Watanzania mtakapoona kila nyumba kuna msiba ndipo mtatubu kusifia kila neno

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,280
Reaction score
14,342
Tusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania.

Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika nawao watazikwa.

Kwakuwa mambo yanaenda kwa siri huduma za afya zitakuwa mbaya why? Hakuna anaye taka kufa na kwakuwa serikal imeficha taarifa basi tumekwisha.

Nani jasiri atamwambia Rais ukweli kauli yake inaliangamiza taifa silence na mwisho hata yeye hatokuwa salama na serikali yake? Nina alie mshauri ? Na nikwamasilahi gani?
 
Ww ndio ulikuwa msifiaji wa kila kitu, saa hii ulichokuwa unasifia kimeanza kutoa matunda kisha unakimbia mavuno!

Usishangae tumefikaje hapa wakati ww mwenyewe ulishiriki kuua nguvu ya kuhoji ndani ya hii nchi.
 
Tusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania.

Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika nawao watazikwa.

Kwakuwa mambo yanaenda kwa siri huduma za afya zitakuwa mbaya why? Hakuna anaye taka kufa na kwakuwa serikal imeficha taarifa basi tumekwisha.

Nani jasiri atamwambia Rais ukweli kauli yake inaliangamiza taifa silence na mwisho hata yeye hatokuwa salama na serikali yake? Nina alie mshauri ? Na nikwamasilahi gani?

Tulipokuwa tunawaambia haya maneno tangu mwanzoni mwa 2016 (actually kuna watu walianza kutuonya wiki ya kwanza tu ya utawala wake bwana jiwe) mlitutukana kila aina ya matusi. Mlidhani athari zake zitakuwa kwa kina Mbowe na wenzake pekee?
Na bado, unachokiona sasa ni cha mtoto. Subiri kubwa lake.
 
Tusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania.

Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika nawao watazikwa.

Kwakuwa mambo yanaenda kwa siri huduma za afya zitakuwa mbaya why? Hakuna anaye taka kufa na kwakuwa serikal imeficha taarifa basi tumekwisha.

Nani jasiri atamwambia Rais ukweli kauli yake inaliangamiza taifa silence na mwisho hata yeye hatokuwa salama na serikali yake? Nina alie mshauri ? Na nikwamasilahi gani?
Akina Ben Saanane ndiyo walikuwa wa kumwambia.
 
Huyo rais ndio beberu mkuu, yeye ili mradi chashaifunga chato basi . Its enough. Selfish.
Yaani Jk hatutakusamehe

Tusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania.

Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika nawao watazikwa.

Kwakuwa mambo yanaenda kwa siri huduma za afya zitakuwa mbaya why? Hakuna anaye taka kufa na kwakuwa serikal imeficha taarifa basi tumekwisha.

Nani jasiri atamwambia Rais ukweli kauli yake inaliangamiza taifa silence na mwisho hata yeye hatokuwa salama na serikali yake? Nina alie mshauri ? Na nikwamasilahi gani?
 
WHO iimulike serikali ya Tanzania 🇹🇿 kwa kuficha ukweli issue ya Coronavirus
WHO yenyewe wakishirikiana na China waliikatia umeme Dunia isijue ukweli. WHO imepoteza sifa katika kukemea na kutaka ukwwli wa jambo hili. WHO inapaswa kuwajibika kwa Mkurugenzi wake kujiuzuru, ila kwa kuwa jamaa ni mwafrika bado kang'ang'ania kiti.
 
Mfumo wa uendeshaji wa nchi hii si mzuri.
Unaachaje maisha ya watanzania mil 56 mikononi mwa mtu mmoja??
Kwamba yeye ndiye anayeamua kila kitu, kuhusu tiba, elimu, kazi, fedha, ulinzi nk??

Sisi sote ni binadamu, tunaweza kuugua ama kufa.

Mfano huyu mtu akawa ameugua ugonjwa wa akili bado tunaendelea kutii na kufuata matakwa yake tu??

Ikitokea hivyo, na dalili zinaonesha hivyo basi Watanzania tumekwisha.

Wote huko kwenye mihimili ya sheria, bungeni, na vyombo vya ulinzi na usalama hakuna wenye nazo wakaamua kwa ajili ya ndugu zao watanzania mil.56 wanaokufa bila huruma na gonjwa hili baya la corona????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww ndio ulikuwa msifiaji wa kila kitu, saa ulichokuwa unasifia kimeanza kutoa matunda kisha unakimbia mavuno!

Usishangae tumefikaje hapa wakati ww mwenyewe ulishiriki kuua nguvu ya kuhoji ndani ya hii nchi.

Hee wameanza kuelewa pale mwanzoni wakati kuna mtu mmoja walitutukana tulivyokuwa tunapebdekeza mipaka kufungwa leo kila mtu daslam anaumwa stail moja tu, tumekwisha aisee

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa nionavyo kwa sasa mtu akipata dalili za Corona hawezi kujisalimisha kwa ajili ya kuchukuliwa vipimo kwa hiyari!Mimi siwezi
kwa hiyo usipojisalimisha ndiyo unakuwa umepona?kwanza unakuwa huna tofauti na ajinyongaye na kuwaua wengine
 
Back
Top Bottom