sababu ya kupiga dili kwa kuleta kampuni ifanye cloud seeding?
laana inawatafuna. Mtu wa Mungu alihubiri, aliondoka akihubiri. Basi hayo ndio malipo yake. Jua na mvua vimeamua kumtetea mtu wa Mungu.Lakini back to source. Ukame huu umesababishwa na nn?
Laana imetokana na nini?laana inawatafuna. Mtu wa Mungu alihubiri, aliondoka akihubiri. Basi hayo ndio malipo yake. Jua na mvua vimeamua kumtetea mtu wa Mungu.
Wakati mwingine mjifunze kubakiza akiba ya maneno - kisayansi unaweza kabisa kutumia ndege, roketi au mizinga (artillery) kunyunyizia mawingu kwa makemikali maalumu au dry ice (frozen carbon dioxide) na mvua ikanyesha - wala msimdhanie Lowassa kwamba alitaka kufanya utapeli au nini sijui?Hili lilikuwa dili la Mzee Lowasa,hawa maccm wanatufanya Watanzania wote kama mifugo yao
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Tanzania sisi watu wa ajabu kweli tunataka vitu burebure tunataka mazuri lakini yaje kwa Bure, Dubai wanafanya hiyo wanapata mvua zio kawaida yao ukija huku tunalalamika ukame ukija na solution ahhh hii dili sasa kuna huduma ukapewa kama sadaka. Hakuna free hapa ukitaka mvua za kujaza ruvu wiki tu fanya cloud seeding na mazingira yetu haya zitapiga mvua mpaka tutaomba punguza seeding kama tunataka bure tupambane na mgao wa maji tu kelele za nini.Wakati mwingine mjifunze kubakiza akiba ya maneno - kisayansi unaweza kabisa kutumia ndege, roketi au mizinga (artillery) kunyunyizia mawingu kwa makemikali maalumu au dry ice (frozen carbon dioxide) na mvua ikanyesha - wala msimdhanie Lowassa kwamba alitaka kufanya utapeli au nini sijui?