Watanzania mtakapoona kila nyumba kuna msiba ndipo mtatubu kusifia kila neno

Watanzania mtakapoona kila nyumba kuna msiba ndipo mtatubu kusifia kila neno

Mama Samia, Majaliwa zungumzeni na wananchi
Lockdown ni muhimu nchi nzima
Huyu mnayemwabudu aliwapa nini ninyi watu
Mpaka afe nani ndio mtashtuka
 
Wajomba tusidanganyane, hali ni mbaya ni mbaya mnooo! Hatukuwahi kuishi kwa kuliona gari la huduma za Mazishi la Halmashauri likizunguka mtaani kila siku. Sasa hivi imekuwa kawaida. Huo mwezi ujao nadiriki kusema, tutakimbiana mitaani.
Kigalula in action , mbona Mimi siyaoni hayo magari au kujua nini kilichomo kwenye gari unayo sema au wewe unaishi makaburini
 
Tusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania.

Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika nawao watazikwa.

Kwakuwa mambo yanaenda kwa siri huduma za afya zitakuwa mbaya why? Hakuna anaye taka kufa na kwakuwa serikal imeficha taarifa basi tumekwisha.

Nani jasiri atamwambia Rais ukweli kauli yake inaliangamiza taifa silence na mwisho hata yeye hatokuwa salama na serikali yake? Nina alie mshauri ? Na nikwamasilahi gani?
Unataka ufanywe nini?

Corona unamzuwia vipi na haujaacha maasi?

Hivi ni lini au wapi nyumba zilikosa misiba kwa wakati mmoja au mwengine?
 
Frontline health workers are getting ill and dying everyday from being stretched and the lack of PPE to protect them..
 
Walitutukana saaanaa kuna lingne lilisifia mno juzi nimeliona linasema kuwa linajuta kumpigia kura jiwe, Haya matanzania ni majinga Sana majitu yalielezwa kuwa huyu sio mtu na yalikuwa yanaona halafu yanaziba pamba eti yanakuja kukutwa na majanga yanasema eti yanajuta mashtole Sana yanauzi Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Stella Kiongozi.

Wapiga Kura wa kweli hawako JF, humu mtaoneana bure, hao wachache wa humu JF hata wakipiga Kura ni sawa na Sifuri kulinganisha na wale wa nje ya JF..

Wapiga Kura wa kweli hawafahamu kama kuna kitu kinaitwa JF
 
Ww ndio ulikuwa msifiaji wa kila kitu, saa hii ulichokuwa unasifia kimeanza kutoa matunda kisha unakimbia mavuno!

Usishangae tumefikaje hapa wakati ww mwenyewe ulishiriki kuua nguvu ya kuhoji ndani ya hii nchi.
Kumbe huyo Jamaa Ni mnafiki !
 
Stella Kiongozi.

Wapiga Kura wa kweli hawako JF, humu mtaoneana bure, hao wachache wa humu JF hata wakipiga Kura ni sawa na Sifuri kulinganisha na wale wa nje ya JF..

Wapiga Kura wa kweli hawafahamu kama kuna kitu kinaitwa JF

Unaongea utoto gani boss? Bado unaamini watu hawana ufahamu kisa hawaigii mitandaoni? Sisi tuliopo huku mitandaoni yuko ni huko mitaani pia, tunachokiita huku ndio tunachikiongea na wananchi wenzetu nje ya mitandao, ikaangaliia uelewa wa walio nje ya mitandao wana uelewa mpana. Sema kinachofanyika kwenye chaguzi sio matakwa halisi ya wananchi.
 
Mama Samia, Majaliwa zungumzeni na wananchi
Lockdown ni muhimu nchi nzima
Huyu mnayemwabudu aliwapa nini ninyi watu
Mpaka afe nani ndio mtashtuka
It's to late for lockdown. Walitakiwa pale walipogundua chimbuko wangeanza kubana hizo sehemu kwanza..mfano dar na arusha kutokana na kuwa wagonjwa wa mwanzo waligundulika huko.wangezuia ussfori wa aina yeyote in and out of those regions.
Its just poor thinking.
 
Kigalula in action , mbona Mimi siyaoni hayo magari au kujua nini kilichomo kwenye gari unayo sema au wewe unaishi makaburini
Ukijua huu, wengine wanajua vile. Kaa na Upumbavu wako mpaka utaposhikwa jicho
 
Tulipokuwa tunawaambia haya maneno tangu mwanzoni mwa 2016 (actually kuna watu walianza kutuonya wiki ya kwanza tu ya utawala wake bwana jiwe) mlitutukana kila aina ya matusi. Mlidhani athari zake zitakuwa kwa kina Mbowe na wenzake pekee?
Na bado, unachokiona sasa ni cha mtoto. Subiri kubwa lake.
Mkuu nadhani unashida binafsi tatizo la dunia zima unamlalamikia raisi wa nchi moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukijua huu, wengine wanajua vile. Kaa na Upumbavu wako mpaka utaposhikwa jicho
If you get it you have, na mimi hivyo hivyo na sio kuichukulia kama serikali ndio imetuletea
 
Da, hichi ndugu yangu unachokieleza mimi kama nimekumbana nacho, niseme ukweli niliumwa kwenye mwez wa kwanza hivi mpaka kuna mdada akanionea huruma kuke kukohoa, ikabidi akanitafutie tangawizi ili nile labda koo litalegea.

Niliamka saa tano usiku kwenda kutafuta maziwa dukan ninywe labda koo litalegea.

Baada ya siku kadhaa nikaanza kushindw kupumua, ikabidi nijipe kazi y kukimbia nikiamini kama mapafu zameziba basi niweze kuyazibua kwa kukimbia.

NASEMA HIVI KAMA DALILI ZILE NI COVID_19, KWA MTU MWENYE CHANGAMOTO KI AFYA KUTOBOA NI NGUMU. NARUDIA TENA KWA CHANGAMOTO NILIZOPITIA ZA KIFUA(KOONI) NA KWENYE MAPAFU KAMA NI CORONA, HARAFU MWILI WAKO MWEPESI LAZIMA UTAKUFA TU
Nina dawa za kila dalili yani hapa Nina Athromycine kwa ajili ya tumbo, Mucolyn ya kikohozi, Diclopa kwa ajili ya maumivu ya Kichwa na homa. Nina kunywa Lita la chai ya Tangawizi na Limao na ninatafuna kitunguu Swaumu na Tangawizi pia kama Sina Akili nzuri. Ninaendelea vizuri maana ilibaki kidogo nife kutokana na kukohoa mno na joto kuwa juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom