WaTz bwana wakienda Ulaya haraka sana
wanajibadilisha majina, ni dalili ya ushamba tu !
tunakujua ulikuwa unakaa uswahilini pale nyakato,
umesoma Shule ya Msingi kirumba ulikuwa bingwa
wa kuiba maembe kule nyegezi, sasa kwa nini jina
lako la Huseni Baruti umeliacha unajiita eti Usain Bolt? Au
nikuongelee kikwenu ndo utanielewa?
Wihonginyoni be
[emoji3] [emoji3] ihonginyoni kwiya muyawe! [emoji23]WaTz bwana wakienda Ulaya haraka sana
wanajibadilisha majina, ni dalili ya ushamba tu !
tunakujua ulikuwa unakaa uswahilini pale nyakato,
umesoma Shule ya Msingi kirumba ulikuwa bingwa
wa kuiba maembe kule nyegezi, sasa kwa nini jina
lako la Huseni Baruti umeliacha unajiita eti Usain Bolt? Au
nikuongelee kikwenu ndo utanielewa?
Wihonginyoni be
Mhhuuuuuu na manka ataitwanan?Bakari anakua Baker
WaTz bwana wakienda Ulaya haraka sana
wanajibadilisha majina, ni dalili ya ushamba tu !
tunakujua ulikuwa unakaa uswahilini pale nyakato,
umesoma Shule ya Msingi kirumba ulikuwa bingwa
wa kuiba maembe kule nyegezi, sasa kwa nini jina
lako la Huseni Baruti umeliacha unajiita eti Usain Bolt? Au
nikuongelee kikwenu ndo utanielewa?
Wihonginyoni be
Hahaha Nimeshastaafu skuizi manake zile laana na makombora mnayotoa alafu nimechoka kujificha kwenye handaki[emoji28][emoji28][emoji28]
Et uswahilini pale nyakato. . .
Mi nashukuru tu leo mwanamke hajausishwa katika ulichoandika apo