Tusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania.
Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika nawao watazikwa.
Kwakuwa mambo yanaenda kwa siri huduma za afya zitakuwa mbaya why? Hakuna anaye taka kufa na kwakuwa serikal imeficha taarifa basi tumekwisha.
Nani jasiri atamwambia Rais ukweli kauli yake inaliangamiza taifa silence na mwisho hata yeye hatokuwa salama na serikali yake? Nina alie mshauri ? Na nikwamasilahi gani?

Akina Ben Saanane ndiyo walikuwa wa kumwambia.Tusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania.
Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika nawao watazikwa.
Kwakuwa mambo yanaenda kwa siri huduma za afya zitakuwa mbaya why? Hakuna anaye taka kufa na kwakuwa serikal imeficha taarifa basi tumekwisha.
Nani jasiri atamwambia Rais ukweli kauli yake inaliangamiza taifa silence na mwisho hata yeye hatokuwa salama na serikali yake? Nina alie mshauri ? Na nikwamasilahi gani?
Tusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania.
Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika nawao watazikwa.
Kwakuwa mambo yanaenda kwa siri huduma za afya zitakuwa mbaya why? Hakuna anaye taka kufa na kwakuwa serikal imeficha taarifa basi tumekwisha.
Nani jasiri atamwambia Rais ukweli kauli yake inaliangamiza taifa silence na mwisho hata yeye hatokuwa salama na serikali yake? Nina alie mshauri ? Na nikwamasilahi gani?
WHO yenyewe wakishirikiana na China waliikatia umeme Dunia isijue ukweli. WHO imepoteza sifa katika kukemea na kutaka ukwwli wa jambo hili. WHO inapaswa kuwajibika kwa Mkurugenzi wake kujiuzuru, ila kwa kuwa jamaa ni mwafrika bado kang'ang'ania kiti.WHO iimulike serikali ya Tanzania 🇹🇿 kwa kuficha ukweli issue ya Coronavirus
Ww ndio ulikuwa msifiaji wa kila kitu, saa ulichokuwa unasifia kimeanza kutoa matunda kisha unakimbia mavuno!
Usishangae tumefikaje hapa wakati ww mwenyewe ulishiriki kuua nguvu ya kuhoji ndani ya hii nchi.
kwa hiyo usipojisalimisha ndiyo unakuwa umepona?kwanza unakuwa huna tofauti na ajinyongaye na kuwaua wengineKwa nionavyo kwa sasa mtu akipata dalili za Corona hawezi kujisalimisha kwa ajili ya kuchukuliwa vipimo kwa hiyari!Mimi siwezi