mambio
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 2,859
- 3,679
Ubongo wako una mushkeli mahali, hao unaosema waambiwe ndio wanakufa kama kuku wenye mdondo.NGOs, viongozi wa dini na vyama vya siasa, tusaidieni kuijulisha Dunia, na hasa mamlaka za Umoja wa Mataifa kuwa huku tuna Serikali ambayo haiwajibiki kwa raia wake kikamilifu dhidi ya janga la Covid-19. Tusisubiri mpaka ifikie ile hali ya Ecuador.
Hata kama hakuna kitakachofanyika lakini angalao Ulimwengu utakuwa umejua. Na siku moja, wale watakaonusurika watakuwa na haki ya kuilaumu jamii ya kimataifa kwa kutokusaidia kuwaokoa wananchi ambao uhai wao ulipuuzwa na Serikali yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waje kukusikiliza wewe mpuuzi? Wizaraa imeshakuelekeza jinsi yakujikinga maamuzi ni yako!