Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,611
- 5,173
Na US wamezuia Iran wasipate mkopo. Na hizi siasa zetu uchwara, sijui kama tutapata msaada au mkopo wowote kupambana na janga hili, labda kuwe na Serikali nyingine. Serikali yetu ya sasa haijui ustaarabu, haijui utu wala haijui diplomasia.Huu ugonjwa madhara yake hayafichiki, mfano mzuri ni nchi ya Iran ambapo hapo awali walificha ila kwa sasa hali sio nzuri mpaka wanaomba mkopo huko IMF.
Hujaelewa!kwa hiyo usipojisalimisha ndiyo unakuwa umepona?kwanza unakuwa huna tofauti na ajinyongaye na kuwaua wengine
Dunia ya wapi!hujasikia ya Italy! Newyork, Spain , na kwingineko! Habari ya maiti na majeneza kila Kona ndiyo habari ya duniaTusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania.
Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika nawao watazikwa.
Kwakuwa mambo yanaenda kwa siri huduma za afya zitakuwa mbaya why? Hakuna anaye taka kufa na kwakuwa serikal imeficha taarifa basi tumekwisha.
Nani jasiri atamwambia Rais ukweli kauli yake inaliangamiza taifa silence na mwisho hata yeye hatokuwa salama na serikali yake? Nina alie mshauri ? Na nikwamasilahi gani?
Msaada wa nini! Jikinge! Distance and isolation when necessary!Na US wamezuia Iran wasipate mkopo. Na hizi siasa zetu uchwara, sijui kama tutapata msaada au mkopo wowote kupambana na janga hili, labda kuwe na Serikali nyingine. Serikali yetu ya sasa haijui ustaarabu, haijui utu wala haijui diplomasia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lofa wewe, unatuchora au sio?Tusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania.
Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika nawao watazikwa.
Kwakuwa mambo yanaenda kwa siri huduma za afya zitakuwa mbaya why? Hakuna anaye taka kufa na kwakuwa serikal imeficha taarifa basi tumekwisha.
Nani jasiri atamwambia Rais ukweli kauli yake inaliangamiza taifa silence na mwisho hata yeye hatokuwa salama na serikali yake? Nina alie mshauri ? Na nikwamasilahi gani?
WHO inafahamu kuwa Tanzania ni wanabahili wa ukweli katika takwimu za maradhi. Kumbuka mmoja wa wakurugenzi wa WHO ni Dr Mwele Malecela.Viongozi Watanzania mnamdhihaki Mungu. Mungu hadhihakiwi. Funga yenu ya siku tatu na maombi yenu ni bure Kama hamsemi ukweli na mnaficha taarifa za maambukizi na vifo vya Corona
Were umeishafiwa na wangapi? Jirani zako je?Tusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania.
Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika nawao watazikwa.
Kwakuwa mambo yanaenda kwa siri huduma za afya zitakuwa mbaya why? Hakuna anaye taka kufa na kwakuwa serikal imeficha taarifa basi tumekwisha.
Nani jasiri atamwambia Rais ukweli kauli yake inaliangamiza taifa silence na mwisho hata yeye hatokuwa salama na serikali yake? Nina alie mshauri ? Na nikwamasilahi gani?
Yeah, donor country you know!Na US wamezuia Iran wasipate mkopo. Na hizi siasa zetu uchwara, sijui kama tutapata msaada au mkopo wowote kupambana na janga hili, labda kuwe na Serikali nyingine. Serikali yetu ya sasa haijui ustaarabu, haijui utu wala haijui diplomasia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfumo wa uendeshaji wa nchi hii si mzuri.
Unaachaje maisha ya watanzania mil 56 mikononi mwa mtu mmoja??
Kwamba yeye ndiye anayeamua kila kitu, kuhusu tiba, elimu, kazi, fedha, ulinzi nk??
Sisi sote ni binadamu, tunaweza kuugua ama kufa.
Mfano huyu mtu akawa ameugua ugonjwa wa akili bado tunaendelea kutii na kufuata matakwa yake tu??
Ikitokea hivyo, na dalili zinaonesha hivyo basi Watanzania tumekwisha.
Wote huko kwenye mihimili ya sheria, bungeni, na vyombo vya ulinzi na usalama hakuna wenye nazo wakaamua kwa ajili ya ndugu zao watanzania mil.56 wanaokufa bila huruma na gonjwa hili baya la corona????
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaweza kutoa hints kwanini tufanye hivyo,hali inatisha kweli nasikia huko makambini watu hata Panadol kushushia homa hawapewi ma-doc nao wanakula corner wakifuatwa na wagonjwa.Kwa nionavyo kwa sasa mtu akipata dalili za Corona hawezi kujisalimisha kwa ajili ya kuchukuliwa vipimo kwa hiyari!Mimi siwezi
Mkuu share unafanyaje kujirudisha ktk hali yako ya zamani na siye wengine likitokea la kutokea tujue tunatokea mlango gani.Mimi pia ninahisi dalili za Korona lkn napambana na hali yng siendi kokote kumwambia yeyote. Hakuna kiongozi wakunisaidia hapa Wala sioni mwanga mbele
Huu utabiri wako nitauhifadhi. Kuna ukweli hapa.Magu anangojea watu wafe sana then atatoka mafichoni na kujidai kutumbua wakurugenzi ,wakuu wa wilaya na mkoa na mitanzania ilivyo fake itaanza kumshangilia na kumsifia kumbe mwenzao anapanga timu ya ushindi kwaajili ya uchaguzi ujao just weight and see.