Watanzania muache huu ushamba mnapofika majuu

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
WaTz bwana wakienda Ulaya haraka sana
wanajibadilisha majina, ni dalili ya ushamba tu !
tunakujua ulikuwa unakaa uswahilini pale nyakato,
umesoma Shule ya Msingi kirumba ulikuwa bingwa
wa kuiba maembe kule nyegezi, sasa kwa nini jina
lako la Huseni Baruti umeliacha unajiita eti Usain Bolt? Au
nikuongelee kikwenu ndo utanielewa?
Wihonginyoni be
 
Hahahahaha ukibadilisha mazingira na jina pia linabadilika
 
WaTz bwana wakienda Ulaya haraka sana
wanajibadilisha majina, ni dalili ya ushamba tu !
tunakujua ulikuwa unakaa uswahilini pale nyakato,
umesoma Shule ya Msingi kirumba ulikuwa bingwa
wa kuiba maembe kule nyegezi, sasa kwa nini jina
lako la Huseni Baruti umeliacha unajiita eti Usain Bolt? Au
nikuongelee kikwenu ndo utanielewa?
Wihonginyoni be

Chacha Wambura, anaitwa Church Wams
 
WaTz bwana wakienda Ulaya haraka sana
wanajibadilisha majina, ni dalili ya ushamba tu !
tunakujua ulikuwa unakaa uswahilini pale nyakato,
umesoma Shule ya Msingi kirumba ulikuwa bingwa
wa kuiba maembe kule nyegezi, sasa kwa nini jina
lako la Huseni Baruti umeliacha unajiita eti Usain Bolt? Au
nikuongelee kikwenu ndo utanielewa?
Wihonginyoni be
[emoji3] [emoji3] ihonginyoni kwiya muyawe! [emoji23]
 
Yahaya,Yohana ataitwa John
Yusufu ataitwa Joseph
Zuberi ataitwa Zeb
Mwajuma ataitwa Melanie J
 
WaTz bwana wakienda Ulaya haraka sana
wanajibadilisha majina, ni dalili ya ushamba tu !
tunakujua ulikuwa unakaa uswahilini pale nyakato,
umesoma Shule ya Msingi kirumba ulikuwa bingwa
wa kuiba maembe kule nyegezi, sasa kwa nini jina
lako la Huseni Baruti umeliacha unajiita eti Usain Bolt? Au
nikuongelee kikwenu ndo utanielewa?
Wihonginyoni be

Huyo ataitwa HB-management
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
Et uswahilini pale nyakato. . .
Mi nashukuru tu leo mwanamke hajausishwa katika ulichoandika apo
Hahaha Nimeshastaafu skuizi manake zile laana na makombora mnayotoa alafu nimechoka kujificha kwenye handaki
 
Back
Top Bottom