Watanzania mtakapoona kila nyumba kuna msiba ndipo mtatubu kusifia kila neno

Tulipokuwa tunawaambia haya maneno tangu mwanzoni mwa 2016 (actually kuna watu walianza kutuonya wiki ya kwanza tu ya utawala wake bwana jiwe) mlitutukana kila aina ya matusi. Mlidhani athari zake zitakuwa kwa kina Mbowe na wenzake pekee?
Na bado, unachokiona sasa ni cha mtoto. Subiri kubwa lake.
Na we una kinga ya corona?
 
Kina Tundu lissu ndio walikuwa wasemaji na walimwbia ukweli, mlifurahii Sana alipopata na yaliyomkuta. Wakati mwingine ni mungu anafanya haya makusudi ili kutupima watu wake!!,

Je maarifa aliyotujaalia ndio wakati wakuyatumia?? Maana ameupiga ganzi utawala usione tena, usithamini uhai wa watu bali ujali Kodi tu.
 
Tusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania.

Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika nawao watazikwa.

Kwakuwa mambo yanaenda kwa siri huduma za afya zitakuwa mbaya why? Hakuna anaye taka kufa na kwakuwa serikal imeficha taarifa basi tumekwisha.

Nani jasiri atamwambia Rais ukweli kauli yake inaliangamiza taifa silence na mwisho hata yeye hatokuwa salama na serikali yake? Nina alie mshauri ? Na nikwamasilahi gani?
Mkuu unaonaje kabla hujafa ukatujukisha nini kilimtokea saa8?
 
Mimi nadhani iandaliwe petition kwenda WHO na UN waikemee serikali kuhusu mwenendo wake kwenye corona.
 
Mambo ya siasa za giizaa. mm naona hali inatulia wengine mnasema serikali inaficha ukwel ukwel upi huoo?semen bas! au kama mnaogopa ban mseme hatusem coz tunaogopa ban bac
 
Tulipokuwa tunawaambia haya maneno tangu mwanzoni mwa 2016 (actually kuna watu walianza kutuonya wiki ya kwanza tu ya utawala wake bwana jiwe) mlitutukana kila aina ya matusi. Mlidhani athari zake zitakuwa kwa kina Mbowe na wenzake pekee?
Na bado, unachokiona sasa ni cha mtoto. Subiri kubwa lake.
kuleta brabra za kisiasa kwenye maradhi ni ujuha. Mlitaka uwazi upi zaidi mkonge nyoyo zenu! Corona sio mas hara, inaua sana kwa vile haina dawa wala chanjo.....

Tuzingatie ushauri wa wataalamu wa afya na tupuuze mihemko ya wanasiasa uchwara na mababu/bibi jinga wa mitaani, ili kikombe hiki kitupite bila ya kutuachia makovu makubwa.
 
Tusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania.

Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika nawao watazikwa.

Kwakuwa mambo yanaenda kwa siri huduma za afya zitakuwa mbaya why? Hakuna anaye taka kufa na kwakuwa serikal imeficha taarifa basi tumekwisha.

Nani jasiri atamwambia Rais ukweli kauli yake inaliangamiza taifa silence na mwisho hata yeye hatokuwa salama na serikali yake? Nina alie mshauri ? Na nikwamasilahi gani?
Acha upuuzi dogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mliweza kuwa na ujasiri wa kuteka na kuua wenzenu mnakosaje ujasiri wa kumwambia baba yenu kuwa taifa linaangamia ?

Useless fools.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo kwenye avator si ndio wewe tunakutafuta Mzee baba wewe umejifungia huko Kyato umetutelekeza wanao kipindi hiki kigumu, unachomoza kama digidigi unatuchungulia na speech zako za mauzauza, Hujaona marais wenzio vile wako mstari wa mbele kama kina Trump... umetuangusha mzeebaba
Uzuri corona inaanzia Juu.
 
Kwa nionavyo kwa sasa mtu akipata dalili za Corona hawezi kujisalimisha kwa ajili ya kuchukuliwa vipimo kwa hiyari!Mimi siwezi

Ukithubutu kujipeleka hospitali hasa mloganzila umekwisha! Huchomoki
 
Acheni uoga kifo kipo tu hao marekani wanakufa kila siku na taifa kubwa na wanatangaza sasa unataka serikali ikitangaza ndio vifo vinapungua acha tufe kimya kimya mambo yaende

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuleta brabra za kisiasa kwenye maradhi ni ujuha. Mlitaka uwazi upi zaidi mkonge nyoyo zenu! Corona sio mas hara, inaua sana kwa vile haina dawa wala chanjo.....

Tuzingatie ushauri wa wataalamu wa afya na tupuuze mihemko ya wanasiasa uchwara na mababu/bibi jinga wa mitaani, ili kikombe hiki kitupite bila ya kutuachia makovu makubwa.
Man KP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulipokuwa tunawaambia haya maneno tangu mwanzoni mwa 2016 (actually kuna watu walianza kutuonya wiki ya kwanza tu ya utawala wake bwana jiwe) mlitutukana kila aina ya matusi. Mlidhani athari zake zitakuwa kwa kina Mbowe na wenzake pekee?
Na bado, unachokiona sasa ni cha mtoto. Subiri kubwa lake.
Walitutukana saaanaa kuna lingne lilisifia mno juzi nimeliona linasema kuwa linajuta kumpigia kura jiwe, Haya matanzania ni majinga Sana majitu yalielezwa kuwa huyu sio mtu na yalikuwa yanaona halafu yanaziba pamba eti yanakuja kukutwa na majanga yanasema eti yanajuta mashtole Sana yanauzi Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom