Watanzania muache huu ushamba mnapofika majuu

Watanzania muache huu ushamba mnapofika majuu

Hahahhahaah.... Umeshatafuta na jina jipya kabisa la kujiita baada ya kubadili?
Yah! Jina tayari. . . Kibongo bongo mtaniita Hussein Baruti ila nje ya apa utaniita Usain Bolt. . . LOL
 
Khaa umeshanibatiza hadi sehemu ya kuishi?
Mimi kwetu hata hapajulikani
Hahaha
Kuna mtu katika ii post kaja ku-quote kwangu anauliza nyakato ipi inayozongumziwa ndo mana nkamdirect kwako mtoa post
 
Hahaha
Kuna mtu katika ii post kaja ku-quote kwangu anauliza nyakato ipi inayozongumziwa ndo mana nkamdirect kwako mtoa post
Ohoo... Hapo sawa
 
WaTz bwana wakienda Ulaya haraka sana
wanajibadilisha majina, ni dalili ya ushamba tu !
tunakujua ulikuwa unakaa uswahilini pale nyakato,
umesoma Shule ya Msingi kirumba ulikuwa bingwa
wa kuiba maembe kule nyegezi, sasa kwa nini jina
lako la Huseni Baruti umeliacha unajiita eti Usain Bolt? Au
nikuongelee kikwenu ndo utanielewa?
Wihonginyoni be
Nyakato national au Nyakato sokoni vipi na Gedeli shule ya msingi?
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
Et uswahilini pale nyakato. . .
Mi nashukuru tu leo mwanamke hajausishwa katika ulichoandika apo
Joanah na wewe nawe kwa nini umembadilisha jina mpenzi wako?,ati baby ,.,.,.,.....hahahaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom