Yah! Jina tayari. . . Kibongo bongo mtaniita Hussein Baruti ila nje ya apa utaniita Usain Bolt. . . LOLHahahhahaah.... Umeshatafuta na jina jipya kabisa la kujiita baada ya kubadili?
Nyakato ndo kwenu akuulize weweUsinisukumie mpira... Mungu anakuona
HahahaKhaa umeshanibatiza hadi sehemu ya kuishi?
Mimi kwetu hata hapajulikani
Nyakato national au Nyakato sokoni vipi na Gedeli shule ya msingi?WaTz bwana wakienda Ulaya haraka sana
wanajibadilisha majina, ni dalili ya ushamba tu !
tunakujua ulikuwa unakaa uswahilini pale nyakato,
umesoma Shule ya Msingi kirumba ulikuwa bingwa
wa kuiba maembe kule nyegezi, sasa kwa nini jina
lako la Huseni Baruti umeliacha unajiita eti Usain Bolt? Au
nikuongelee kikwenu ndo utanielewa?
Wihonginyoni be
Joanah na wewe nawe kwa nini umembadilisha jina mpenzi wako?,ati baby ,.,.,.,.....hahahaaaaaaaa[emoji28][emoji28][emoji28]
Et uswahilini pale nyakato. . .
Mi nashukuru tu leo mwanamke hajausishwa katika ulichoandika apo
Wasukuma wana lishindo litamu mamii.Wasukuma bwana hahahaha
Na wewe unaitwa Chicky Barry au vipi? au nikuite Baby,?.,.,.hahahaaa.OOOOOPS! ahsante mola angalau leo wanawake umetupumzisha kidogo.
Nyakato kwa Mwendesha.Nyakato upi ni unayoisemea ebu specify...